Blick255
Member
- Jul 18, 2026
- 83
- 109
ndio achukie Atakua hakufanikisha kupata kopi yake kwahiyo hana cha kupoteza ndo maana kachukia na watoto.

Msaada wa kisaikolojia ila sahizi ana hasira sanaa tutaongeza idadi ya wanawake kuawaunamsaidiaje sasa
Kwani asingezaliwa angepata hasara gani?BIla kuoana hata wewe usingezaliwa.Baba na mama yako walifanya nanilii ndiyo ukazaliwa.
kweli mrembo umemshauri vizuri sana hongeraMsaada wa kisaikolojia ila sahizi ana hasira sanaa tutaongeza idadi ya wanawake kuawa
Ushauli hio hasira aliyonayo ahamishie kwenye pesa atafute pesa kwanza
Ukiwa timamu uliyetimia kiakili, rijali wa ubongo, shupavu wa fikra tunduizi, huwezi kamwe, namaanisha kamwe abadani, kubeba mtu, kumchukua kutoka kwao na kwenda kumfuga nyumbani kwako kwa ajili ya ngono na kuzaa zaa hovyo.
Jambo zima la ndoa limejengwa katika dhana ya ujinga, hofu, tamaa, utapeli na janja janja.
Watu wawili mazwazwa wanapokutana, wanaweza kabisa kukubaliana kufugana kwa pamoja kwa madhumuni yasiyo na mashiko yoyote kiuhalisia.
Ukimuuliza mtu kwanini anaoa, hawezi kukujibu vile inapaswa. Atakwambia tu naoa kwa sababu umri umefika. Hana hoja wala mantiki katika uamuzi wake.
Alikuta tu baba ake ameoa, na yeye sasa ana ndevu za makwapa, basi ni sharti aoe.
Watu mazwazwa ndio wamechangia sana kuzalisha kundi kubwa la watoto na vijana wa mitaani wasio na faida yoyote. Mateja, malaya, wahuni, wasio na ajira, mabodaboda, na wezi wa simu.
Hili kundi kubwa la mazwazwa linazaa kundi kubwa lingine la mazwazwa ambalo linazidi kuteka na kuharibu ustaarabu wa dunia. Matokeo yake tunakuwa na dunia ya mazwazwa.
Siku hizi ni ngumu sana kukutana na watoto au vijana smart kichwani, hata ukiangalia interviews za kazi au vyuoni, unaona lile wimbi kubwa la mazwazwa limevamia taasisi za elimu na ajira.
Kuna haja ya kufanya great reset ili hili wimbi la mazwazwa litokomezwe once and for all kwa mustakabali mpana wa ulimwengu.

pole mkuu najua kinacho wasumbua wewe na bichwa komweKwani asingezaliwa angepata hasara gani?
Kuzaliwa wala sio kitu kikubwa sana, Kuna watu bora hata wasingezaliwa kwa shida wanazopitia duniani.
umeisapoti mada?
Mwanamke ambaye Hana biKra zote mbili unawezaje kumuoa na kumuweka ndani????Ukiwa timamu uliyetimia kiakili, rijali wa ubongo, shupavu wa fikra tunduizi, huwezi kamwe, namaanisha kamwe abadani, kubeba mtu, kumchukua kutoka kwao na kwenda kumfuga nyumbani kwako kwa ajili ya ngono na kuzaa zaa hovyo.
Jambo zima la ndoa limejengwa katika dhana ya ujinga, hofu, tamaa, utapeli na janja janja.
Watu wawili mazwazwa wanapokutana, wanaweza kabisa kukubaliana kufugana kwa pamoja kwa madhumuni yasiyo na mashiko yoyote kiuhalisia.
Ukimuuliza mtu kwanini anaoa, hawezi kukujibu vile inapaswa. Atakwambia tu naoa kwa sababu umri umefika. Hana hoja wala mantiki katika uamuzi wake.
Alikuta tu baba ake ameoa, na yeye sasa ana ndevu za makwapa, basi ni sharti aoe.
Watu mazwazwa ndio wamechangia sana kuzalisha kundi kubwa la watoto na vijana wa mitaani wasio na faida yoyote. Mateja, malaya, wahuni, wasio na ajira, mabodaboda, na wezi wa simu.
Hili kundi kubwa la mazwazwa linazaa kundi kubwa lingine la mazwazwa ambalo linazidi kuteka na kuharibu ustaarabu wa dunia. Matokeo yake tunakuwa na dunia ya mazwazwa.
Siku hizi ni ngumu sana kukutana na watoto au vijana smart kichwani, hata ukiangalia interviews za kazi au vyuoni, unaona lile wimbi kubwa la mazwazwa limevamia taasisi za elimu na ajira.
Kuna haja ya kufanya great reset ili hili wimbi la mazwazwa litokomezwe once and for all kwa mustakabali mpana wa ulimwengu.
Hata Uzao wako pia utasahaulika tu na generations za mbele baadaeBaba yako angekuwa na akili kama zako wewe usingekuwepo.
Nothing matters in this world than leaving behind enough kids to propel your kinship.
Urithi mkuu kuliko chochote hapa duniani ni WATOTO.
Wewe utakufa na kila kilicho chako kitasahaulika, kasoro uzao wako tu.
Kuna kipindi kule Redio Frii Afrika cha asubuhi nadhani jumapili cha je huu ni uungwana? Kipindi kilichopita mtangazaji alikuja na hoja ya "baadhi ku left group". Nasubiri kipindi kijacho mtangazaji atamsemaje mleta mada!!!reset
Kwani asingezaliwa angepata hasara gani?Baba yako angekuwa na akili kama zako wewe usingekuwepo.