Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

😹😹😹😹 Nimecheka mpaka machozi..!!
Hujanizidi mie. Nilicheka jana hii comment wallah, mpare alichachuka hapo.
😂😂😂😂
 
Wabongo wanafki tu!

Wanaona kumuingilia mwanamke ni sawa ni sehemu ya burudani.

Wanasahau kama mtu akizoea hiyo njia siku akikosa mwanamke atatafuta wanaume wenzie..!!

Hapa wa kudili nao ni mabasha, hao wakidhibitiwa na ushoga umeisha..!!

Msidili na matokeo mdili na chanzo..!!
 
😹😹😹😹 Nimecheka mpaka machozi..!!
Nimefurahi umecheka Lamomy,
Shida ni contents za niliyekuwa nafanya nae arguments. Katuona sisi tunaopinga ufiraji na ufirwaji sio wasomi, hatujui kitu, kwamba ili tuwe na maarifa ya namna nzuri ya kufirana tumsome member mmoja, wewe inakujia akilini?

Kwa kweli yeye aendelee kufanya analoona ni heri kwake, sisi tuliokimbia umande tutazidi kuangalia.
 
Nimecheka sana 😹😹😹

Hivi kumbe una majibu ya kuvunja mbavu kama haya we mzee? 😹

Bichwa komwe ni mzee wa hovyo achana nae..!!
 
Polee sana sku moja kajipime matatizo ya akili
Huyu mtu mwanzoni nilihisi anafanya utani, ila siku zinavyozidi kwenda nimegundua ana changamoto mahali ambayo asipopata msaada wa haraka hali itakuwa mbaya zaidi.
 
Back
Top Bottom