point ya elimu kadiri muda unavyo kwenda inazidi kua ngumu, kuna kundi kubwa sana la wanafunzi linaona kwenda darasani ni kukammilisha ratiba tu, na hali inakua mbaya zaidi wasomi wanavyopigwa majungu kwamba hawana kiu hali ya kua waliofeli ndo wenye hela
Naam,
Tanzania watu kutokujua Kiingereza tu ni mtaji mkubwa sana kwa watawala.
Yani haya mazungumzo ya hapa JF tu, kuyafanya hata na mtu ambaye hajatoka Tanzania lakini mjanjamjanja tu kajifunza Kiingereza, kasomasoma vitabu na mitandao, kajua mambo kwa muktadha mkubwa, ni tofauti sana na unapoyafanya na mtu ambaye hajatoka Tanzania, hajui Kiingereza, hajajisumbua kusoma.
Na hao ambao hawajatoka Tanzania, hawajui Kiingereza na hawajisumbui kusoma ndio wengi.
Ndiyo maana mimi siku hizi nikibishana na mtu nikagundua tuna tofauti kubwa ya uelewa naacha tu kubishana. Nampeleka hata ignore list. Kwa sababu naona we are from two different worlds, how can we relate?
And some of them are even proud of their insular ignorance.
Kiingereza kimekuwa mzigo mpaka watu hata wanaotoka nje wengine haiwasaidii sana, kwa sababu wanakaa nje lakini mawazo yao yamefungiwa Tanzania, na hata huko nje wako insular kwenye jamii za Kitanzania tu.
Ndiyo hapo unakuta mtu kasoma mpaka shule kubwa nje, lakini ukimsikiliza unaona hana tofauti kubwa na wale ambao hawajasoma wapo hapo Tanzania hata Kiingereza hawajui.
Sisemi Kiingereza ndiyo usomi, kuna hoja ya kutofautisha Kiingereza na usomi, naielewa, ila, kuna mambo mengi sana yameandikwa na kujadiliwa Kiingereza ambayo hayapo kwenye Kiswahili kwa namna ambayo inamfanya mtu ambaye anajua Kiswahili tu na hajui Kiingereza (au lugha nyingine kubwa za kimataifa) awe na bonge la disadvantage.
Mfano, how do you even reduce such a big and complex issue of homosexuality to kufirana? Mpaka hapo tu unaona jamii yetu ilivyokosa elimu.
Huwezi kuzungumzia vizuri, kwa kina, haya mambo ya gender issues na sexual orientation katika Kiswahili. Utashindwa tu.
We don't even have the words.
Na hata hao wanaosoma, kama hawajajiongeza na kujilinda against kuwa railroaded kiutamaduni, hawatoboi.
Utamaduni unakuwa na nguvu sana zaidi ya usomi. Kiasi kwamba hata mambo mtu anayoyajua kisomi, akiwa na jamii ya Watanzania anapata cognitive dissonance, anashindwa kuya calcify kuyasimamia.
Haya, unaona sasa, hiw do you say "cognitive dissonance" in Swahili? Katika kujieleza hapa tu point yangu inajitokeza yenyewe bila mimi kupanga.
Utamaduni una nguvu sana, in an "argument from tradition logical fallacy" bad way.
Ndiyo maana Tanzania tofauti ya msomi na mtu asiye msomi ni ndogo sana.
Hususan ukizingatia suala la self censorship.
Watanzania wachache sana wana ujasiri wa kusema mambo ambayo hayapo popukar kwa watu wengi, hata kama wanaona wako sawa.
Mfano hoja ya nsingi kabisa ya kwamba ushoga, kwa mtu nzima, ni suala la lifwstyke, sexual orientation tu, ni haki ya mtu binafsi. Kama wewe usiyetaka ushoga ulivyo na haki ya kutolazinishwa kuwa shoga, na kugobagukiwa kwa sababu hutaji ushoga, basi na yule anayependa ushoga ana haki ya kuoenda ushoga bila kubaguliwa.
Kama wewe usiyependa kuwa shoga usingependa kwenda kwenye sehemu ambayo mashoga ni wengi, wakakulazimisha uwe shoga, basi shoga naye ana haki ya kuwa shoga bila kulazinishwa asiwe na shoga na jamii inayomzungusha eti kwa kuwa tu jamii ike inasema haioendi ushoga.
That is sexual orientation discrimination.
Watanzania wengi, hata wanaoelewa hiki, hawana ujasiri wa kulisema. Kwa sababu wanaona ni jambo lisilooendwa na wengi, hata kama ni jambo la haki.
Wanaona ni bora wa blend in wasipate backlash ya wananchi wenye hasira.