figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Salaam Wakuu,
Tupige Story za Siasa za Tanzania. Bila kuingia deep sana.
Wote tunajua nguvu ya hawa Wana CCM wenye Ushawishi.
Je, kwanini mfumo wa CCM ya Samia unawatema?
Je, Beno Morris Malisa, Hussein Bashe, Emmanuel Nchimbi, Rostam Aziz na Fred Lowassa ndo Wanamuogofya Samia? Ndo wanafanya aishi kwa uoga?
Hadi sasa timu ya Samia ambayo ina Wanaccm waaminifu kwake kama Kiziga, Riziwani Kikwete, Mafwele, wanaupiga mwingi na wanatumia mamlaka yao kuhakikisha wananyongonyesha CCM clean.
Ila Beno kawaibisha kulialia wakati Kundi la Samia limebakiza miaka 3 tu. Kwanini asitulie?
Je ni kundi gani litaibuka Kidedea mwisho wa siku?