Aisee mara utasikia kosea nini sijui ila usikosee kuoa.
Wakuu, mimi nasema kosea yote lakini usikosee ukazaa na mwanamke kichaa au wa uswahilini.
Kuna rafiki yangu ana kila kitu ila alifanya kosa na kuzaa na nusu chizi, nusu taahira. Kila akinisimulia anayopitia namuonea sana huruma, hana...
Kabla ya kuoa, nilidhani ndoa ni chanzo cha furaha na baraka. Nilitarajia amani na utulivu, lakini ukweli umekuwa tofauti kabisa. Nimegundua kwamba changamoto za ndoa zinaweza kukuletea presha kubwa, hasa unapokuwa na kipato cha chini.
Kipato kidogo kimekuwa chanzo cha migogoro isiyoisha...
Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie...
Habari wakuu.
Bana msoto wa Maisha ni mkali sana katika hii Dunia.
Mimi na mke wangu tupo Bega Kwa Bega Mbali Na Maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu.
Ebana shemeji yenu ananipa Moyo Sana katika utafutaji wa ugali.Nafurahi kusema ya kwamba kipindi cha raha tulikuwa...
Tofauti na hako katoto innocent hapo juu, hakuna cha maana tena. Too bad kakishafikisha miaka 14 kataanza fundishwa kumchukia baba yake.
Modern Weak Men alafu wanakutana Modern Independent Women unadhania nini kitafuata?
Ndoa imekuwa engineered katika panels zinazo hamasisha ukosefu wa furaha...
Eti ni udhaifu 🤷🏾
Hivi ni kweli wanaume mnafikiri kwa namna hii au ni baadhi tu ya vijana wasiojielewa?
Kama humuombi mkeo au mpenzi wako msamaha ukikosea, huwa unamalizaje migogoro kwenye mahusiano yako?
Mwisho kabisa, Je, ni sahihi kwa huyo mwenza wako pia kutukukuomba msamaha akikosea, au...
Habarini,
Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada...
Kwa kweli;
Ni mara nyingi wanaume ndio wanahangaika kutafuta wake na wapenzi.
Hata hivyo, kuna kundi la wanawake ambao hawavutiwi sana na mapenzi au uhusiano wa dhati, bali wanatafuta msaada wa kifedha.
Wanawake hawa mara nyingi wanatafuta mtu wa kulipia gharama zao, mfadhili wa maisha yao...
Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama...
Ndoa nyingi za siku hizi zinapatikana kwa njia hii...
Baada ya kutendwa na kuachwa na mpenzi wake aliyempenda kwa dhati, sasa anaamua kutafuta mtu yeyote wa kupoza maumivu ya kuachwa.
Penzi jipya la kupoza maumivu linaanza taratibu mwishowe linakolea kwa kasi, kila mmoja anasahau stress zake za...
Siku zinavyozidi kusogea ndivyo, Thamani ya Ndoa au Familia ndivyo inavyozidi kupotea.
Kuna mambo Mengi yanayopoteza Thamani ya Familia au Ndoa.
1. Tamaa
Kumekua na Tamaa kubwa sana ususani katika jamii yetu mtu anapoamua kuanzisha familia au kuingia katika Ndoa anaingia kimkakati, Tayari...
Ikiwa tayari umechuma mali zako kabla ya ndoa, ni muhimu kuzungumza na wanasheria kuhusu premarital assets zako. Tujikumbushe watu maarufu waliopoteza na kupata mali na utajiri baada ya talaka.
WANAWAKE
MacKenzie Scott (Jeff Bezos) - Talaka yenye fidia kubwa zaidi duniani: MacKenzie Scott...
WANAWAKE WENGI WANAOFANIKIWA KUPATA NDOA NI WALE WANAOKABIA JUU
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuna Mbinu mbili za kupambana. Kuna wale wanaotumia Mbinu ya KUPAKI BASI na MBINU YA KUKABIA JUU
1. MBINU YA KUPAKI BASI
Hawa ni wale kwenye mahusiano ambao wanasubiri Mpaka mwanaume afuate...
Zamani mahusiano au ndoa ilikuwa ni watu wawili kutengeneza kesho yao, na watoto wao lakini leo imebadilka ndoa imekuwa sehemu ya mwanamke kujitafta kiuchumi, akijipata anaondoka bila kujali anakiacha katika hali gani
Yaani mwanamke sasa hivi anataka uhuru wa kiuchumi atatumia kila mbinu...
Nini hasa kimeingilia hapo katikati kwenye mapenzi, kwamba nje ya ndoa hakuna tena uchoyo wala kunyimana suala la mapenzi, unapewa tu kirahisi hata na mwenye ndoa, ila cha kushangaza ndani ya ndoa hata mwenye ndoa mwenyewe ananyimwa na anaweza kupewa kwa mbinde sana au kwa ratiba na masharti...
Wakuu
Kama mnavyojua jambo lao ni leo (MAHARI DAY 15TH FEB 2025)
Soma: Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine
Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.