Salaam jamiiforum.
Wanaume wenzangu chungeni hivi vitu,kuweni navyo makini na kama ukihisi huna uwezo wa kuvimudu usijihusishe navyo.
👉Pombe.
Hii kitu inaweza kugharimu maisha yako na ukaharibu ndoto zako zote.
👉 Mapenzi.
Usiiingie kwenye huu mtego kama huna akili timamu utaharibu future...
Ni lini wazee wa ndoa lialia mtaacha shobo kwa chama la wana, chama la wastaarabu KATAA NDOA.
Nitoe rai, kuwa hakuna siku wazee wa ndoa lialia mtakuja kuwa na point za kuwashawishi KATAA NDOA.NYIE DAILY TUMEZOEA MKIJA JF NI VILIO TU GADDEMIT.MARA MMECHAPIWA MARA MATOTO HAYAFANANI NA WEWE MARA...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Jumapili ya leo ni sikukuu ya watakatifu wote katika kanisa, tunasherekea upendo wa MUNGU BABA kwa matendo yake makuu na ya ajabu ya kumtoa mwanae wa pekee ili atukumboe
Basi atukuzwe MUNGU mbinguni na atakatifuzwe mwanadamu ili siku moja...
Ukiwa timamu uliyetimia kiakili, rijali wa ubongo, shupavu wa fikra tunduizi, huwezi kamwe, namaanisha kamwe abadani, kubeba mtu, kumchukua kutoka kwao na kwenda kumfuga nyumbani kwako kwa ajili ya ngono na kuzaa zaa hovyo.
Jambo zima la ndoa limejengwa katika dhana ya ujinga, hofu, tamaa...
Anasema kumsamehe Mwanamke anaposaliti kwake ni ngumu sana hasa pale ambapo anapokuwa hatoki nje ya ndoa kabisa, hilo ndio kosa ambalo linaumiza zaidi kibidamu, na ni ngumu sana kumsamehe labda kwa uwezo wa Mungu.
Maandiko yanasemaje kuhusu utoaji wa mahari katika ndoa
Kuna maswali kadhaa ambayo baadhi ya watu huulizana mara kwa mara.
Mifano: Je ulipwaji wa mahari ina ulazima wowote? Je ni agizo la kibiblia? Na kama ni hivyo, je Adamu alitoa mahari kwa nani ili ampate Hawa?
Mahari ni zawadi ya harusi...
Paroko wa Parokia ya Shirika la Roho Mtakatifu, Kilosa Mpepo, Padri Nikas Kiuko, amewaomba waumini wa Parokia hiyo kuikataa migogoro ya ndoa inayoweza kusababisha vitendo vya ukatili na unyanyasaji, majeraha na hata vifo kwa wanandoa.
Wito huo umetolewa wakati wa adhimisho la Misa Takatifu ya...
Moja kati ya maajabu ya ndoa nyingi ni wanandoa kuacha hizi kachumbari za mapenzi. Mwanamke anaacha kumdekea mumewe, anaacha kumuogesha, anaacha kumheshimu, anaacha kumnyenyekea, anaacha kuwa submissive. Aacha vitu vingi alivyovitoa wakati wa uchumba.
Vivyo hivyo kwa mwanaume, anaacha kumpa...
Katika Karne ya 21 hakutakiwi tena lugha za mtoto wa nje ya ndoa au ndani ya ndoa, zaidi hutupaswi kabisa kumuita mtoto yeyote ni haramu. Mtoto ni mtoto, hakupaswi kuwa na tofauti yoyote ya ubaguzi kwa mtoto yeyote.
Ni wakati sasa wanaharakati kuwasilisha mapendekezo ya kupiga marufuku maneno...
Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 imeruhusu mke akope fedha anunue mahitaji ya familia kama mumewe hatoi fedha za matumizi.
Kifungu cha 64 (1) cha sheria hiyo kinasema mke ana haki ya kukopa fedha kwa ajili ya matumizi ya kuhudumia familia kwa jina la mumewe na mume ana wajibu wa kulipa deni hilo...
Kuna mtazamo hasi sana umekuwa ukisambazwa kuwa wanawake wa Kinyakyusa wana kiburi, ni wababe, Lakini, je, umewahi kujiuliza kuna nini nyuma yake ?
Ndoa inamuhitaji mwanamke kujishusha (Submissive), Ndoa inamtaka mwanamke kumtii mme wake, ndoa inamtaka mwanamke kukubali mwanaume ndie kichwa cha...
Najua ni utoto unakusumbua tu ukikua utaelewa namaanisha nini hapa. Endelea kujisevia malaya wageuze uwezavyo kwa style zote upendazo. Kumbuka utazeeka macho yako hayataona nuru tena na mikono itakuwa imechoka na hapo utahitaji msaada hutaupata.
1.Utaugua na utakosa hata mtu wa kukugeuza...
Familia
Hivi nini hupelekea watu waliokaa kwenye ndoa miaka 20+ au 30+ kuachana?
Huwa ni tabia za zamani ambazo mmoja wao alikuwa akijipa moyo na muda na kuvumilia akidhani tabia itarekebika?
Nina mfano hai wa mama wa familia fulani
Mume amempa talaka mke wake ambaye wameishi pamoja kwa...
Dkt CHEMICAL ANAFUNDISHA NINI HUKO UDSM KAMA HAJUI NDOA NI SEHEMU YA MAFANIKIO YA MTU BOTH MWANAUME NA MWANAMKE?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ndoa ni moja ya vipimo vya mafanikio ya mtu. Hilo mtu yeyote ambaye anaakili timamu analijua. Sasa mtu umeenda shule mpaka umefika chuo kikuu...
Kuna watu walioingia kwenye ndoa si kwa sababu walikuwa tayari kuoa au kuolewa, bali walikuwa wamechoka na kelele za ndugu, marafiki na jamii za “unaoa lini?”
Wakaingia kwenye ndoa ili wapate amani, kumbe wamejikuta wanaishi ndani ya ndoa kama wakimbizi wanaotafuta hifadhi!
Mungu aliwajalia wanawake neema ya kuishi maisha marefu.
Hata ukiangalia mortality rate, utagundua kuwa watoto wa kiume ni delicate kufa kuliko watoto wa kike.
Kwenye hili: Mungu anamakusudi makubwa kwasababu UPENDO WA MAMA always UPO WAZI KWA KILA MTU wanawake, wamezaliwa na upendo Daima ♥️ ...
Talaka ya Kiislam kama inavyotambuliwa na Kifungu cha 107(3) cha Sheria ya ndoa ni ushahidi kuwa ndoa imevunjika pasi kurekebisha lakini haivunji ndoa kisheria kwani mamlaka ya kuvunja ndoa yako kwa mahakama.
Hivyo unaweza kuwa umetalakiwa kihalali kwa dini na imani ya Kiislam lakini Kisheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.