comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Mkubali mkatae, ccm ishawabana kende wananchi, hamna ujanja, ule umoja wa mo29 hautokaa utokee tena, washajifunza kutokana na makosa.
Washajua namna ya kuishi na manyumbu na makondoo.
Sisiem kabla hakujapoa chomekeni tena kitu kingine hapo Kati, kikiisha tu miaka 30 ya bf hiyo hapo, Yani ni mawe back to back.
Mwanzo mlichukulia poa ikataka kuwaletea shida naona sasahivi mmeshajua namna ya kuishi ya binadamu wenye ubongo wa Bata.
HONGERENI SANA sisiem
Dawa ya binadamu wenye ubongo wa Bata ni kujipigia tu hamna haja ya huruma si hayana akili bana.