Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

iron finger

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
369
Reaction score
253
Wakuu, inakuwaje!Kuna swali moja la kijamii linalonikosesha amani sana mtaani kwa sasa na nimeona tulilete hapa jukwaani tulichambue kiume: Kwanini nguvu zote, kampeni, na kelele za "linda mgongo wako" zimehamia kwa watoto wa kiume tu? Kwani mgongo wa mtoto wa kike haupigiwi kelele ulindwe? Kwani mabinti wamekuwa salama ghafla au wamesahaulika kwenye hili jinamizi linaloendelea nchini?

Kwa mtazamo wangu kama migongo ya watoto wa kike tunaona sawa sioni shida wa kiume pia kutumika yao

You better watch your back
 
Wakuu, inakuwaje!Kuna swali moja la kijamii linalonikosesha amani sana mtaani kwa sasa na nimeona tulilete hapa jukwaani tulichambue kiume: Kwanini nguvu zote, kampeni, na kelele za "linda mgongo wako" zimehamia kwa watoto wa kiume tu? Kwani mgongo wa mtoto wa kike haupigiwi kelele ulindwe? Kwani mabinti wamekuwa salama ghafla au wamesahaulika kwenye hili jinamizi linaloendelea nchini?

You better watch your back
Kibongobongo mabinti hiyo ni kazi yao.

Tatizo ni wanaume tu.

Hata mabasha hawasemwi, wanaosemwa ni wale waliokataa uanaume tu.

Hata ma lesbian hawasemwi, kwa sababu wanaonekana wanacheza tu.

Tatizo linaonekana ni watu waliokataa uanaume na kuchukua kazi ya wanawake.
 
Na hapa ndio utaona unafiki wa wabongo. Huwa nashangaa bongo fleva 90% zinahamasisha kumla mwanamke jicho.

Sasa hawaoni mtu akizoea huo mchezo kwa wanawake iko siku atajaribu kwa wanaume wenzake!!

Kama issue ni linda mgongo iwe kwa jinsia zote.
 
mimi naona wangepiga kelele zaidi kwa wanawake . Mwanaume anayeshindwa kujilinda mwenyewe ni mpumbavu na huyo hapaswi kuitwa mwanaume. Mwanaume ana chuki ya asili dhidi ya ushoga ukiona unakubali kuwa shoga ujue hauna sifa za kiume.
 
Na hapa ndio utaona unafiki wa wabongo. Huwa nashangaa bongo fleva 90% zinahamasisha kumla mwanamke jicho.

Sasa hawaoni mtu akizoea huo mchezo kwa wanawake iko siku atajaribu kwa wanaume wenzake!!

Kama issue ni linda mgongo iwe kwa jinsia zote.
una hoja lakini kwa nini unatumia data za uongo?
Ni kweli 90% wana support huo usodoma?
 
Kati ya hao wawili ambaye mgongo wake ukidukuliwa ipi ni aibu kuu na fedheha??

Linda mgongo wako kwa wivu mkubwa

NB: haimaanishi wanawake wasilinde migongo yao la hasha ila katika hao wawili mwanaume ndiyo inabidi awe makini zaidi na mgongo wake maana yeye ni pump na kazi ya pump ni kupampu na siyo kupampiwa
 
una hoja lakini kwa nini unatumia data za uongo?
Ni kweli 90% wana support huo usodoma?
Yes maana ya kusema 90% ni kwamba ni kiasi kikubwa sana. Hayo maneno kusafisha mtaro, kuzibua mtaro, sim2, mpalange, tope n.k yote yanalenga kitu hiko

Na sio tu hivyo ukiangalia utafiti wa MEWATA (2016) uligundua 1 kati ya 3 ya wanawake wameshaingiliwa kinyume kumbuka hizi takwimu ni miaka 10 iliyopita hali ya sasa ipoje?

Kwahiyo unaweza fikiri unasolve tatizo moja kumbe unazalisha jingine. Kama ni kupinga ulawiti ni jinsia zote.
 
Back
Top Bottom