Kawaida: Baada ya Mungu na Mtume (SAW) hakuna zaidi ya Samia(yaani ni Samia zaidi ya Yesu Kristo)

hahah hata islam yenyewe hawaielewi, tangia lini muslims wakaamini mwanamke kuwa mtume? kwa muslims mwanamke ni wa mwisho kabisa in hierarchy na ndiyo maana hata saudi arabia wameanza kuruhusiwa kwenda shopping wenyewe bila ya mwangalizi juzi tu, wengine hata shuleni hawaruhusiwi, kuna sababu kwa nini wanavaa buka na hijab maana yake muslim women ni property ya mwanaume …
 
Kwani kasema ni Mtume ,kama huelewi kaaa kimya ,baada ya Mungu na Mtume kwa waislamu anayefuata ni mama .

Usikurupuke...
 
Back
Top Bottom