BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Ukiwa timamu uliyetimia kiakili, rijali wa ubongo, shupavu wa fikra tunduizi, huwezi kamwe, namaanisha kamwe abadani, kubeba mtu, kumchukua kutoka kwao na kwenda kumfuga nyumbani kwako kwa ajili ya ngono na kuzaa zaa hovyo.
Jambo zima la ndoa limejengwa katika dhana ya ujinga, hofu, tamaa, utapeli na janja janja.
Watu wawili mazwazwa wanapokutana, wanaweza kabisa kukubaliana kufugana kwa pamoja kwa madhumuni yasiyo na mashiko yoyote kiuhalisia.
Ukimuuliza mtu kwanini anaoa, hawezi kukujibu vile inapaswa. Atakwambia tu naoa kwa sababu umri umefika. Hana hoja wala mantiki katika uamuzi wake.
Alikuta tu baba ake ameoa, na yeye sasa ana ndevu za makwapa, basi ni sharti aoe.
Watu mazwazwa ndio wamechangia sana kuzalisha kundi kubwa la watoto na vijana wa mitaani wasio na faida yoyote. Mateja, malaya, wahuni, wasio na ajira, mabodaboda, na wezi wa simu.
Hili kundi kubwa la mazwazwa linazaa kundi kubwa lingine la mazwazwa ambalo linazidi kuteka na kuharibu ustaarabu wa dunia. Matokeo yake tunakuwa na dunia ya mazwazwa.
Siku hizi ni ngumu sana kukutana na watoto au vijana smart kichwani, hata ukiangalia interviews za kazi au vyuoni, unaona lile wimbi kubwa la mazwazwa limevamia taasisi za elimu na ajira.
Kuna haja ya kufanya great reset ili hili wimbi la mazwazwa litokomezwe once and for all kwa mustakabali mpana wa ulimwengu.