kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. murthehelp

    JamiiForums Tanzania PESA FEKI KUOMGEZEKA KIPINDI CHA MWISHO WA MWAKA.

    Naomba niipmbe serikali ichukue hatua madhubuti juu ya kuonbezeka kwa pesa feki kipindi hiki cha kuelekea mwishoni mwa mwaka, sijui changamoto ni nini lakini naamini serikali yangu madhubuti italitendea kazi.
  2. Palac

    JamiiForums Tanzania Ningeshauri wizara ya habari sanaa na utamaduni tuwaalike MANCHESTER UNITED nyumbani ili kuchuana na TAIFA STARS katika kipindi hiki kama KENYA.

    | ARSENAL NA MANCHESTER UNITED KUTUA TANZANIA? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na klabu za Arsenal na Manchester United kwa ajili ya uwezekano wa kuandaa mchezo mkubwa wa kirafiki nchini Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa za vyombo...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lamec

    Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo Oktoba 28, 2026 wakati akizungumza kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu tunazostahili

    Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu zinazostahili wakati wa shughuli za Bunge, licha ya posho hizo kuainishwa kwenye vitabu vya Bunge. Je, fedha hizo zinaishia wapi? Tunaomba suala hili lifuatiliwe ili kuhakikisha tunapata stahiki zetu na uwajibikaji unazingatiwa.
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa unabebaje begi lako kipindi uko shule?

  6. papag

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kipindi hicho ni viwanja gani vilikuwa HOT?

    Muwe na wiki njema
  7. F

    JamiiForums Tanzania TEC ningekubaliana nao kama wangefanya hivi kipindi cha mauaji ya Magomeni mwembechai au mauaji ya Zanzibar,

    Kila Uhai wa Mwanadamu Una thamani, na kila familia iliyo poteza mpendwa inastahili huruma na heshima Matukio ya mwaka 1998 Na 2000 Yakumbukwe pia: Fuatana Nami Mchambuzi wako Profesa Chotara Mweusi Sultan Bingwa wa Uchambuzi kutoka Viunga vya Sharif Shamba Ilala Dar Es Salam. Baraza la...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nini Cha kufanya ukiwa unapitia kipindi kigumu?

    Habari wanajukwaa, tupeane moyo na uzoefu Kwa wale wote waliopitiaga kipindi kigumu waliweza vip kufanikiwa na kuvuka hapo. Nimekata sana tamaa ya Maisha. Ni muda mrefu Sasa sina shughuli maalum ya kufanya,nimefanya biashara ndogo ndogo lakini zimekuwa zikifa kutokana na ugumu wa biashara na...
  9. Pre International School

    JamiiForums Tanzania Usijiulize mtoto atabakije kipindi chote hiki cha likizo,sisi tupo hapa kukusaidia

    Usimwache mtoto apoteze muda wa likizo bila kujifunza. Msaidie kufanya marudio ya masomo, kuongeza uelewa na kujiandaa kwa muhula mpya kupitia huduma zetu za HOME TUITION. ✅ Nursery & Kindergarten ✅ Primary School ✅ Secondary School ✅ Advanced Level ✅ English & Kiswahili ✅ Mathematics & Science...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Marais waislam na familia zao, hatukuona kwa Mkapa, Magufuli hata kipindi cha Nyerere

    Nyerere hakutaka kuhusisha urais wake na familia yake, Mkapa hakutaka hata tuwajue watoto wake, Magufuli vile vile sijui hata ana mtoto wa kiume. Sasa njoo kwa wenzetu, Karume rais mtoto wake rais, Mwinyi rais mtoto wake rais, Kikwete rais mtoto wake waziri, mke wake mbunge, Samia rais mtoto...
  11. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wenye akili wamemthibiti Maria Sarungi amepoteza Imani Mbele ya jamii hiki ni kifo cha siasa za upinzani nchini hawatakaa waaminike.

    Hakuna mtu mwenye stress kama maria Sarungi anatumia nguvu nyingi sana kufanya harakati lakini anagongo ukuta, Kila analolifanya anagonga ukuta hii ni dhahiri kwamba watu wanaakili kubwa sana ya ku-monitor saikolojia za watu. 👉🏼 Maria Sarungi ni think tank wa Upinzani nchini hvyo basi hakuna...
  12. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kama ni mpira kwa sasa sisiem wanaongoza 3 na dakika ni ya 35 kipindi cha kwanza.

    Mkubali mkatae, ccm ishawabana kende wananchi, hamna ujanja, ule umoja wa mo29 hautokaa utokee tena, washajifunza kutokana na makosa. Washajua namna ya kuishi na manyumbu na makondoo. Sisiem kabla hakujapoa chomekeni tena kitu kingine hapo Kati, kikiisha tu miaka 30 ya bf hiyo hapo, Yani ni...
  13. LAPSE RATE

    JamiiForums Tanzania Unafuatilia kipindi cha ‘Snakes in the City’?

    Kwa yeyote mwenye mapenzi na documentaries kuhusu maisha ya wanyama au watalam wa mambo ya wildlife mnisaidie kwenye hili. Kuna channel maarufu inyoitwa NatGeoWildAfrica HD iliyoko king'amuzi cha Azam channel namba 184 inarusha masuala mengi kuhusu wanyama. Point yangu kubwa ni kuhusu huyu...
  14. E

    JamiiForums Tanzania kipindi yupo hai walimwita sir wicknel chivayo, leo salamu za lambi lambi neno sir limesahaulika

    hivi vyeo watu wanavyojipa kujipamba au wanavyopewa na wapambe ni kwa ajiri ya kuwafurahisha tu wamwage njurugu au mapene au wapate favor kwa hao wakubwa lakini ukiondoka hakuna anayejisumbua tena kuwa mnafiki
  15. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Nawaomboa UHAI wote walihusika na kuua, kuteka na kupoteza miili ya ndugu zetu MO29 na kipindi hiki chote, Kifo kwangu sio Adhabu.

    Baada ya kufanya kazi kwa miaka zaidi ya 3 kwenye hospital, na kuwa karibu na wagonjwa wa kila namna, niliona kuwa kifo sio adhabu kwa mtu anayevunja sheria. Nataka kuona wakiwa mahakamani, wakitoa maelezo nani aliwapa oda, walilipwa shilingi ngapi( au walipewa tu hela za mafuta), wote...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufika kipindi ambacho uchumi ulishuka ghafla, ulikubali vipi kubadilisha maisha uliyozoea na presha ya watu kukushangaa au kukucheka ?

    Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine. Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote. Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar Es Salaam limejengeka zaidi katika kipindi cha awamu hii ya 6 chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.

    Naona majengo makubwa na marefu ya makazi ya watu, kumbi za mikutano ya kitaifa na kimataifa, mahotel makubwa ya kimataifa na maofisi ni mengi sana ukilinganisha na wakati uliopita, hali inayoashiria kuimarika kwa uwekezaji na kushamiri kwa maisha na uchumi wa watu wa jiji la Dar Es Salaam...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilikuwa kinafurahisha kipindi kile cha kusoma magazeti na kusiliza redio

    Miaka ya nyuma tulikuwa tunajipatia habari mbalimbali kwa kusoma magazeti na kusikiliza taarifa mbalimbali redioni. Pia taarifa ya habari ilikuwa na nguvu muda ukifika kila mtu anasikiliza. Magazeti yalikuwa mengi, na yaliuzwa bei tofauti. Kwa wale wasiomudu gharama walikuwa wanenda kujisomea...
  19. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu portifolio na interview ya serikalini

    Wakuu, naomba msaada kwa wenye uzoefu kuhusu mada tajwa hapo juu. Nimeona baadhi ya nafasi za ajira zinazotangazwa kupitia Ajira Portal, hasa upande wa ICT/Software Development, mfano nafasi za Systems Analysis. Kwenye baadhi ya nafasi hizo, moja ya vigezo vinavyotajwa ni mwombaji kuwa na...
  20. min -me

    JamiiForums Tanzania Zile nyuzi za wakubwa kipindi kile kwa jf zimeenda wapi?

    Ebu fanyeni kurudisha jukwaa la wakubwa ili mambo yaende sawa hapa jf bwashee 🤔 Hili jukwaaa tumeliomba kwa mda mrefu sijui kwanini mnatubania bila sababu za msingi asee 🤔
Back
Top Bottom