Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

Juu kule umeongea kuhusu serikali inavyo take advantage na Ujinga wetu

Fikiria kua tukiongea habari za ushoga tutaungana dini zote,waislamu,wakristo,wapagan,CCM,CUF,Watanzania wote kwa umoja wetu tutaungana kupiga vita jambo hilo but Watanzania haohao huwezi kuwapata kwa umoja huo wakitaka haki,Kukemea Rushwa,State killings,uwajibikaji kwa serikali

Kwamba jambo hilo ambalo ni Uamuzi wa watu binafsi ni hatari zaidi na kukera zaidi ya watu kupokwa haki zao??

Kama nusu ya nguvu inayotumika kujadili masuala ya kipuuzi ingetumika kwa kujadili mambo chanya,kama taifa tungepiga hatua ila ndio hivyo kama Taifa hatujui priorities zetu,siku ambayo Lissu ana kesi ya kunyongwa yupo mahakamani watu wapo busy kujadili magari ya Heche na Hotel room ya Lema,Week hii yote atakua Dudu baya..

Tumekua so easy to be manipulated by political spins either kwa kuanzishiwa au kwa wenyewe kujiwasha gari
It is terrifying.
 
Ndo maana umejaa ujinga kwa sababu unatoroka hoja za wasomi akina Kiranga.

Nahisi hata shuleni ulikuwa unatoroka vipindi wewe unakimbilia vijiweni kupiga soga za ushoga.
Mkuu,
Wewe wasome hao wasomi kwa wivu mkubwa sana maana wanakushauri mambo makubwa. Huna haja kabisa na sisi wakimbia shule.

Mkimaliza kushauriana enyi wasomi, muende mkajiachie hiyo migongo isuguliwe kikamilifu. Mimi ni nani nikupinge, mgongo wako, mafuta umenunua wewe, unapakwa wewe, mkimaliza mnanuka wenyewe, mimi nipo ghetto langu na kila asset yangu naiona na kuimiliki kwa wivu mkubwa sana.
 
Haujalazimishwa.

Stay on your lane, usije ukaacha ndala.
Hata wewe unaefanya nakuonea huruma Kwasababu ya risk ya kupata maradhi, na anaefanywa namuonea huruma pia vilevile Kwasababu ya risk ya malazi. Pia unajiskiaje mtoto wako akifanyiwa hvy.
 
Mijitu imekalia kuharibu mikundu ya watoto wa kike ila wakiumwa wa kiume inaanza kampeni za kijinga tupinge mapenzi ya kinyume cha maumbile kwa jinsia zote sio tunashupaza shingo
 
Hata wewe unaefanya nakuonea huruma Kwasababu ya risk ya kupata maradhi, na anaefanywa namuonea huruma pia vilevile Kwasababu ya risk ya malazi. Pia unajiskiaje mtoto wako akifanyiwa hvy.
Hakuna aliyekuomba ushauri, acha kiherehere.
 
Mkuu,
Wewe wasome hao wasomi kwa wivu mkubwa sana maana wanakushauri mambo makubwa. Huna haja kabisa na sisi wakimbia shule.

Mkimaliza kushauriana enyi wasomi, muende mkajiachie hiyo migongo isuguliwe kikamilifu. Mimi ni nani nikupinge, mgongo wako, mafuta umenunua wewe, unapakwa wewe, mkimaliza mnanuka wenyewe, mimi nipo ghetto langu na kila asset yangu naiona na kuimiliki kwa wivu mkubwa sana.
Ujinga utakutesa mpaka lini?

Chukua hatua na uanze kuwasoma akina Kiranga uelimike.
 
Wakuu, inakuwaje!Kuna swali moja la kijamii linalonikosesha amani sana mtaani kwa sasa na nimeona tulilete hapa jukwaani tulichambue kiume: Kwanini nguvu zote, kampeni, na kelele za "linda mgongo wako" zimehamia kwa watoto wa kiume tu? Kwani mgongo wa mtoto wa kike haupigiwi kelele ulindwe? Kwani mabinti wamekuwa salama ghafla au wamesahaulika kwenye hili jinamizi linaloendelea nchini?

Kwa mtazamo wangu kama migongo ya watoto wa kike tunaona sawa sioni shida wa kiume pia kutumika yao

You better watch your back
Wapo salama
 
Shoga ni nani?Why attack iwe kwa wanaume tuu ipi agenda
Kwan mwanaume anaetoboa mapua na kuvaa hereni?Mwanaume anaesuka ? mwanamke anaefanywa kinyume na maumbire ?Mwanaume mwenye tabia za kike?

Ikiwa mtazamo upo kwa wanaume tuu tutakuwa tunakosea ikiwa makundi mengne yataonekana yapo sahihi

Napinga ushoga
......kataaa ushoga
 
mimi naona wangepiga kelele zaidi kwa wanawake . Mwanaume anayeshindwa kujilinda mwenyewe ni mpumbavu na huyo hapaswi kuitwa mwanaume. Mwanaume ana chuki ya asili dhidi ya ushoga ukiona unakubali kuwa shoga ujue hauna sifa za kiume.
Mi naona hii haipaswi kuwa kampeni wala vita to begin with .

Au walau waachiwe viongozi wa Dini na waumini wao, honestly kama taifa tunaweza kufanya nini kwa mambo yanayofanyika chumbani? Tutapimaje matokeo ya hii vita/kampeni or whatever we name it?

Bali nguvu tuelekeze kwa kupigia kelele wabakaji/walawiti wa watoto, sheria ziwe kali, kusiwe na dhamana na mianya ya rushwa izibwe.
 
Wanawake wamepewa wizara nzima ya kuwatetea.

Niambie wanaume ukitoa chama Cha wanaume wanatetewa na nani?
 
Mambo ya msingi yapi?
Yanayoendelea nchini, wanataka watu mjadili mambo ya ushoga kuja kushtuka mambo ya msingi mnayaacha mfano yanayotokea mahakamani huko

Watu wanauliza Makamu wa Raisi mstaafu yuko wapi tangu ajiuzulu hajasikikika na haonekani, popote, familia iko kimya
 
nimekupata mkuu, binafsi nachosikitika ni kushuhudia kuona kama jamii kuondoka kwenye tunazoziita "traditional values" , yawezekana ndo hiyo insular ignorance unayosema au lah, na kurudi nyuma inazidi kua ngumu sababu ya utandawazi
mwisho wa siku ni juu ya jamii yenyewe kuamua, na jamii hii inakua ngumu sana kulinda kitu chochote hata vile tunavyovithamini yawezekana ni kukosa elimu pia na kupenda kutumia busara pekee.
Hata hizo unazoziita "traditional values" zenyewe wengi hatuzijui, na ziko complex kuliko wengi wanavyofikiria.

Na tumevurugwa sana na ukoloni na dini za kuletewa za Ukristo na Uislamu mpaka wengine tunafikiri western puritanism ni traditional value ya waafrika, au tunafikiri Islamic values ndiyo traditional values za waafrika. Na hatuelewi African societies ziko so diverse and complex, hakuna kitu kama monolithic traditional value za africa.

Na kitu cha muhimu zaidi, si kwamba jambo fulani ni la "traditional values" ama la. Traditions na values zinabadilika na muda.

Mfano, kipindi cha nyuma jamii nyingi ziliruhusu utumwa, ziliruhusu mfalme mwenye nguvu kubwa sana hata ya kuua watu kwa kutaka yeye tu. Tumeondoka huko, leo karibu jamii zote angalau in principle zinaelekea kukubaliana kuwa utumwa ni jambo baya, na utawala kwa kiasi kikubwa uwe wa kidemokrasia hata huko walikobaki na wafalme kuna constitutional monarchies.

Sasa hapo uking'ang'ania traditional values mtu akasema turudishe utumwa na wafalme wanaozikwa na watu walio hai kuwasindikiza kuzimu utasemaje?

Utasema tykubaki ujinga kwa sababu ni traditional values zetu tu?

Ukifikiri kimantiki utagundua kutaka "traditional value" bila ya sababu ya ziada is actually a logical fallacy, argument from tradition logical fallacy.

Kitu muhimu ni kama suala lina mantiki ama la. Kwa mfano, kama katika tamaduni zetu kuna utamaduni wa waganga kurithisha watoto wao mikoba ya kujua dawa, ma herbalists, dawa zinazotibu magonjwa kwa kurithishwa traditionally, hapo tutazienzi hizo dawa, si kwa sababu ni tradition, bali kwa sababu zinatibu. Dawa za uongo za tradition tutazikataa, si jwa sababu nibza tradition, bali kwa sababu ni za uongo.

Sasa kwa nini tuangakie tradition wakati tunaweza kuangakia kitu kama ni cha kweki au uongo, kama kinafanya kazi au hakifanyi, bila kujali tradition?
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom