wawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Raiffa: Mwanamke anayelea watoto pekee, amebeba majukumu ya watu wawili katika moyo mmoja! Aheshimiwe

    "Wanawake ambao saa yao ya kuamka ni kilio cha mtoto. Wamefundishwa kuwa mama lakini maisha yakawalazimisha kuwa baba pia. Wanabeba mabegani mtoto, mkononi mfuko wa mboga, moyoni deni na usoni tabasamu ambalo halisemi ukweli. Jamii imekuwa na haraka ya kuwahukumu kuliko kuwasaidia. "Mumeo yuko...
  2. bless on

    JamiiForums Tanzania Kisa Cha kweli chenye utata wa kibaiolojia mapacha wawili mzungu na muafrika

    Mwaka 2022, nchini Brazil (mji wa Mineiros), binti mmoja wa miaka 19 alijifungua watoto wawili wa kiume waliotazamiwa kuwa mapacha wa kawaida. Watoto hao walikua kwa amani hadi walipofikisha umri wa miezi minane. Lakini kutokana na sura za watoto hao kuanza kutofautiana sana, mama huyo aliamua...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Mnaposali, waombeeni watu wawili, Rais Samia na mimi

    Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe. Makonda ametoa kauli hiyo akisisitiza umuhimu wa viongozi hao kuombewa wanapopata...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wafariki wakipambana na Askari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wamefariki dunia baada ya kujeruhiwa katika mapambano na askari wa polisi eneo la Kijenge, jijini Arusha. Watuhumiwa hao ni Yusuph Hamis, maarufu kama Yuzo, na Dickson...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto 4 Wateketezwa kwa Maji Moto Wakati wa Ibada ya Kufukuza Pepo Bondo, Mchungaji na Viongozi Wawili Wakamatwa

    Mchungaji na viongozi wengine wawili wa kanisa la St Abraham Assemblies of God, linalojulikana kama Sayuni, wamekamatwa baada ya watoto wanne kudaiwa kuunguzwa kwa maji moto wakati wa ibada ya kufukuza pepo wabaya. Kwa mujibu wa taarifa, watoto hao walipata majeraha makubwa ya kuungua baada ya...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wawili tu wanatakiwa kuokolewa. Unadhani Mke atamuacha nani kati ya hawa?

    Wakuu Wawili tu wanatakiwa kuokolewa. Unadhani hapa Mke atamuacha nani kati hawa?
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Watanganyika, tuwe wakweli ma tuweke siasa pembeni! Nani anayefaa kuwa Rais kati ya hawa wawili?

    Naomba mpige kura! Wote wana Phd za darasani!
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya Kambele Investment ya Arusha inauza kiwanja kimoja kwa wateja wawili

    Nina hoja kuhusu Kambele Investment, Mianzini - Arusha, mnunuzi anadai kuwa kiwanja alichonunua kimeuzwa pia kwa mtu mwingine, pamoja na kufuatilia suala hilo kwa muda, bado anadai hajapata suluhisho wala stahiki zake. Tunaomba Wizara ya Ardhi na mamlaka husika kulifanyia uchunguzi suala hili...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya hawa Miungu wawili

    1. Mungu Jehovah anasema usiue 2. Usifanye zinaa 3. Watumishi wake Malaika 4. Penda watu wote 5. Usiseme Uongo 1. mungu shetani allah anasema ua wasio wa shetani 2. Oa badilisha utakavyo na ukija ahera utapata wanawake 72 udinye utakavyo. Oa mtoto ,oa mzee. 3. Watumishi wake Majini 4. Wachukie...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wawili wakamatwa Kabete kwa kutengeneza juisi bandia

    Maafisa wa upelelezi kutoka Kituo cha Polisi Kabete wamewakamata watu wawili wanaodaiwa kutengeneza na kusambaza juisi bandia katika eneo la Muthua, Kabete. Washukiwa hao, Alex Mwaruta na James Munala Inyangala, walikamatwa wakiwa katika mchakato wa kutengeneza juisi hiyo baada ya polisi kupata...
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku mbili, Wanaharakati wawili: Collins Otieno Apatikana akiwa hai.

    Mwanaharakati mwengine Collins Otieno amepatikana akiwa hai, siku moja tu baada ya mwanaharakati mwenzake Boniface Mulinge Muteti pia kupatikana baada ya kuripotiwa kutoweka. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Hussein Khalid wa Vocal Africa, Collins alipatikana kando ya Thika Road majira ya saa...
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Harusi za Dar: Watoto wawili, wameishi miaka 10 alafu nichange 200,000/-?

    Vijana wa Dar es salaam, mara tu baada ya kuingia chuuo kikuu, mwaka wa kwanza , ananza kuishi na mwanamke kama mume na mke, baada ya miaka 2 wanakuwa mke na mume kisheria(presumption of marriage). Wanahitimu na kupeana mimba maana huwa wanafanya mapenzi kila siku bila kutumia kondom. Wanapata...
  13. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mmoja atupwa jela, wawili waachiliwa kwa Plea Bargain kwa kutengeneza pombe feki Arusha

    Arusha. Mtu mmoja amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na Mahakama ya Wilaya ya Arusha, huku wengine wawili wakiachiliwa huru kwa Plea Bargain baada ya kukutwa na hatia ya kutengeneza na kukutwa na pombe feki pamoja na stempu feki za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Adhabu hizo zimetolewa...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Bifu la kisiasa baina ya team Lema dhidi ya team Heche, nani hasa ni changamoto baina ya mafahali hawa wawili ndani ya CHADEMA?

    Kwa maoni na mtazamo wako, unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema, Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano? Nani anaweza kua changamoto zaidi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji awatenganisha hadharani wana ndoa ambao walikuwa Mme mmoja wake wawili

    Mume ni mmoja, lakini ana wake wawili: mke mkubwa na mke mdogo. Mke mkubwa aliokoka. Baada ya mume wake kusikia mafundisho ya Injili, alimwacha na kukimbia, akamuacha kanisani.Baadaye, alipooa mke mwingine, huyo mke naye akaokoka. Anafanya kazi katika eneo lake, anachanga na anashiriki katika...
  16. Supapawa

    JamiiForums Tanzania Tukiwachunga hawa 👇mabwana wawili tutaishi vizuri na Dunia itakuwa salama

    Mmoja ulimi, mwingine dushelele! 😎 Wawili hawa wala hawana mfupa lakini shughuli yao huwa ni pevu. Basi nyote nawasihi muwachunge hawa mabwana wasije wakaleta mabalaa. Ni hayo tu kwa leo.
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Tanzania ina Makamu wawili wa Rais? Mmoja ni halali na mwingine ni batilifu hadi Septemba 4 ndipo anakuwa halali. Rais na VP Sio Wabunge!

    Wanabodi Je wajua kuwa hapa tunapozungumza, Tanzania tunao Makamu wawili wa rais?,kati ya hao wawili,mmoja ni halali hadi tarehe 4 September, na mwingine ni batili kwa ubatilifu hadi tarehe 4 September ndipo anakua halali! Kwa mujibu wa barua ya kujiuzulu ya Dkt. Nchimbi aliwasilisha barua...
  18. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Deo Ndejembi kuanza katiba mpya

    Naambiwa huyu jamaa ni mmoja wa waumini waku wa wa katiba mpya. Bila shaka mwezi wa kwanza kazi I ataanza na hili
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Pwani: Polisi wawili wagongwa kwa mkupuo na kufariki

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi, Izdory George Michael na Rehema Juma Magawa, wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Noah katika barabara kuu ya Dar es salaam - Morogoro kwenye eneo la Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani. Jeshi la Polisi mkoani Pwani limesema baada ya ajali...
  20. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Je inakupa tafsiri gani makamu wa rais wawili wanajiuzulu ndani ya miaka miwili ?!

    honest truth, no 1 ni .....
Back
Top Bottom