Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Kama unahisi umeichoka NDOA achika uje mtaani uone. Utalia kwa kipare.
Sio hipsOngeza nyama kidogo
Mtaan kuna joto la El-nino wasije jichanganya kitaa wakakuchukulia poaOngeza nyama kidogo
Niache kidogo 😅😅Kwann kipare? 😂
Pole kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali 😂Niache kidogo 😅😅
Hapana mkuu mm nawakumbusha awa dada zetu uku kitaa wasipachukulie poa😂Pole kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali 😂
Mtoa mada, anawakumbusha watu kuwa maisha ya upweke au uraiani nje ya ndoa yana changamoto zake kubwa, na mara nyingi watu hugundua kuwa walikuwa kwenye changamoto za kawaida tu pale wanapojaribu kujitegemea au kurudi.Ongeza nyama kidogo