Jumapili njema; kataa ndoa nakutakia baraka za mke sahihi ili ufurahie maisha ukiwa na mwenzie mpya

Jumapili njema; kataa ndoa nakutakia baraka za mke sahihi ili ufurahie maisha ukiwa na mwenzie mpya

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Jumapili ya leo ni sikukuu ya watakatifu wote katika kanisa, tunasherekea upendo wa MUNGU BABA kwa matendo yake makuu na ya ajabu ya kumtoa mwanae wa pekee ili atukumboe

Basi atukuzwe MUNGU mbinguni na atakatifuzwe mwanadamu ili siku moja auone uso wa MUNGU na aketi mbele ya MUNGU milele

Tukiwa tumeanza mwezi mpya ukingoni kabisa mwa mwaka nakutakia aman na furaha katika maisha yako

Nakuombea ulizi, nakuombea ushindi, nakuombea neema na baraka nyingi sana

Kwa wewe kijana ambaye umekata tamaa na ndoa nakuombea mwenzi sahihi maishani mwako ili uifurahi ndoa yako

Barakiwa sana

SAYUNI BOY
 
Back
Top Bottom