Usijiulize mtoto atabakije kipindi chote hiki cha likizo,sisi tupo hapa kukusaidia

Usijiulize mtoto atabakije kipindi chote hiki cha likizo,sisi tupo hapa kukusaidia

Joined
Aug 18, 2026
Posts
22
Reaction score
13
Usimwache mtoto apoteze muda wa likizo bila kujifunza. Msaidie kufanya marudio ya masomo, kuongeza uelewa na kujiandaa kwa muhula mpya kupitia huduma zetu za HOME TUITION.

✅ Nursery & Kindergarten
✅ Primary School
✅ Secondary School
✅ Advanced Level
✅ English & Kiswahili
✅ Mathematics & Science
✅ Chinese Language
✅ Computer Studies
✅ Special Needs Education
✅ Sign Language
✅ Music & Swimming
✅ Masomo kwa watu wazima

📍 Huduma zinapatikana Tanzania nzima.

📲 WASILIANA NASI WHATSAPP: 0743 567 159

ELITE HOME TUITION
ELIMU BORA, MAANDALIZI BORA, MUSTAKABALI MWEMA!
 
Likizo maana yake ni kupumzika, kusafiri, kutalii, kusalimia ndugu, kutembea, mnataka likizo nayo imrudishe mtoto kwenye masomo?
 
Choice ya mzazi si hoja.

Ukiuza mavi wazazi wanunue watoto wale, unaweza pia kusema "Hapa ni choice ya mzazi".

Lakini je, kuuza mavi wazazi wanunue watoto wale litakuwa jambo zuri?
Every individual is free to choose and because your free to choose you have to be responsible for your choice.
 
Muda wa likizo ni muda wa watoto kupumzisha akili,Elimu siku hizi sio vita kama zamani.
 
Every individual is free to choose and because your free to choose you have to be responsible for your choice.
Yes, and if you are a public serving institution giving bad choices you are responsible for giving bad choices.

So the individual's freedom to choose does not give you free reign to sell poison.

And that makes your point about individual freedom moot.
 
Usimwache mtoto apoteze muda wa likizo bila kujifunza. Msaidie kufanya marudio ya masomo, kuongeza uelewa na kujiandaa kwa muhula mpya kupitia huduma zetu za HOME TUITION.

✅ Nursery & Kindergarten
✅ Primary School
✅ Secondary School
✅ Advanced Level
✅ English & Kiswahili
✅ Mathematics & Science
✅ Chinese Language
✅ Computer Studies
✅ Special Needs Education
✅ Sign Language
✅ Music & Swimming
✅ Masomo kwa watu wazima

📍 Huduma zinapatikana Tanzania nzima.

📲 WASILIANA NASI WHATSAPP: 0743 567 159

ELITE HOME TUITION
ELIMU BORA, MAANDALIZI BORA, MUSTAKABALI MWEMA!
Mtafundisha kupitia tehama au?
 
Likizo maana yake ni kupumzika, kusafiri, kutalii, kusalimia ndugu, kutembea, mnataka likizo nayo imrudishe mtoto kwenye masomo?
Elimu imegeuka Fursa ya Kibiashara...

Watoto hamna kupumzika Sasa hivi
 
Back
Top Bottom