cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Uko vizuri sana.Niliwahi kuwaambia rafiki zangu "Call me what you want, just dont call me collect"
So nishaitwa majina yote unayojua wewe and sijawahi ku flinch
Uko vizuri sana.Niliwahi kuwaambia rafiki zangu "Call me what you want, just dont call me collect"
So nishaitwa majina yote unayojua wewe and sijawahi ku flinch
Hakuna asili ya kimfumo wa kibailojia, inayosema mwanamke afirwe, usitafute njia ya kuhalalisha unafiki hapa.Nimeisoma, ameeleweka na pia yuko sahihi.
Ila context niliyoiweka mimi nikuzungumzia asili ya kimfumo wa kibaiolojia.
Sidhani kama inapingana na hoja yake ila mimi nimezungumzia tu mazingira yanayofanya kwanini jambo hilo akifanya mwanamke lichukuliwe kwa udogo lakini jambo hilo likifanywa na mwanaume lichukuliwe kwa ukubwa.
Hoja yangu kuiweka katika msingi wa kujadili asili ni kukusudia kwamba mambo yanayohusiana na kufanywa yapo kwenye asili ya mwanamke.
Mwanaume hayupo kwenye huo upande na hiyo ndio inayofanya iwe big story inapotokea mwanaume kahusika kwenye vitendi vya kufanywa.
Katika perception ya kawaida jiulize, mwanaume akifirwa tunaweza kukubaliana hapa kuwa asilimia fulani ya uanaume wake unaondoka.
Sasa mwanamke akifirwa ni sehemu gani ya asili yake hupungua?
Pengine kwasababu ya neno kufirwa limekuwa kali sana basi chukulia mfano huu.
Jamii inazungumziaje swala la ngono ya mdomo kunyonya mboo?
Dini haijasema chochote kuhusu katazo la mwanamke kunyonya mboo, na jamii haina taboo ya aina hii.
So hata kama kuna watu wana amini kitendo hicho ni mwiko au dhambi, lakini wote humu bila unafiki tunakubaliana kuwa ni rahisi kuchukulia easy habari ya mwanamke kunyonya mboo.
Lakini habari hiyo haiwezi kuchukuliwa kikawaida ikiwa mnyonyaji ni mwanaume.
Swali la kujiuliza hapo.
Ikiwa kuna watu wanafanya kampeni ya kupiga vita wanaume wanaofanya hivyo vitendo vya kunyonya mboo, je itakuwa sahihi kuwaona watu hao wanafki kwasababu nguvu hiyo haitumiki kukemea wanawake wanaofanya hivyo ili kuweka balance?
Kuna Wasomi Bongo? Au wenye vyeti waliyokariri mitaala ya Elimu kwa kufanyia mtihani tu?Naam,
Tanzania watu kutokujua Kiingereza tu ni mtaji mkubwa sana kwa watawala.
Yani haya mazungumzo ya hapa JF tu, kuyafanya hata na mtu ambaye hajatoka Tanzania lakini mjanjamjanja tu kajifunza Kiingereza, kasomasoma vitabu na mitandao, kajua mambo kwa muktadha mkubwa, ni tofauti sana na unapoyafanya na mtu ambaye hajatoka Tanzania, hajui Kiingereza, hajajisumbua kusoma.
Na hao ambao hawajatoka Tanzania, hawajui Kiingereza na hawajisumbui kusoma ndio wengi.
Ndiyo maana mimi siku hizi nikibishana na mtu nikagundua tuna tofauti kubwa ya uelewa naacha tu kubishana. Nampeleka hata ignore list. Kwa sababu naona we are from two different worlds, how can we relate?
And some of them are even proud of their insular ignorance.
Kiingereza kimekuwa mzigo mpaka watu hata wanaotoka nje wengine haiwasaidii sana, kwa sababu wanakaa nje lakini mawazo yao yamefungiwa Tanzania, na hata huko nje wako insular kwenye jamii za Kitanzania tu.
Ndiyo hapo unakuta mtu kasoma mpaka shule kubwa nje, lakini ukimsikiliza unaona hana tofauti kubwa na wale ambao hawajasoma wapo hapo Tanzania hata Kiingereza hawajui.
Sisemi Kiingereza ndiyo usomi, kuna hoja ya kutofautisha Kiingereza na usomi, naielewa, ila, kuna mambo mengi sana yameandikwa na kujadiliwa Kiingereza ambayo hayapo kwenye Kiswahili kwa namna ambayo inamfanya mtu ambaye anajua Kiswahili tu na hajui Kiingereza (au lugha nyingine kubwa za kimataifa) awe na bonge la disadvantage.
Mfano, how do you even reduce such a big and complex issue of homosexuality to kufirana? Mpaka hapo tu unaona jamii yetu ilivyokosa elimu.
Huwezi kuzungumzia vizuri, kwa kina, haya mambo ya gender issues na sexual orientation katika Kiswahili. Utashindwa tu.
We don't even have the words.
Na hata hao wanaosoma, kama hawajajiongeza na kujilinda against kuwa railroaded kiutamaduni, hawatoboi.
Utamaduni unakuwa na nguvu sana zaidi ya usomi. Kiasi kwamba hata mambo mtu anayoyajua kisomi, akiwa na jamii ya Watanzania anapata cognitive dissonance, anashindwa kuya calcify kuyasimamia.
Haya, unaona sasa, hiw do you say "cognitive dissonance" in Swahili? Katika kujieleza hapa tu point yangu inajitokeza yenyewe bila mimi kupanga.
Utamaduni una nguvu sana, in an "argument from tradition logical fallacy" bad way.
Ndiyo maana Tanzania tofauti ya msomi na mtu asiye msomi ni ndogo sana.
Hususan ukizingatia suala la self censorship.
Watanzania wachache sana wana ujasiri wa kusema mambo ambayo hayapo popukar kwa watu wengi, hata kama wanaona wako sawa.
Mfano hoja ya nsingi kabisa ya kwamba ushoga, kwa mtu nzima, ni suala la lifwstyke, sexual orientation tu, ni haki ya mtu binafsi. Kama wewe usiyetaka ushoga ulivyo na haki ya kutolazinishwa kuwa shoga, na kugobagukiwa kwa sababu hutaji ushoga, basi na yule anayependa ushoga ana haki ya kuoenda ushoga bila kubaguliwa.
Kama wewe usiyependa kuwa shoga usingependa kwenda kwenye sehemu ambayo mashoga ni wengi, wakakulazimisha uwe shoga, basi shoga naye ana haki ya kuwa shoga bila kulazinishwa asiwe na shoga na jamii inayomzungusha eti kwa kuwa tu jamii ike inasema haioendi ushoga.
That is sexual orientation discrimination.
Watanzania wengi, hata wanaoelewa hiki, hawana ujasiri wa kulisema. Kwa sababu wanaona ni jambo lisilooendwa na wengi, hata kama ni jambo la haki.
Wanaona ni bora wa blend in wasipate backlash ya wananchi wenye hasira.
Wenzako wamekuambia mwanamke ameumbwa kufanywa, km una binti yako mpare ajiandae kufirwaaa.Kila mtu Kila mtu alinde mgongo wake, awe mwanamke au mwanaume, tulinde migongo yetu hakuna namna.
Uķisema wanawake hawapo.kwenyw equation wakati una binti na hutamani apakwe mafuta mgongoni utakuwa mnafique, kila mtu ajilinde, awe Me awe Ke, kufirana sio sahihi. Mwanamke anayefirwa anadharaulika 100% na huyo mfiraji, so kujilinda ni kutofanya huo uchafu.
Punguza ukali wa maneno mjukuuWenzako wamekuambia mwanamke ameumbwa kufanywa, km una binti yako mpare ajiandae kufirwaaa.
😂😂😂
Kumbe ndy mana unaukubari ugasho. Mimi binafsi siwezi piga makofi Tako la mwanaume mwenzangu kwanza sizani kama yatakuwa laini. Pia hio michezo ya kula kinyeo ni ushamba siwezi chezaHatuitaki kwanza hiyo mbingu. Tutafirana humu humu mpaka yesu arudi.
Hakuna kuingiliwa nyuma, ni Kufirwaaa.Punguza ukali wa maneno mjukuu
Ni kuingiliwa nyuma
Kinyume cha maumbileHakuna kuingiliwa nyuma, ni Kufirwaaa.
😂😂😂
Ni kufira/Kufirwa/kufirana.Kinyume cha maumbile
Hilo neno lina ukakasi
Sasa mtu mzima na akili zake, anayetaka kutoa mgongo wake, kwa hiyari yake, hiyo ndiyo raha yake, na yeye unamwambiaje alinde mgongo wake?Kila mtu Kila mtu alinde mgongo wake, awe mwanamke au mwanaume, tulinde migongo yetu hakuna namna.
Uķisema wanawake hawapo.kwenyw equation wakati una binti na hutamani apakwe mafuta mgongoni utakuwa mnafique, kila mtu ajilinde, awe Me awe Ke, kufirana sio sahihi. Mwanamke anayefirwa anadharaulika 100% na huyo mfiraji, so kujilinda ni kutofanya huo uchafu.
Usiongee maneno magumu mbele ya watoto wetu we binti, its disturbing us. Kufirana haijalishi jinsi, sio sawa kwa wote, achaneni na hizo tabia, sio nzuri kwa afya ya akili na roho.Wenzako wamekuambia mwanamke ameumbwa kufanywa, km una binti yako mpare ajiandae kufirwaaa.
😂😂😂
Inauma eeh? Nasemaje km una binti yako basi atafirwaa tu, wee husomi au hujasoma comments za wanaume huko juu?Usiongee maneno magumu mbele ya watoto wetu we binti, its disturbing us. Kufirana haijalishi jinsi, sio sawa kwa wote, achaneni na hizo tabia, sio nzuri kwa afya ya akili na roho.
Soma maoni yangu achana na nadharia za wengine, acheni hiyo tabia, inaharibu afya ya akili na roho.!Inauma eeh? Nasemaje km una binti yako basi atafirwaa tu, wee husomi au hujasoma comments za wanaume huko juu?
😂😂😂😂
Hizo terminologies zima ukakasi sana, sijui wanaoingiliana huwa wanaombaje wapenzi waoNi kufira/Kufirwa/kufirana.
Hakuna kuficha wala kupunguza ukaki wa maneno
Yani wabongo wengi wanaona neno ni hatari kuliko tendo lenyewe.Hakuna kuingiliwa nyuma, ni Kufirwaaa.
😂😂😂