samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, Beno Morris Malisa, Hussein Bashe, Emmanuel Nchimbi, Rostam Aziz na Fred Lowassa ndo Wanamuogofya Samia?

    Salaam Wakuu, Tupige Story za Siasa za Tanzania. Bila kuingia deep sana. Wote tunajua nguvu ya hawa Wana CCM wenye Ushawishi. Je, kwanini mfumo wa CCM ya Samia unawatema? Je, Beno Morris Malisa, Hussein Bashe, Emmanuel Nchimbi, Rostam Aziz na Fred Lowassa ndo Wanamuogofya Samia? Ndo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Stanslaus Nyongo: Hakuna wa kuinunua serikali ya Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo amewatoa hofu Wananchi wa Kijiji cha Fukayosi, Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo, akisisitiza kuwa hakuna Mtu aliye juu ya sheria wala anayeweza kuinunua Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan. Nyongo ameyasema hayo Novemba 3, 2026, alipofika Mijijini hapo...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Shutuma zamuibua Samia, ataka majibu

    KUTOKA KWENYE GAZETI LA TANZANIA LEO... SHUTUMA ZAMUIBUA SAMIA, ATAKA MAJIBU Asisitiza sheria, haki isimamiwe bila chuki Aagiza ufuatiliaji mwenendo utawala bora Atoa maelekezo utatuzi migogoro ya kazi
  4. Stroke

    JamiiForums Tanzania Baada ya utabiri kwa Samia kutimia napumzika siasa mpaka 2030 Inshaalah

    Wakuu; Baada ya kutabiri sawia kabisa Samia kuwa Rais 2025. Naona nipumzike siasa kwa muda mpaka 2030 tukijaliwa. Wish you all mijadala yenye tija. Mpaka tukikutana tena.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa ICC kwenye ile tuzo ni pigo kwa Samia na genge lake

    Ushindi wa ICC ni pigo kubwa sana kwa samia na genge lake kwasababu lazima ICC imkamate na kumshitaki ili kudhihirisha ushind huo sio wa bure. Take it or ignore it but the repercussions will reveal in the future date.
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Samia hashikiki uibuaji wa mabilionea

    ◇Ni uendelezaji wa maono yake ya kukuza wawekezaji wazawa ◇Waziri ashuhudia bil 50/= wakipewa wachimbaji wadogo ◇Ni mwendelezo wa kwenye sekta ujenzi, manunuzi umma.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aanza Kutandika Lami Ya Njia Nne Mkoa wa Mbeya Kwa Kasi ya Ndege Vita. CHADEMA Washinda Barabarani wakijipiga Picha Utafikiri Wahitimu

    Ndugu zangu Watanzania, Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge. Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Utawala ambao ungesahaulika ghafla na usikumbukwe kabisa, ni huu wa Samia, ila kwa sababu ya mauwaji, utakumbukwa kwa ukatili huo!

    TANZANIA tulipoanza kudai maendeleo katika nchi yetu, tulionjeshwa kidogo namna ya kuyaleta hayo maendeleo na yenye uchungu ndani yake, tulipewa brudoza, tingatinga, ambalo halikujali chochote chenye kutia hasara na ama kitacholeta uchungu badaye, Bali ilikuwa wengine wote wakae kimya, brudoza...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Rwanda wanaanda Formula One, Kenya wanawakaribisha Bayern na Ajax, Tanzania Samia anatosha

    Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imechangamka ile mbaya, mambo yako moto fire, marais wa nchi wanachama wapo busy hapa na pale. Lakini ukweli mchungu ni kuwa kuna marais wa nchi majirani wanaopiga hatua za kiwango cha dunia huku wengine tukibaki kuwa watazamaji wa mechi za wenzetu. Ukiangalia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania DC Shaka: Rais Samia amewaaibisha waliombeza

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mhe. Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaibisha waliombeza waliokuwa wakidhani kuwa asingeliweza kuendeleza miradi ya kimkakati ya Taifa. Shaka amesema wakati Mhe. Rais Samia anaingia madarakani, licha...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwalunenge: Tanzania ya Rais Samia ni kama Ulaya

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha ujenzi wa Mji wa Serikali, akisema kuwa hatua hiyo inatekeleza mojawapo ya malengo yaliyokuwa yamewekwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Amesema hayo wakati akieleza kuhusu ziara...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Mnaposali, waombeeni watu wawili, Rais Samia na mimi

    Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe. Makonda ametoa kauli hiyo akisisitiza umuhimu wa viongozi hao kuombewa wanapopata...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania Leo limeriport kuwa Samia alianzisha Ushoroba Lobito

    ◇Utaunganisha bandari ya Dar es Salaam na bahari ya Atlatinki ◇Ni matunda ya ziara ya Rais wa Angola, João Lauren's nchini ◇Atangaza pia kuanzishwa ubalozi wa Tanzania nchini Angola
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashuhudia nguvu ya vijana

    ◇Ni inayotokana na msisitizo wa uteuzi wa wasaidizi wake ◇Ndejembi akomaa kila fursa inayojitokeza, wasikosekane ◇Alianza na mafunzo kwa vitendo, kampuni zao, sasa kwenye gesi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Samia atangaza October 29 kama siku ya Mapumziko. Kesho watu pumzikeni

    Nimekutana na hii taarifa. Kesho wananchi watulie ndani
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maryprisca Mahundi asukwa mtindo wa Jina la Rais Samia

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhandisi Maryprisca Mahundi Maryprica Mahundi akisukwa mtindo wa Jina la Rais Samia ikiwa ni sehemu ya shindano la Ususi hapa Mlimani City kwa Wasusi wakiandika majina ya Viongozi...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Msibani kwa Baba Wambura

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Shilingi Bilioni 31.4 Kukarabati Barabara Ya Gehandu – Babati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi bilioni 31.41 kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa matengenezo ya kilomita 66.5 za Barabara Kuu ya Gehandu–Babati, yenye urefu wa jumla wa kilomita 105.5. Barabara hiyo ni kiungo muhimu cha usafiri kati ya Mkoa wa...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua mji wa kiserikali Mtumba, Dodoma

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma Oktoba 30, 2026. Mradi ambao ujenzi wake umegharimu takriban bilioni 700.
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Samia Suluhu wangemuiga Hussein Bashe, wasingekuwa wanamwaga damu ya Binadamu

    Kinacho sababisha watu kuteka binadamu, kuua ni Umasikini. Yaani Matajiri wanatumia pesa zao kuwapa Masikini ili wamwage damu za masikini wenzao na hao Masikini wanaoua wenzao, wanajisifu kwa kumwaga damu ya Binadamu fukara mwenzao ili kumfurahisha Mtawala/ tajiri alowatuma. Yaani masikini...
Back
Top Bottom