econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Naona Kuna njama zinafanywa na jamhuri kutaka Lissu apewe adhabu nyingine ili kumdogosha Lissu. Kwa ushahidi wa Jamhuri na utetezi wa Lissu ni ukweli kwamba Mh Lissu hana hatia ya Uhaini. Hivyo wanajaribu kitafuta vikosa vidogo vidogo na adhabu za kumdhalilisha Lissu.
Kwa mfano, wanataka wampe adhabu ya kutojujusisha na siasa kwa muda wa miaka mitano au kutokufanya mikutano yoyote ya siasa kwa muda wa miaka mitano au kuripoti Polisi Kila siku saa Moja asubuhi. Au kifungo cha nyumbani, yani kutoruhusiwa kutoka kwenye eneo la nyumba yake au nje ya mtaa wake anapoishi.
Kwa kulijua hili, Lissu aliweka wazi ya kwamba kesi ya uhaini Ina adhabu Moja tu Kunyongwa, so akipatikana na hatia na anyongwe sio kupewa adhabu nyingine na kama hawataki kumnyonga wamwachie huru.
Sheria ipo wazi inasema "what's over commits treason and shall be setenced to death". Hivyo adhabu ni kunyongwa wala sio kitu kingine kama alternative sentence hapana. Hivyo mahakama ifanye kama Sheria inavyotaka na sio kama matapeli wa CCM wanavyotaka.