Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe.
Makonda ametoa kauli hiyo akisisitiza umuhimu wa viongozi hao kuombewa wanapopata nafasi ya kufanya maombi.
Mnapopata nafasi ya kuwaombea viongozi, mnapopata nafasi ya kuwaombea viongozi, ninaomba niwaletee watu wawili kwenu, msiache kuwaombea.
Wa kwanza ni Daktari Samia. Huyu mama tuendelee kumuombea. Mungu ampe ulinzi, ampe mafunuo, ampe picha ya kuipeleka Tanzania mbele zaidi. Lakini pia nchi yetu ipate kubarikiwa na riziki yetu izae matunda.
Na pili mnikumbuke. Haleluya. Mnikumbuke mimi shauku yangu siku moja mle bungeni mle yalipuke mapepo