Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Hata yule Prof Mwenyekiti cha chama cha wafuga ndevu nilisikia yuko kama weweUkiwa timamu uliyetimia kiakili, rijali wa ubongo, shupavu wa fikra tunduizi, huwezi kamwe, namaanisha kamwe abadani, kubeba mtu, kumchukua kutoka kwao na kwenda kumfuga nyumbani kwako kwa ajili ya ngono na kuzaa zaa hovyo.
Jambo zima la ndoa limejengwa katika dhana ya ujinga, hofu, tamaa, utapeli na janja janja.
Watu wawili mazwazwa wanapokutana, wanaweza kabisa kukubaliana kufugana kwa pamoja kwa madhumuni yasiyo na mashiko yoyote kiuhalisia.