Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.
Mtu hakuomba mumzae, nyie starehe zenu zimemleta mtoto Duniani.
Anakula kwa shida
Analala mahali pana vumbi
Anavaa nguo used aka Mtumba.
Hapo akikutoa kafara ili aondokane na umaskini yuko sawa tu
Habari wana JF,
Naomba ushauri wenu, hasa kutoka kwa watu waliowahi kupitia changamoto zinazofanana au wenye uzoefu wa maisha ya ndoa na familia.
Ninaishi na mwanamke ambaye tumebahatika kupata mtoto pamoja. Mtoto wetu amezaliwa hivi karibuni. Hata hivyo, kwa sasa familia yangu ipo kwenye...
Katika hali inayoonyesha kwamba mkuu wa majeshi nchini Uganda Jenerali Muhozi Kainerugaba ambaye pia ni mtoto wa rais wa nchi hiyo Bw. Yoweri Museveni, ndiye kwa sasa anaiongoza nchi ya Uganda, ameamua kumpatia dhamana kiongozi mkongwe wa upinzani wa Uganda Bw. Kizza Besigye.
Juhudi za kutafuta...
https://www.instagram.com/p/DfK43SzjUOo/
Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese: Kugharamia matibabu Muhimbili, makazi na elimu.
Mama wa Angel awashukuru Watanzania, mfadhili na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa msaada wa hali na mali.
Pia soma ~ Mtoto wa...
Kama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ?
Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??
Je, unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani au kumsaidia kuongeza ufaulu wake shuleni?
ELITE HOME TUITION SERVICES tunakuunganisha na walimu wenye sifa, uzoefu na uwezo wa kufundisha kulingana na mahitaji ya kila mwanafunzi.
📚 HUDUMA ZETU
1. Nursery & Kindergarten (KG 1–KG 3)
2...
Ambaye baba yake alipoteza maisha siku kama ya leo.
Ana umri wa kama miaka 4 hivi kwa sasa.
Ndugu zake hawajulikani.
Mama yake nae alifariki katika majambo haya haya na wala wote hawakuwa wahusika kwa namna yeyote ile.
Kila ninapopita kwenye kile ki ''short kati'' na kumuona roho yangu...
Mama mmoja katika eneo la Jomvu, Kaunti ya Mombasa, amekamatwa na polisi kwa madai ya kumzuia mtoto wake kufanya mtihani wa kitaifa wa Kenya Primary School Education Assessment (KPSEA) baada ya kupewa namba ya mtihani 666, ambayo alidai inahusishwa na Shetani.
Kwa mujibu wa taarifa...
Habari zenu wakuu,
Japo mnasema Kitanda hakizai haramu lakini Kwa hapa nimekuwa nimekuwa Na mashaka, Ni miaka miwili Sasa imetimia Toka niachane Na Yule binti wa kizaramo Na kuachana kwetu Kwa upande wangu sikuwa Na sababu kubwa japo Nina Imani Kwa upande wake sababu ilikuwepo japo mpaka Leo...
Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani kipindi cha masomo au likizo? 🏡✍️
ELITE HOME TUITION SERVICES tunakuunganisha na walimu wenye sifa kwa ajili ya:
✅ Watoto wa Nursery, Primary na Secondary.
✅ Wanafunzi wa International Schools.
✅ Mitaala ya Cambridge, IB, Kenyan, Indian na...
Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake.
Hii CHADEMA ya sasa inapaswa...
Mtoto anaeritadi yaani kutoka uislam kuingia dini nyengine hatakiwi kubaki nyumbani.
Anatakiwa atafute pakukaa.
Huu ndio msimamo wa Uislamu, sio matakwa yangu. Kama umeamua kuwa mwanachama unatakiwa uufuate.
Surat Al-Baqarah 2:217
وَمَن يَرْتَدِدْ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَيَمُتْ وَهُوَ كَافِرٌ...
Usiruhusu mtoto wako apoteze muda mwingi bila kujifunza! Muda wa likizo ni fursa nzuri ya kumsaidia mtoto kuongeza maarifa, kuboresha ufaulu na kujiandaa kwa muhula unaofuata.
✅ Tunatoa huduma ya HOME TUITION ambapo mwalimu anakuja nyumbani kwako kumfundisha mtoto.
📖 TUNAFUNDISHA:
🔹 Watoto wa...
Usiruhusu mtoto wako apoteze muda mwingi bila kujifunza! Muda wa likizo ni fursa nzuri ya kumsaidia mtoto kuongeza maarifa, kuboresha ufaulu na kujiandaa kwa muhula unaofuata.
✅ Tunatoa huduma ya HOME TUITION ambapo mwalimu anakuja nyumbani kwako kumfundisha mtoto.
📖 TUNAFUNDISHA:
🔹 Watoto wa...
Msanii Gigy money ameendelea kumtupia lawama mama yake huku akisema inawezekana maisha magumu anayo yapitia sasa ni kutokana na malezi mabovu aliyo lelewa na mama yake.
Pia Gigy amesema, mama yake alimzaa Kwa bahati mbaya Kwa sababu mimba yake aliitoa na kwenda kumtupa chooni ila Kwa bahati...
Hili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
Usimwache mtoto apoteze muda wa likizo bila kujifunza. Msaidie kufanya marudio ya masomo, kuongeza uelewa na kujiandaa kwa muhula mpya kupitia huduma zetu za HOME TUITION.
✅ Nursery & Kindergarten
✅ Primary School
✅ Secondary School
✅ Advanced Level
✅ English & Kiswahili
✅ Mathematics & Science...
Maafisa wawili wa polisi katika Kaunti ya Meru wamekamatwa na kufikishwa mahakamani wakishukiwa kumnajisi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitatu na nusu katika eneo la Kinjo, Imenti Central.
Maafisa hao, Nicholas Njagi na James Mutabari, wanaohudumu katika kituo cha polisi cha Kinjo Police...
Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kikatiba katika jukumu zima la kuimarisha ulinzi na usalama wa Mali na maisha ya watanzania
Katika kipindi cha Septemba 2026 hadi Oktoba 14, 2026,jeshi hilo la polisi mkoani kilimanjaro liliwakamata na kuwafikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.