Dudu Baya hana mke wala mtoto: Tafakuri ya maisha yake ya jumla, usanii, na mustabali wa kioo chake cha jamii

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
9,528
Reaction score
24,071
Huyu kaka yetu wa wochi bela baki amekuja kwa kasi sana mjini. Amevamia jiji kwa spidi bila mikakati madhubuti.

Alipotoka kule kwao Bariadi miaka hiyo, alipokelewa na GZRW mitaa ya magomeni na akafadhiliwa humo kula kulala buree bila malipo yoyote.

Sijui nini kilimpata, lakini inaonekana aliipenda pombe zaidi kuliko maendeleo. Ulevi ulipomzidi alifanyiwa vitendo vibaya sana na mabaunsa wa MISTA NICE mwaka 2006. Alipigwa muhuri wa moto.

Tangia hapo alianzisha bifu kali na mista nice, lakini kama mjuavyo, ikizama haifutiki. Ni kidonda cha milele.

Kutokana na jambo hilo, aligubikwa na hasira kali sana dhidi ya watu wote aliodhani ndio chanzo cha majuto yake (trauma) na kuzidisha ulinzi mkali sana wa mlango wake wa hormuzi.

Sifahamu nini kiliendelea, lakini tangu kipindi hicho hakuwahi kuonekana akiwa na mwanamke au mtoto. Kuna uwezekano mkubwa alivunjwa kwa namna isiyorekebishika. Hakuwa yule Dudu tuliyemjua wa kutoka Bariadi. Alionyesha majuto, kukata tamaa, huzuni, hasira, na hali ya kukosa utulivu wa kiakili.

Leo hii amebaki kuzurura kwenye madisko na mitandao ya kijamii akijinasibu kuwa mpiganaji wa vita vya usenge.

Mimi binafsi ninamuunga mkono kwa asilimia mia kwenye vita yake hii. Kitendo alichofanyiwa na mista nice mwaka 2006 ni kitendo kibaya sana kinachopaswa kukemewa vikali na sisi sote tunaopinga usenge.

Tuungane sote kumpigania huyu mwamba aliyevunjwa milango ya dharura.
 
Huyu kaka yetu wa wochi bela baki amekuja na kasi sana mjini. Amevamia jiji kwa spidi bila mikakati madhubuti.

Alipotoka kule kwao Bariadi miaka hiyo, alipokelewa na GZRW mitaa ya magomeni na akafadhiliwa humo kula kulala buree bila malipo yoyote.

Sijui nini kilimpata, lakini inaonekana aliipenda pombe zaidi kuliko maendeleo. Ulevi ulipomzidi alifanyiwa vitendo vibaya sana na mabaunsa wa MISTA NICE mwaka 2006. Alipigwa muhuri wa moto.

Tangia hapo alianzisha bifu kali na mista nice, lakini kama mjuavyo, ikizama haifutiki. Ni kidonda cha milele.

Kutokana na jambo hilo, aligubikwa na hasira kali sana dhidi ya watu wote aliodhani ndio chanzo cha majuto yake (trauma) na kuzidisha ulinzi mkali sana wa mlango wake wa hormuzi.

Sifahamu nini kiliendelea, lakini tangu kipindi hicho hakuwahi kuonekana akiwa na mwanamke au mtoto. Kuna uwezekano mkubwa alivunjwa kwa namna isiyorekebishika. Hakuwa yule Dudu tuliyemjua wa kutoka Bariadi. Alionyesha majuto, kukata tamaa, huzuni, hasira, na hali ya kukosa utulivu wa kiakili.

Leo hii amebaki kuzurura kwenye madisko na mitandao ya kijamii akijinasibu kuwa mpiganaji wa vita vya usenge.

Mimi binafsi ninamuunga mkono kwa asilimia mia. Kitendo alichofanyiwa na mista nice mwaka 2006 ni kitendo kibaya sana kinachopaswa kukemewa vikali na sisi sote tunaopinga usenge.

Tuungane sote kumpigania huyu mwamba aliyevunjwa milango ya dharura.
Ama mtoto mmoja

Pia ana magonjwa ya kumtosha

Angetulia tu sasa aishi kama mstaafu
 
kuna story nilipata kuisikia miaka ya nyuma inataka kufanana na hii ila tofauti yake ni ndogo kidogo.
 
Back
Top Bottom