kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Zijue kampuni kubwa za Kichina zinazotengeneza simu maarufu Afrika

    China imekuwa mstari wa mbele duniani kwa utengenezaji wa simu janja (smartphones), ikitoa simu zenye teknolojia ya hali ya juu kwa bei tofauti tofauti (kuanzia za bei nafuu hadi za daraja la juu). Zifuatazo ni brand maarufu zaidi za simu kutoka China zilizogawanyika kulingana na makundi na...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Siasa ni mchezo unaohitaji precision ya hali ya juu katika kuucheza. Godbless Lema kafanya kosa kubwa la kiufundi kama alivyofanya Hezekiah Wenje

    Husemwa kuwa, siasa ni mchezo mchafu... Lakini mimi nasema hivi: Sio kweli, bali siasa ni Sanaa na profesheni halali na ya kawaida kama profesheni zingine katika maisha mfano ualimu, udaktari, unasheria nk. Shida ni kuwa, siasa imebeba watu wachafu kimaadili kwa zaidi ya 95% ndani yake na hawa...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taharuki Riruta: Nyufa Kubwa Zaibuka Kwenye Jengo la Ghorofa 10, Wapangaji Walazimika Kukaa Nje Bila Mali Zao

    Juma hili, hofu na taharuki zilitanda katika mtaa wa Riruta (Kibiria Road) jijini Nairobi baada ya nyufa kubwa za kimuundo kuibuka kwenye jengo la kisasa la ghorofa 10 linalokaliwa na takriban familia 95. Ingawa jengo hilo halijaporomoka, mamlaka za Serikali ya Kaunti ya Nairobi na timu za...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nafikiri huu ni mwaka ambao visa na visasi vya issues za kimapenzi vimetia doa kubwa katika jamii. What is next tena baada ya hili tukio la arusha?

  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuanzia tarehe 9/10 November mvua kubwa zitaanza kunyesha

    Hamjambo! Mimi sio TMA. Lakini kama Mwana jiografia, mazingira yananijulisha hapa kuanzia tarehe hizo mvua kubwa zitaanza kuripotiwa kunyesha. Sasa sijui itakuwa ni El nino au mvua tuu za msimu vuli. Haya nimemaliza. Naondoka Kiel nino. Kibabe yaani. TaikonMaster Kwa sasa Dar es salaam
  6. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mwanamitindo mjerumani Martina Big(Malaika kubwa) anayetamani kuwa muafrika.

    Pichani ni model raia wa ujerumani Martina Big Kwa Sasa anajiita Malaika Kubwa pamoja na mumewe. Wanandoa hawa wanadai kuvutiwa na kutamani kuwa kama waafrika ikiwemo kuhamia Africa kabisa. Martina aliamua kuongeza maziwa,kufanya matibabu maalum ya kuchoma sindano za melanin na vichocheo vya...
  7. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Watu wajinga ndio wanaoa na kuzaa: Akili kubwa ni kinga dhidi ya ndoa na uzao wa hovyo

    Ukiwa timamu uliyetimia kiakili, rijali wa ubongo, shupavu wa fikra tunduizi, huwezi kamwe, namaanisha kamwe abadani, kubeba mtu, kumchukua kutoka kwao na kwenda kumfuga nyumbani kwako kwa ajili ya ngono na kuzaa zaa hovyo. Jambo zima la ndoa limejengwa katika dhana ya ujinga, hofu, tamaa...
  8. Vien

    JamiiForums Tanzania Kama unatafuta watu wa kukuamini kwenye maisha yako, pambana sana ujenge imani kwa wateja wa kike kwenye biashara yako

    Najua unaweza kuona kama ni kitu cha ajabu, lakini ngoja nieleze kitu ambacho nimejifunza kupitia biashara zangu mwenyewe. Mwanamke akipata sehemu ambayo anaweza kununua bidhaa au kupata huduma bila hofu ya kudanganywa, akahudumiwa vizuri na kupata thamani ya pesa yake, kuna uwezekano mkubwa wa...
  9. Panga Makalikuwili

    JamiiForums Tanzania Hata kama Tanzania ikiongozwa na Likud, Haitapiga hatua kubwa za maendeleo.

    Raia hatutimizi wajibu wetu wa kuipambania nchi yetu. Wachache wanajaribu ila kundi kubwa la watanzania wanajiona hawahusiki juu ya hilo.Leo raia wa Tanzania wamewaachia wakatoliki wafanye maombi, kwao imetosha.Kwa ukubwa wa kilichotokea Oktoba 29 2025kweli hii ndio taswira yake!? Kwa hali hii...
  10. Lagrange

    JamiiForums Tanzania Chukua Tahadhari, Dodoma Kodi Za Fremu Ni Kubwa Mno

    Habari ,, Huu mji wa Dodoma umekuwa na kodi kubwa sana za fremu zisizo endena na uhalisia wa kibiashara , mfano mwaka Huu 2026 nyumba zilizo rekebishwa maeneo ya mjini katikati Kodi ni 4m,3m,2.5m ,2m na 1.5m kwa mwezi . Walio kuwepo hakuna hata mmoja aliye weza kurudi wamekuja wapya Hizo Kodi...
  11. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Magorofa ya Kenya asilimia kubwa si salama japo wanajitapa wanamaendeleo

    Ukiwa Kenya kutokana na ufinyu wa maeneo na kila mtu kutaka kujiegesha penye mkusanyiko wa watu wengi basi ni Nairobi na maeneo mengine. Ujenzi wa Kenya umejaa tamaa kuanzia mmiliki, engineer,mtoa kibari na mwisho mafundi. Hizi habari za kuporomoka majengo huko ni za kawaida na mengine mpaka...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma Yenye Historia Kubwa ya Mwalimu Nyerere Imevunjwa

    https://youtu.be/x2tRI9JFItw?si=TPN2hXKMkti1RaR7
  13. adriz

    JamiiForums Tanzania Kwa nini post za nje ikihusisha Tz inapata engagement kubwa kubwa ya wabongo mitandaoni kuliko nchi nyingine za Afrika ?

    Moja kwa moja .. Hili nimefuatilia sana ; 1. Kipindi Samata kajiunga Aston Villa , page ya Aston Villa ilijaa wabongo mpaka na aliponyimwa pasi wabongo walimshambulia sana Grealish 2 . Aziz Ki ; alipojiunga Wydad page ya Wydad waarabu walikimbia walijaa wabongo kupiga stori na kumtaka Admin...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kafulia usijichetue, India na Wachina Wana watu zaidi ya B Moja, ila wanamiliki Chumi kubwa, Afrika haiendelei sababu ya Viongozi wa ovyo ovyo

    MAREKAN Ina watu zaidi ya Milion 300, na wameendelea . Kafulila usione Haya kusema kua "Afrika tuna uçhumi mdogo licha ya Idadi kubwa ya watu kwa sababu ,Ni Afrika tu ndo Mtu anatafuta Urais kama Sifa, Wizi, Ufisadi
  15. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Ninepikiwa mboga ya majani ya magimbi, Ngara, wanaita IBITEKETEKE, nimewashwa sana hasa wakati wa kupata haja kubwa njia yote inawaka moto

    Ibiteketeke, mboga ya majani ya magimbi yaliyokatwakatwa. Ni matamu lakini yanawasha sana mdomoni. Nilikuka jana usiku. Muda huu natoka chooni, nimepata choo kwa mateso makali sana, njia nzima ya haja kubwa inawasha na kuwaka moto Wahangaza hii kitu msirudie tena kuwapa wageni. Mnawatesa.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Think deep: Walijua for sure, El Nino italeta maafa ya Jua Kali, ambapo huwezi " kupiga hela", wakasingizia Mvua kubwa

    THINK A BIT DEEP: Kwa auto drive mode ambayo TANGANYIKA inapitia, nasema kuna uwezekano mkubwa, " Wapigaji" ie wezi wa hela za umma, walijua kuwa El Nino this time itakuwa JUA KALI. Kwa muktadha huo huwezi KUIBA HELA. Unafanyaje? Unadanganya kuwa El Nino itakuwa ya mvua kubwa na hivyo inahitaji...
  17. C

    JamiiForums Tanzania TMA: El nino ipo tena kubwa

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesisitiza mvua kubwa za El Nino zipo na zitakuwa kubwa kuliko zilizotangulia. Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk Ladislaus Chang’a alisema El Nino inaendelea kuimarika na itaendelea kuimarika mwezi ujao na kumairika huko kunadhihirishwa na kuongezeka kwa kiwango...
  18. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Hongera Mkuu wa Mkoa Mbeya: Bajaji zidhibitiwe Mbeya, ni kero kubwa

    Pamoja na mandhari isiyoridhisha katikati ya mkoa wa Mbeya, bajaji zimekuwa zinaonyesha uozo mkubwa zaidi kiutawala Jiji la Mbeya, kwa upande wa usafiri wa umma. Bajaji zimeonyesha lawlessness, zinakupita kulia na kushoto na kwa hakika ni kero kubwa. Tukumbuke, toka Uyole hadi Mafiati, na...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Poland: Siku tutakayojenga Misikiti ni siku Qatar wakiruhusu Tujenge Kanisa (Cathedral) Kwao

    Mbunge wa Poland atoa maoni yake kuhusu uhamiaji haramu na namna dini inaweza kusababisha mabadiriko ya kiimani, usalama na utawala katika nchi hiyo ambayo kwa miaka mingi imekuwa na Wakristo kwa asilimia zaidi ya 90% hasa Roman Catholics...
  20. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Pale noti ilio choka na kurudishwa BOT, Inatekelezwa na kutengenezwa mpya? Je serikali haingii gharama kubwa kutengeneza noti mpya mara kwa mara?

    Yes, karibu
Back
Top Bottom