Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

Jam
Hakuna asili ya kimfumo wa kibailojia, inayosema mwanamke afirwe, usitafute njia ya kuhalalisha unafiki hapa.

Aliyekuambia mwanaume akifirwa uanaume wake unapotea nani? Hebu toa uthibitisho usio na shaka.

Maelezo marefu na ya kubumba, ili hali uhalalishe linalowafurahisha.

Sema ni UNAFIKI.
Jambo likihusu mashoga unabeba mapanga kabisa.
 
Soma maoni yangu achana na nadharia za wengine, acheni hiyo tabia, inaharibu afya ya akili na roho.!
Kwani mie sasa? Na repost wanachosema wanaume wenzenu kuwa mwanamke ni halali kufirwa, ameumbwa hivyo.
😂😂😂
 
Naam,

Tanzania watu kutokujua Kiingereza tu ni mtaji mkubwa sana kwa watawala.

Yani haya mazungumzo ya hapa JF tu, kuyafanya hata na mtu ambaye hajatoka Tanzania lakini mjanjamjanja tu kajifunza Kiingereza, kasomasoma vitabu na mitandao, kajua mambo kwa muktadha mkubwa, ni tofauti sana na unapoyafanya na mtu ambaye hajatoka Tanzania, hajui Kiingereza, hajajisumbua kusoma.

Na hao ambao hawajatoka Tanzania, hawajui Kiingereza na hawajisumbui kusoma ndio wengi.

Ndiyo maana mimi siku hizi nikibishana na mtu nikagundua tuna tofauti kubwa ya uelewa naacha tu kubishana. Nampeleka hata ignore list. Kwa sababu naona we are from two different worlds, how can we relate?

And some of them are even proud of their insular ignorance.

Kiingereza kimekuwa mzigo mpaka watu hata wanaotoka nje wengine haiwasaidii sana, kwa sababu wanakaa nje lakini mawazo yao yamefungiwa Tanzania, na hata huko nje wako insular kwenye jamii za Kitanzania tu.

Ndiyo hapo unakuta mtu kasoma mpaka shule kubwa nje, lakini ukimsikiliza unaona hana tofauti kubwa na wale ambao hawajasoma wapo hapo Tanzania hata Kiingereza hawajui.

Sisemi Kiingereza ndiyo usomi, kuna hoja ya kutofautisha Kiingereza na usomi, naielewa, ila, kuna mambo mengi sana yameandikwa na kujadiliwa Kiingereza ambayo hayapo kwenye Kiswahili kwa namna ambayo inamfanya mtu ambaye anajua Kiswahili tu na hajui Kiingereza (au lugha nyingine kubwa za kimataifa) awe na bonge la disadvantage.

Mfano, how do you even reduce such a big and complex issue of homosexuality to kufirana? Mpaka hapo tu unaona jamii yetu ilivyokosa elimu.

Huwezi kuzungumzia vizuri, kwa kina, haya mambo ya gender issues na sexual orientation katika Kiswahili. Utashindwa tu.

We don't even have the words.

Na hata hao wanaosoma, kama hawajajiongeza na kujilinda against kuwa railroaded kiutamaduni, hawatoboi.

Utamaduni unakuwa na nguvu sana zaidi ya usomi. Kiasi kwamba hata mambo mtu anayoyajua kisomi, akiwa na jamii ya Watanzania anapata cognitive dissonance, anashindwa kuya calcify kuyasimamia.

Haya, unaona sasa, hiw do you say "cognitive dissonance" in Swahili? Katika kujieleza hapa tu point yangu inajitokeza yenyewe bila mimi kupanga.

Utamaduni una nguvu sana, in an "argument from tradition logical fallacy" bad way.

Ndiyo maana Tanzania tofauti ya msomi na mtu asiye msomi ni ndogo sana.

Hususan ukizingatia suala la self censorship.

Watanzania wachache sana wana ujasiri wa kusema mambo ambayo hayapo popukar kwa watu wengi, hata kama wanaona wako sawa.

Mfano hoja ya nsingi kabisa ya kwamba ushoga, kwa mtu nzima, ni suala la lifwstyke, sexual orientation tu, ni haki ya mtu binafsi. Kama wewe usiyetaka ushoga ulivyo na haki ya kutolazinishwa kuwa shoga, na kugobagukiwa kwa sababu hutaji ushoga, basi na yule anayependa ushoga ana haki ya kuoenda ushoga bila kubaguliwa.

Kama wewe usiyependa kuwa shoga usingependa kwenda kwenye sehemu ambayo mashoga ni wengi, wakakulazimisha uwe shoga, basi shoga naye ana haki ya kuwa shoga bila kulazinishwa asiwe na shoga na jamii inayomzungusha eti kwa kuwa tu jamii ike inasema haioendi ushoga.

That is sexual orientation discrimination.

Watanzania wengi, hata wanaoelewa hiki, hawana ujasiri wa kulisema. Kwa sababu wanaona ni jambo lisilooendwa na wengi, hata kama ni jambo la haki.

Wanaona ni bora wa blend in wasipate backlash ya wananchi wenye hasira.
nimekupata mkuu, binafsi nachosikitika ni kushuhudia kuona kama jamii kuondoka kwenye tunazoziita "traditional values" , yawezekana ndo hiyo insular ignorance unayosema au lah, na kurudi nyuma inazidi kua ngumu sababu ya utandawazi
mwisho wa siku ni juu ya jamii yenyewe kuamua, na jamii hii inakua ngumu sana kulinda kitu chochote hata vile tunavyovithamini yawezekana ni kukosa elimu pia na kupenda kutumia busara pekee.
 
Yani wabongo wengi wanaona neno ni hatari kuliko tendo lenyewe.

Yani hawana tatizo na tendo, wao tatizo lao usitumie neno kali tu tumia tafsida.

Nashangaa sana, sasa kati ya tendo na neno utaonaje neno kuwa ndiyo kali ulikatae, lakini usikatae tendo lenyewe?

Ukichunguza sana, utaona ni unafiki tu.
Watu wa dini wanasema hilo neno kulitaja tu mbingu zinatikisika malaika wa Mungu wanajificha kwa aibu
 
Kwanza hapo wanaumia kisa nimewaambia kuwa mabinti zao watafirwa, kwa kuwa wanawake wameumbwa kufanywa, km wanavyosema wanaume wenzao.

Nashangaa wananisakama mie, kuwaambia ukweli. UNAFIKI huu hatariii.
😂😂😂
 
Watu wa dini wanasema hilo neno kulitaja tu mbingu zinatikisika malaika wa Mungu wanajificha kwa aibu
Huyo Mungu mwenyewe ni utapeli mtupu, wakiambiwa wathibitishe Mungu yupo kweli hawawezi.

Na habari za Mungu ndiyo mwanzo wa matatizo ya ujinga wote huu.

Ukiondoa ujinga wa habari za Mungu, hakuna hoja dhidi ya watu wazima kujiamukia kuwa mashoga inayoweza kusimama.
 
Kampeni haiwezi kufanikiwa kwa sababu wabongo hawajui wanataka nini.

Watu hawajui wanapinga nini, wanapinga ufiraji au wanapinga wanaume kufirwa?

Kama wanapinga ufiraji mbona kufira wanawake wenye matako makubwa ni kama fashion mpaka kwenye Bongofleva wanaimba?

Hata elimu yao kuhusu haya mambo ni ndogo, wakisikia ushoga wanachojua wao ni kufirana tu.

Wakati kuna mashoga asexual. Kuna bisexual, kuna lesbians. Kuna mambo mengi sana kwenye hili suala.

Hata lugha ya kujadili haya mambo hawana.

Ukiuliza shoga ni nani tu ni mjadala.

Je, shoga ni msenge tu? Au hata basha ni shoga? Wale lesbians nao ni mashoga?

Watu waume wanaoji present kike lakini hawafirwi, nao ni mashoga?

Wale ma crossdressers kina Chuche ambao hawafirwi, nao ni mashoga?

Tunaposema mashoga tunamaanisha nini?

Wabongo wengi hawajui, wamerukia tu hoja.
Ndiyo maana kuna uzi nilifungua leo nikasema hii kampeni ni ya kisiasa na imejaa unafki. Maswali uliyouliza hawawezi kukujibu na ukiuliza hawako tayari hata kwa huo mjadala.

Ukiwauliza "shoga" unamjuaje bila kujua kwa uhakika mfumo wa hisia zake juu ya mapenzi, hawawezi kukupa jibu. Wanaenda na hisia zinazofungua upenyo wa chuki kutamalaki na kuchafuana.

Wenzetu tunaoona wamepotoka wameenda mbali zaidi kwa kuamua watu wajitambulishe wenyewe hisia zao. Tunawaona wao wajinga na wamepotoka. Sisi kwa sababu ni watu tunaopenda kuishi gizani tunafichaficha na matokeo yake tunapiga vita maadui kwa kuhisi huku tukiona aibu kudili na maadui wengine wanaofanya matendo hayo hayo.

Elimu ya haya mambo inapigwa vita kuliko hata matendo yenyewe kwa sababu inafunua wazi hofu, unafki na ujinga uliotujaa wengi wetu.

PS. Sijawahi kuyaunga mkono mambo haya ila pia sijawahi kupoteza muda na nguvu zangu kuyapinga maana HAYANIHUSU!
 
Kwani mie sasa? Na repost wanachosema wanaume wenzenu kuwa mwanamke ni halali kufirwa, ameumbwa hivyo.
😂😂😂
Sawa, tunawaambia wasifirane, wasifire wanawake maana sio sawa, hata wanyama wenye utashi mdogo tu hawafirani, iwenje nyie mliopewa akili nyingi na maarifa yote, au ndio akili zimekosa kazi ya kufanya mnataka kufanya exploration ya miili yenu?
 
Kila mtu Kila mtu alinde mgongo wake, awe mwanamke au mwanaume, tulinde migongo yetu hakuna namna.

Uķisema wanawake hawapo.kwenyw equation wakati una binti na hutamani apakwe mafuta mgongoni utakuwa mnafique, kila mtu ajilinde, awe Me awe Ke, kufirana sio sahihi. Mwanamke anayefirwa anadharaulika 100% na huyo mfiraji, so kujilinda ni kutofanya huo uchafu.
Soma maelezo ya Kiranga hapo juu, acha kubwabwaja kama zezeta.

Soma hoja za wasomi ufunguke.

Mimi nawasikiliza wasomi akina Kiranga sio wewe nyadundo wa Tanganyika.

Tunaelewana?
 
Huyo Mungu mwenyewe ni utapeli mtupu, wakiambiwa wathibitishe Mungu yupo kweli hawawezi.

Na habari za Mungu ndiyo mwanzo wa matatizo ya ujinga wote huu.

Ukiondoa ujinga wa habari za Mungu, hakuna hoja dhidi ya watu wazima kujiamukia kuwa mashoga inayoweza kusimama.
Juu kule umeongea kuhusu serikali inavyo take advantage na Ujinga wetu

Fikiria kua tukiongea habari za ushoga tutaungana dini zote,waislamu,wakristo,wapagan,CCM,CUF,Watanzania wote kwa umoja wetu tutaungana kupiga vita jambo hilo but Watanzania haohao huwezi kuwapata kwa umoja huo wakitaka haki,Kukemea Rushwa,State killings,uwajibikaji kwa serikali

Kwamba jambo hilo ambalo ni Uamuzi wa watu binafsi ni hatari zaidi na kukera zaidi ya watu kupokwa haki zao??

Kama nusu ya nguvu inayotumika kujadili masuala ya kipuuzi ingetumika kwa kujadili mambo chanya,kama taifa tungepiga hatua ila ndio hivyo kama Taifa hatujui priorities zetu,siku ambayo Lissu ana kesi ya kunyongwa yupo mahakamani watu wapo busy kujadili magari ya Heche na Hotel room ya Lema,Week hii yote atakua Dudu baya..

Tumekua so easy to be manipulated by political spins either kwa kuanzishiwa au kwa wenyewe kujiwasha gari
 
Soma maelezo ya Kiranga hapo juu, acha kubwabwaja kama zezeta.

Soma hoja za wasomi ufunguke.

Mimi nawasikiliza wasomi akina Kiranga sio wewe nyadundo wa Tanganyika.

Tunaelewana?
Ukimsoma wewe inatosha kabisa mkuu! Achana na sisi tusio wasomi, msome na msome tena.
 
Ndiyo maana kuna uzi nilifungua leo nikasema hii kampeni ni ya kisiasa na imejaa unafki. Maswali uliyouliza hawawezi kukujibu na ukiuliza hawako tayari hata kwa huo mjadala.

Ukiwauliza "shoga" unamjuaje bila kujua kwa uhakika mfumo wa hisia zake juu ya mapenzi, hawawezi kukupa jibu. Wanaenda na hisia zinazofungua upenyo wa chuki kutamalaki na kuchafuana.

Wenzetu tunaoona wamepotoka wameenda mbali zaidi kwa kuamua watu wajitambulishe wenyewe hisia zao. Tunawaona wao wajinga na wamepotoka. Sisi kwa sababu ni watu tunaopenda kuishi gizani tunafichaficha na matokeo yake tunapiga vita maadui kwa kuhisi huku tukiona aibu kudili na maadui wengine wanaofanya matendo hayo hayo.

Elimu ya haya mambo inapigwa vita kuliko hata matendo yenyewe kwa sababu inafunua wazi hofu, unafki na ujinga uliotujaa wengi wetu.

PS. Sijawahi kuyaunga mkono mambo haya ila pia sijawahi kupoteza muda na nguvu zangu kuyapinga maana HAYANIHUSU!
You know ball
 
Ukimsoma wewe inatosha kabisa mkuu! Achana na sisi tusio wasomi, msome na msome tena.
Ndo maana umejaa ujinga kwa sababu unatoroka hoja za wasomi akina Kiranga.

Nahisi hata shuleni ulikuwa unatoroka vipindi wewe unakimbilia vijiweni kupiga soga za ushoga.
 
Back
Top Bottom