Kuna tafti nimeona bbc et, kukaa uchi mbele ya watu kunakufanya utathimini mwili wako! hii sindio inachochea kudinyana!Sana mkuu, kudinyana kumekuwa fashen. Aidha, migogoro mengi hutokea kutokana na kurushiana maneno.
Wanaopata(ga) ajali ya kuvunjika na wanavunjikaga nini? 🤣🤣Yeah, like dude liso mfupa linajua kuchapa bhana! Imagine unamcapia bibie huku kilio kikiwa dhahiri. 😋
Iko hivi 👉Wanaopata(ga) ajali ya kuvunjika na wanavunjikaga nini? 🤣🤣
diuy! Yani et wameweka na picha watu wako naked mkuu!Kivipi mkuu?
sawa nabiiMmoja ulimi, mwingine dushelele! 😎
Wawili hawa wala hawana mfupa lakini shughuli yao huwa ni pevu.
Basi nyote nawasihi muwachunge hawa mabwana wasije wakaleta mabalaa.
Ni hayo tu kwa leo.
Nyama inavunjika🙄🙄... Kwaheee reeIko hivi 👉
Wavunjikao uume ni wale washirikio mahaba pori. Unakuta katika ule mchakato wa kutoa na kuingiza kwa Kasi bibie (kutokana na orgasm) anamkwepa mdinyaji, mdinyaji uume wake moja kwa moja unakutana na ardhi. Unavunjika!