Magorofa ya Kenya asilimia kubwa si salama japo wanajitapa wanamaendeleo

Magorofa ya Kenya asilimia kubwa si salama japo wanajitapa wanamaendeleo

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Ukiwa Kenya kutokana na ufinyu wa maeneo na kila mtu kutaka kujiegesha penye mkusanyiko wa watu wengi basi ni Nairobi na maeneo mengine.

Ujenzi wa Kenya umejaa tamaa kuanzia mmiliki, engineer,mtoa kibari na mwisho mafundi.

Hizi habari za kuporomoka majengo huko ni za kawaida na mengine mpaka wanahamishwa au kuhama kukwepa hatari.
 
Back
Top Bottom