Rate ya vifo vya wanaume kwenye ndoa ni kubwa kuliko ya wanawake , wanawake Wana immunity kubwa sana

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Mungu aliwajalia wanawake neema ya kuishi maisha marefu.
Hata ukiangalia mortality rate, utagundua kuwa watoto wa kiume ni delicate kufa kuliko watoto wa kike.

Kwenye hili: Mungu anamakusudi makubwa kwasababu UPENDO WA MAMA always UPO WAZI KWA KILA MTU wanawake, wamezaliwa na upendo Daima ♥️ .
Mungu wabariki wanawake wote Duniani ambao ni viongozi na ambao syo viongozi.

Kama hujui maana ya mortality rate google.

Mfano: wengi Bado tuna bibi zetu ambao tumezaliwa hatujawakuta wababu .
 
Na hasa kutoka kanda fulanifulani
 
Lakini WANAUME tunaangushana wenyewe. Wengi wao wanakufa Kwa pressure na mawazo tu. Maana WANAUME wengi wanaingia kwenye ndoa za watu, unajua kabisaaa kuwa huyu mwanamke kaolewa ila unaanza kumtamani na kutoka nae, mwisho wa siku mwanamke anaanza kumdharau mume wake, na hapo ndoa inaanza kuwa chungu na mwanaume anaingia kwenye mawazo sana. Hivyo, kupelekea kufa taratibu na mwisho anatangulia na mwanamke anabaki. Ukiacha wake wa Viongozi ambao wamefanyiwa tu figisu Kwa waume zao kuuwawa Kwa namna mbalimbali.
WANAUME tuheshimu ndoa za wenzetu, tusiingie na kuharibu maisha ya watu.
 
Kabisa mkuu
Lakini kwasasa kutembea na mke wa mtu imekuwa sifa, bila kujua athari zake, kuwa kutembea na mke wa mtu maana yake ni kumuua mwanaume mwenzako
 
Lakini WANAUME tunaangushana wenyewe. Wengi wao wanakufa Kwa pressure na mawazo tu. Maana WANAUME wengi wanaingia kwenye ndoa za watu, unajua kabisaaa kuwa huyu mwanamke kaolewa ila unaanza kumtamani na kutoka nae, mwisho wa siku mwanamke anaanza kumdharau mume wake, na hapo ndoa inaanza kuwa chungu na mwanaume anaingia kwenye mawazo sana. Hivyo, kupelekea kufa taratibu na mwisho anatangulia na mwanamke anabaki. Ukiacha wake wa Viongozi ambao wamefanyiwa tu figisu Kwa waume zao kuuwawa Kwa namna mbalimbali.
WANAUME tuheshimu ndoa za wenzetu, tusiingie na kuharibu maisha ya watu.
Umeongea kwa uchungu sana....

Pamoja na uchungu huu utakuta unamfakamia mke wa mtu vibaya sana, wako akiguswa michozi hiyo
 
Lakini WANAUME tunaangushana wenyewe. Wengi wao wanakufa Kwa pressure na mawazo tu. Maana WANAUME wengi wanaingia kwenye ndoa za watu, unajua kabisaaa kuwa huyu mwanamke kaolewa ila unaanza kumtamani na kutoka nae, mwisho wa siku mwanamke anaanza kumdharau mume wake, na hapo ndoa inaanza kuwa chungu na mwanaume anaingia kwenye mawazo sana. Hivyo, kupelekea kufa taratibu na mwisho anatangulia na mwanamke anabaki. Ukiacha wake wa Viongozi ambao wamefanyiwa tu figisu Kwa waume zao kuuwawa Kwa namna mbalimbali.
WANAUME tuheshimu ndoa za wenzetu, tusiingie na kuharibu maisha ya watu.
Siyo kweli wanaume hatuangushani,Na umetaja kigezo kimoja cha ndoa vipi na ambao ndoa haziwatesi mbona wanakufa vile vile hamna ukweli wowote hapa
 
Back
Top Bottom