Amekua akininyima unyumba kwa muda sana kila nikihitaji amekua akitoa sababu mara naumwa kichwa mara miguu alaf siku zingine nikifanikiwa kusex nae hua ananipa kama kunisusia wala hajishughulishi si kwa sauti wala vitendo.
Nimeishi nae takriban miaka 5. Watoto wangu ni wadogo sana Mkubwa na...
Askari wawili wa Jeshi la Polisi baada ya kukutwa wakichinja ng’ombe ambaye aliripotiwa kupotea katika Kituo cha Polisi cha Kaptagat.
Askari hao, Chrispus Butali na Samwel Mbugua Njuguna wanashikiliwa kutokana na kukutwa katika tukio hilo.
Taarifa ya Polisi imeeleza Josephine Kandie aliripoti...
Baada ya kutoa taarifa Desemba 12, 2024 ya kukamatwa kwa watuhumiwa wawili wenye asili ya Asia katika operesheni iliyofanyika katika Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Kipolisi Rufiji wakiwa na nyaya za copper ambazo zilitambuliwa kuhujumiwa kutoka miundombinu ya TANESCO na Shirika la Reli Tanzania...
Wamiliki wawili wa jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, Dar es salaam wamepelekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana huku mmoja wao ambaye ni Leondela Mdete (49) akipata dhamana katika kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Waliokosa dhamana ni...
Naomba ushauri wako kati ya hawa wanawake wawili yupi anaweza kuwa sahihi kwangu?
MWANAMKE WA KWANZA
Ana elimu ya darasa la saba lakini ni mjanja sana maana hata text za kiingereza anajua kusoma na kuandika baadhi ya maneno, amezaliwa 1988 (miaka 36), ana watoto wawili wote wa kike - sio watoto...
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Kata ya Ikana, Wilayani Momba, Amos Sikamanga (41) amelazwa katika kituo cha afya Tunduma akidaiwa kujeruhwa vibaya kwa kuchomwa kisu cha utosi na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Tukio hilo limetokea Novemba 27, 2024 majira ya...
Jana,katika Mkoa wa Rukwa watu wawili wameuawa kwa kupigwa radi walipokuwa shambani baada ya mvua kunyesha kidogo mchana kweupe.
Shuhuda mmoja wa hili tukio amesema,"Kama yupo mtu yoyote aliyefanya hiki kitendo,anapaswa kuona aibu. Angalia watu wote hawa wanavyolia!"
Waliokufa ni mama na mtoto...
Katika kijiji kidogo kilicho katikati ya milima yenye uoto wa kijani kibichi, aliishi msichana mdogo mwenye tabasamu la kuvutia aitwaye Neema. Alikuwa maarufu kijijini kwa ukarimu wake na moyo wake wa upendo. Neema alikuwa akifanya kazi kama mwalimu katika shule ya msingi ya kijiji, ambapo...
Akitoa taarifa ya kufukuzwa kwa watumishi hao baada ya baraza hilo kujigeuza na kuwa kamati mwenyekiti wa halmashauri Pankrasi Maliyatabu aliwataja Watumishi hao kuwa ni Atanasi Ignas Mgunda Mteknolojia msaidizi na Japhet Masud Kimondo ambaye ni tabibu msaidizi.
Amesema kuwa Watumishi hao...
Ni dhahiri kuwa sasa hivi Lissu anaishambulia serikali ya CCM na Mwenyekiti wake wa CHADEMA Bw Freeman Mbowe kwa pamoja.
Kama tujuavyo ni kuwa siasa ya Afrika ni uadui na sio mashindano ya amani. Swali langu ni kuwa Je Lissu ameamua kupambana na maadui wawili kwa pamoja?
Je hawezi mmoja...
Yanga wamefanya maamuzi ya kitoto sana yote yamesababishwa na ombwe la uongozi sababu mpaka sasa hazijawekwa wazi wanachama na mashabiki wao kwakuwa ni empty up stairs wameshindwa kuhoji wala kutaka kujua sababu.
Tuionayo wengi ni kupoteza michezo miwili mfululizo wamesahau msimu uliopita...
Nina wanaume wawili na wote wanataka kunioa. Labda nikufafanulie kidogo, kaka. Niko kwenye mahusiano na wanaume wawili: mmoja ni kijana kama mimi, ana miaka 27, na mimi nina miaka 24. Anaishi kwao, na baba yake ni mtu mwenye pesa sana, hivyo anampa kila kitu. Hata kufanya kazi hataki, kwani...
Huko nchini Brazil Influencers wawili wameripotiwa kufariki dunia baada ya kukataa kuvaa Jaketi za kuokoa maisha walipokuwa kwenye boti ya mwendo kasi iliyozama pwani ya Brazil. Walikataa kuvaa jaketi hizo kwa sababu hawakutaka kuharibu mwonekano wao kwenye picha walizokuwa wakipiga kwa ajili ya...
Jeshi la Iran limesema,Wanajeshi wake 2 wameuawa na wengine 16 kujeruhiwa baada ya Israel kufanya mashambulizi ya kijeshi Tehran leo asubuhi. Mashambulizi hayp ni jibu la Israel kulipiza kisasi mashambulizi ya Iran nchini Israel Oktoba Mosi mwaka huu.
Source: Aljazeera English.
Taarifa ya Chama cha Podemos imeeleza kabla ya mauaji hayo, wauaji walifuatilia gari la Dias na Guambe kwa muda kisha kuwashambulia wahusika kwa risasi katika Mji wa Maputo
MSUMBIJI: Watu wenye silaha wamesababisha vifo vya Wanasiasa wawili wa Chama cha Upinzani ambao ni Wakili Elvino Dias...
Viongozi wawili wa Hamas , Muhammad Hussein Ali al-Mahmoud na Said Alaa Naif Al ambao walikuwa wakiishi na kufanyia oparesheni zao kutokea labanoni wameuliwa leo katika mashambulizi ya Israel usiku wa leo na Hamas wamethibitisha kuuliwa kwa viongozi hao.
-------------------------------------...
Watu 120 zaidi wamemtuhumu mwanamuziki wa rap Sean ‘Diddy’ Combs kwa unyanyasaji wa kingono, ubakaji na kutumiwa vibaya kingono.
-
Wakili wa Texas Tony Buzbee amesema kuwa 25 miongoni mwa wateja wake walidhulumiwa wakiwa wangali watoto wenye umri wa miaka 9 -15.
-
Nusu ya idadi hiyo ni wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.