salama

Salamá is a city in Guatemala. It is the capital of the department of Baja Verapaz and it is situated at 940 m above sea level. The municipality of Salamá, for which the city of Salamá serves as the administrative centre, covers a total surface area of 764 km² and contains 65,275 people.

View More On Wikipedia.org
  1. Panga Makalikuwili

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya El nino ililenga siku ya leo...tukivuka salama leo hutasikia ngonjela zozote za el nino

    UKIBISHA SUBIRI UONE
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nashukuru october 29 imepita salama kwangu na familia yangu

    Nashukuru, October 29, 2025 imepita salama kwangu na familia yangu. Sio mjomba, shangazi, kaka, dada, shemeji, ndugu au jamaa. Ijapokuwa watu wangu wamesambaa ktk miji mbali mbali yaliotokea vurugu, lkn mwaka sasa sijasikia taarifa ya athari kwa upande wangu iliotokea. Namshukuru sana Allah...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakomavu tunajua siyo kila akutakiyae safari njema anataka ufike salama

    WATOTO HAWAJUI HILI 😔 Wapo wataokusindikiza mpaka stendi ila sio kwa upendo, wanaomba upate ajali WATOTO HAWAJUI HILI 😔 Watakuuliza umefika wapi sio kwa ukarimu bali wajue ikiwa bado una nguvu za safari ama umekwama kama watakavyo. WATOTO HAWAJUI HILI 😔 Watakuja kukupa pole sio kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama Kenya nayo imepoteza sifa ya safe haven, wanaharakati wa kisiasa Afrika Mashariki wakimbilie wapi ? Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC ?

    Kenya ilikuwa ikionekana kama safe haven, kimbilio la wale wanaharakati wa siasa waliotafuta uhuru na usalama nje ya nchi zao matukio yanayohusisha wanaharakati wa kisiasa, akiwemo Kizza Besigye wa Uganda, Maria Sarungi na Twaha Mwaipaya, kukamatwa yameibua hofu kubwa kuhusu usalama wa...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Magorofa ya Kenya asilimia kubwa si salama japo wanajitapa wanamaendeleo

    Ukiwa Kenya kutokana na ufinyu wa maeneo na kila mtu kutaka kujiegesha penye mkusanyiko wa watu wengi basi ni Nairobi na maeneo mengine. Ujenzi wa Kenya umejaa tamaa kuanzia mmiliki, engineer,mtoa kibari na mwisho mafundi. Hizi habari za kuporomoka majengo huko ni za kawaida na mengine mpaka...
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Alex,ananidokeza baba yupo salama na anajishughulisha na shughuli zake ndogo ndogo za kilimo!

    Pia anashangaa yale yanayozungumzwa mitaani,baba yupo salama na amepumzika siasa na anajishughulisha na kilimo pia haitaji bughudha na kelele!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Kahema Mzirary amesema gesi ya magari hailipuki ni salama

    Mkurugenzi wa Energo Tanzania Limited, Mhandisi Kahema Mziray ametoa wasiwasi kwa watu juu ya matumizi ya gesi asilia katika vyombo vya usafiri ikiwemo magari ni salama. Mhandisi Mziray ameyasema hayo wakati alipofanya mahojiano kupitia Upendo TV juu ya matumizi ya nishati ya gesi asilia katika...
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Poland: Siku tutakayojenga Misikiti ni siku Qatar wakiruhusu Tujenge Kanisa (Cathedral) Kwao

    Mbunge wa Poland atoa maoni yake kuhusu uhamiaji haramu na namna dini inaweza kusababisha mabadiriko ya kiimani, usalama na utawala katika nchi hiyo ambayo kwa miaka mingi imekuwa na Wakristo kwa asilimia zaidi ya 90% hasa Roman Catholics...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezkano ukawa ndani ya ccm na uko kinyume na rushwa seriously na ukatoka salama!?

    Kwa mambo ninayoyafahamu kuhusu chaguzi na mifumo ya siasa za ccm sijui kama kuna namna inawezekana uwe kada wa hicho chama Kisha upinge rushwa kwa dhati kabisa na ubaki salama na usalama wako. Ukweli ni kwamba labda machawa pekee ndo wanaweza wasijue lakini wana ccm wote huwa wanaelewa kwamba...
  10. R_Breazy

    JamiiForums Tanzania Je, ni salama kama ninavyodhania?

    Mm
  11. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wako kwenye Mikono salama

    Shalooom Makamanda!!!! Jeshi la Polisi likiwa katika majukumu yake ya kawaida limeweza kuwakamata wahalifu jijini Arusha , Taarifa zinazotufikia hivi punde zinasema kuwa gari la Kanda ya Kaskazini aina ya Toyota Land Cruiser, lililowabeba makamanda wetu, akiwemo Katibu Mwenezi wa BAVICHA Taifa...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kaaba Iko salama kiasi gani dhidi ya mashambulizi ya Wa-Houthi wa Yemen?

    Wa-Houthi wa Yemen katika wiki za karibuni wamezidisha mashambulizi ya kijeshi ya makombora kwa nchi ya Ufalme ya Saudi Arabia wakipiga maeneo muhimu ya kimkakati katika taifa hilo ambalo wamekuwa wakipigania nalo vita kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Katika siku za hivi karibuni imeshuhudiwa...
  13. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Zelensky ameambiwa hayuko salama popote alipo hata anakojificha ...

    ZELENSKY FELT THE BLASTS IN HIS BUNKER🚨🚨🚨 Russia launched a massive missile strike on Kyiv overnight. The blasts were so powerful he felt them underground. That is not a military message. That is a personal one. Moscow is telling Zelensky he is not safe. Not in his office. Not in his...
  14. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania LALA SALAMA 🕊️ JF MEMBERS 🕊️🙏✍️

    Usiku mwema. Kwenye maisha nimejifunza kitu kimoja: gharama ya kubadilika ni kubwa, lakini gharama ya kubaki pale pale ni kubwa zaidi. Watu wataona kimya chako, watadhani umepotea. Wataona huongei, watadhani umeishiwa nguvu. Hawajui unapambana kujijenga upya. Sina haraka ya kuthibitisha...
  15. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mauaji Barabarani: Wakenya 3,995 Wamefariki Ndani Ya Miezi 9 - VIFO 14 Kila Siku. Tutakubali Hii Kuwa Kawaida?

    Vifo 17 vya ajali katika eneo la Salama kwenye barabara kuu ya Mombasa - Nairobi vimeleta tena swali ambalo Kenya imekuwa ikilikwepa kwa muda mrefu: kwa nini tunazidi kupoteza watu wengi barabarani licha ya kujua maeneo hatari na sababu zinazochangia ajali? Katika kipindi cha kuanzia Januari...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tukio la mke kuuawa kwa risasi kisa kikidaiwa ni mali, je, ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa?

    Kwa tukio hili la Mwamba linalotrend Mtandaoni la kutamndika mkewe risasi na kumuua kisa kikidaiwa kuwa ni ugomvi uliochagizwa na mali, je najiuliza ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa au tusubiri kwanza? Pia soma: Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je kishoka hiki cha dharura bado ni salama?

    Kishoka cha kuvunjia au maarufu kama 'Crash Axe' ni kifaa cha dharura kinachowekwa ndani ya baadhi ya ndege kwa ajili ya kusaidia wahudumu wa ndege na marubani katika hali za dharura, hasa pale inapohitajika kuvunja au kukata sehemu za ndani ya ndege ili kuwezesha uokoaji. Kishoka hicho...
  18. albab

    JamiiForums Tanzania Club ya Rio-De-Janeiro iliyopo bukoba mjini sio salama tena kuelekea mvua za Elnino

    Kwa muda mrefu kumekua na malalamiko dhidi ya club ya Rio De janeiro iliyopo BuKoba Mjini mali ya Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Bukoba Mjini JOAS MUGANYIZI ZACHWA @ PEDESHEE kwamba imejengwa karibu kabisa na Mto Kanoni kinyume na sheria za NEMC. Mara zote walioleta hoja hii wameonekana wabaya kwa...
  19. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asubuhi ya Majonzi Kenya - Watu 17 Wafariki Katika Ajali Salama Blackspot

    Watu 17 wamefariki katika ajali mbaya iliyohusisha magari kadhaa eneo la Mlima Kiu, Salama, kwenye barabara kuu ya Nairobi–Mombasa, Kaunti ya Makueni, mapema Jumamosi, Oktoba 3, 2026. Ajali hiyo ilitokea muda mfupi baada ya saa sita usiku, wakati lori lililokuwa likitoka Nairobi kuelekea...
  20. iron finger

    JamiiForums Tanzania Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

    Wakuu, inakuwaje!Kuna swali moja la kijamii linalonikosesha amani sana mtaani kwa sasa na nimeona tulilete hapa jukwaani tulichambue kiume: Kwanini nguvu zote, kampeni, na kelele za "linda mgongo wako" zimehamia kwa watoto wa kiume tu? Kwani mgongo wa mtoto wa kike haupigiwi kelele ulindwe...
Back
Top Bottom