zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya DNA: Je, tunarithi zaidi ya mwonekano kutoka kwa wazazi wetu

    Wakuu, leo nataka tuongee kuhusu DNA (vinasaba) Kuna mambo kadhaa ambayo ningependa tuyajadili na kujifunza kutoka kwa wataalamu na wenye uelewa wa masuala haya 1. DNA na mapenzi/Sexual Compatibility😊 Je, kuna namna ya kupima vinasaba vya watu wawili na kugundua kama wanaendana kibaiolojia...
  2. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania Sekretariet wameniweka kwenye answering machine kwa zaidi ya lisaa na salio linaenda

    Nawapigia hawa miungu watoa ajira wameniweka kwenye answering machine zaidi ya lisaa sasa sijui ni dharau, kibri au ndiyo aliyeshiba hamburgers mwenye njaa ila nachos jua ni kinyume vha sheria za mamlaka ya mawasiliano tabia hii pia wanayo nssf...hayo ni makosa na kinyume cha sheria ngoja...
  3. O

    JamiiForums Tanzania MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15

    MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15 Siku chache baada ya kuandikwa habari kuhusu kukwama kwa meli ya abiria 600 kutokana na ubadhirifu mkubwa wa fedha, mapya yaibuka. Ujenzi wa meli hiyo kama utafanyika kwa mjibu wa mkataba ulivyosainiwa kwa siri...
  4. O

    JamiiForums Tanzania MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15

    MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15 Siku chache baada ya kuandikwa habari kuhusu kukwama kwa meli ya abiria 600 kutokana na ubadhirifu mkubwa wa fedha, mapya yaibuka. Ujenzi wa meli hiyo kama utafanyika kwa mjibu wa mkataba ulivyosainiwa kwa siri...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakazi zaidi ya 400 Sikonge wapatiwa matibabu ya kibingwa ya macho, waona tena, DC Semindu apongeza

    SIKONGE, TABORA – Mkuu wa Wilaya ya Sikonge, Michael Semindu ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita pamoja na Shirika la Hellen Keller International kwa ushirikiano unaoendelea kuleta mapinduzi katika sekta ya afya kwa kusogeza huduma za kibingwa za macho karibu na wananchi. Semindu ametoa...
  6. makpridash

    JamiiForums Tanzania Ten men Chelsea ilishindwa kushinda magori zaidi ya 2

    Kwa asiyejua soka ataona Chelsea ilikuwa Bora lakini kwa waelewa Jana man united ilikuwa na unafuu mkubwa. Nusu saa ukicheza na wachezaji Kumi na kama wewe ni bora unashindeaje kuongezza ushindi? Man united inatatizo kwenye beki line. Si kushoto Wala kulia kote hakuna mabeki wazuri hata ilivyo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania HIVI Bado Kuna watanzania wanafutilia taarifa za habari kupitia TV, au kusoma magazeti zaidi ya vipindi vya michezo

    Kuna wakati nilikuwa napenda sana kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia ITV. Sasa HIVI Nina miaka mitano au sita hivi sifuatili taarifa hizo kupitia TV. Mimi ni kuangalia mpira na tamthilia kidogo . Habari zangu nyingi nazipata mtandaoni. Tena napata habari ghafi kabisa...
  8. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Sasa kama nyinyi wafuasi wa CHADEMA siyo magaidi, huko nje mnafanya nini na hamna kazi, zaidi ya kukesha mitandaoni 24Hrs mnatutukana sisi Watanzania

    Hebu semeni nyie wafuasi wa CHADEMA nini kinawafanya muondoke nchini kimagendo mbona ss hatuondoki na tuna enjoy tu maisha. Kwanin mkimbie nchi ili hali hakuna anayewafukuza? Jibu ni Moja tu . Mnaondoka kwasababu mnajijua kuwa nyie ni kikundi cha kigaidi kwahyo mnakimbia mkono wa Sheria...
  9. Ntemi_Ntale

    JamiiForums Tanzania Samsung Inatuhumiwa Kupeleleza(spying ) Watumiaji wa Smart TV na Kushiriki Data Zao na Washirika(partners) Zaidi ya 400

    Kwa Ufupi Ni Kwamba: Mtaalamu wa reverse engineering ambaye anajulikana kama Log4j anadai kuwa TV za Samsung za mwaka 2025 zinakusanya taarifa za sauti (audio telemetry) kupitia vipaza sauti vilivyojengwa ndani (built-in microphones) na vifaa vilivyounganishwa nazo (connected devices.) Matokeo...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hijja ya mwaka 2026 yaiingizia Saudia arabia zaidi ya dollar Bilioni 15

    Baada ya fedha zitokanazo na mafuta nchini saudi Arabia, utalii wa kidini (Hijja na Umra) ndiyo chanzo cha pili cha mapato kwa nchi hiyo. Mwaka huu pekee nchi hiyo imeingiza zaidi ya dollar za kimarekani bilioni 15 sawa na shilingi za kitanzania Trilioni 39.68. Saudia wanapanga kuongeza na...
  11. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mzee wa miaka zaidi ya sitini lakini muonekano wa ujana kabisa

    Anaitwa chuan do tan ni Mzee alizaliwa march 3, 1966, Singapore ni mpiga picha kwa sasa kaingia kwenye mitindo baada ya makaampuni makubwa kumfata wafanye nae KAZI. jamaa mzee lakini anaonekana kama alizaliwa 2000, noma sana, jamaa kabeba tuzo nyingi sana za mitindo.
  12. Nuel27

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kukata tiketi za SGR online uko chini (haufanyi kazi) kwa zaidi ya saa 20 sasa

    Najaribu kukata tiketi ya treni ya SGR lakini tangia jana usiku mfumo haufanyi kazi ,nilitegemea nikiamka nitakuta mfumo umerekebishwa ila cha ajabu mpaka wakati huu hali bado ni ile ile na TRC hawajatoa tamko lolote mpaka sasa. Hili shirika linafikirisha sana kuhusu uendeshaji wake 🚮
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kafulia usijichetue, India na Wachina Wana watu zaidi ya B Moja, ila wanamiliki Chumi kubwa, Afrika haiendelei sababu ya Viongozi wa ovyo ovyo

    MAREKAN Ina watu zaidi ya Milion 300, na wameendelea . Kafulila usione Haya kusema kua "Afrika tuna uçhumi mdogo licha ya Idadi kubwa ya watu kwa sababu ,Ni Afrika tu ndo Mtu anatafuta Urais kama Sifa, Wizi, Ufisadi
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kawaida: Baada ya Mungu na Mtume (SAW) hakuna zaidi ya Samia(yaani ni Samia zaidi ya Yesu Kristo)

    Tumefika huku! Time will tell!
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini makamu anazunguka mijini tu? Akumbushwe Tanzania ni zaidi ya mjini.

    Tangu amepewa kiti cha Balozi Mseminari makamu mpya yeye shughuli zake na matukio yake ni mjini tu na nje ya nchi, sijawahi kumuona akifika mashinani huko kusiko na barabara na maji ya bomba ni ndoto ambako wanawake na watoto wanazunguka kwa miguu, punda na baiskeli kuyasaka maji kwa madumu na...
  16. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ziangalie Vijana wanaojitolea Vituo vya Afya, wanafanyakazi nzuri lakini wana hali ngumu

    Kuna changamoto kuhusu utekelezaji wa mikataba ya watumishi wa afya chini ya TAMISEMI iliyotolewa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watumishi wanalipwa kiasi cha shilingi 100,000 kwa mwezi, huku kukiwa na malalamiko kuhusu kutokuwepo kwa usawa katika malipo ya kazi za ziada (overtime). Baadhi ya...
  17. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Operesheni ya Interpol: Zaidi ya Bilioni 280 za kitanzania, za uhalifu wa mtandaoni zanaswa Afrika, washukiwa 1,462 mbaroni, Tanzania imo.

    Shirika la Kimataifa la Polisi wa Jinai (Interpol) limesema kuwa operesheni yake ya hivi karibuni barani Afrika imesababisha kukamatwa kwa watu 1,462 na kupatikana kwa zaidi ya dola milioni 105 za Kimarekani za fedha haramu. Operesheni hio iliyofanywa katika nchi 21, ililenga utapeli wa...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Nilivyoruhusu ushindani wa Pamba Simiyu nikiwa RC bei ilipanda hadi Sh 2,200 kwa kilo ambayo haijafikiwa kwa zaidi ya miaka 30

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania, David Kafulila, amesema kupunguza urasimu katika sekta ya umma na kufungua milango ya ushindani kwa sekta binafsi ni hatua muhimu katika kuongeza tija, kukuza uchumi na kuboresha kipato cha wananchi hasa wa kipato cha chini. Akizungumza...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi ni zaidi ya physical therapy. Leo nimetibiwa

    Hamjambo! Leo nimetoka Kariakoo saa mbili hivi. Nikapanda Mwendokasi. Aiseeh! Nimenyooshwa mgongo, mbavu zimebinywa, shingo imekandamizwa, kiuno kimebamizwa, miguu imekanyagwa. Mwendo wa nusu saa tuu. Yale maumivu ya kifua, na mgongo yaliyokjwa yananisumbua siku nyingi kutokana na kazi yangu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Dokezo:Yanayoendelea Ufaransa kuenea dunia nzima. Hapa Tanzania itakuwa zaidi ya Oktoba 29 ya 2025.

    Inasemekana G z wameanza kazi upya. Wamechoshwa na rushwa na ugumu wa maisha huku familia za wanasiasa zikijilimbikizia mali na utajili. Inasemekana yaliyotokea Oktoba 29 itakuwa ni cha mtoto. Safari hii itakuwa mara mbili ya kinachotokea ufaransa. Mwenye kusikia na asikie.
Back
Top Bottom