Kumekuwa na muendelezo wa subtitle zinazoonekana kama za tamthilia wakati match zikiwa live ambazo hazihusiani na mpira kabisa, Sijajua hasa maana au lengo la subtitle hizo kwa kuwa ni kama zinaleta attention fulani ya kuzisoma na wakati hazina maana yoyote kwenye mechi husika.
https://x.com/abcworldnews/status/2115178332245598570?s=12
https://x.com/roxie_ug/status/2115080042615050247?s=12
https://x.com/mymixtapez/status/2114755768641565116?s=12
Mtoto mmoja wa umri wa miaka mitatu (3) Nevada Don Pierre wa Florida, US ameshtakiwa na wazazi wa watoto wenzake kwa...
https://youtu.be/ysrEn9vEb-M?si=EDdmtxh6RRcfPyhP
Tazama pass zilivyopigwa goli la kwanza na la tatu Achana na goli, angalia pressure waliyotia kipindi cha pili, kama nyuki.
Hua nasema mpira wa Afrika ni wamahesabu sana...
Siku ile yanga kashinda 4 kule ugenini watu wanaleta propaganda eti team mbovu.. sijui hua wanalipwa?
Enhee jana Mamelodi katolewa kwa goli la ugenini tena kwake nae ni mbovu?
Naamini kabisa kwa yaliyomtokea Mamelodi jana ingekua Mamelodi ipo...
Hawa wabwabwajaji wa Chadema Wana yochukia mpira wa miguu na mziki wa bongo fleva wakifanikiwa kuibgia madarakani, jambo ambalo naona haliqezekani hata miaka kadhaa ijayo, watafutilia mbali soka na bongo fleva, wananchi tubaki tukiwatukuza lissu na heche
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote...
Sina haja ya kuongea sana. Tazama na usikilize uchambuzi wake wa mechi ya Simba dhidi ya Yanga.
https://m.youtube.com/watch?v=HotFQ_8Cwn4&pp=0gcJCTcMAYcqIYzv
Kocha wa Yanga ameomba taulo badala ya shuka wakati wa kulala
Mkubali mkatae, ccm ishawabana kende wananchi, hamna ujanja, ule umoja wa mo29 hautokaa utokee tena, washajifunza kutokana na makosa.
Washajua namna ya kuishi na manyumbu na makondoo.
Sisiem kabla hakujapoa chomekeni tena kitu kingine hapo Kati, kikiisha tu miaka 30 ya bf hiyo hapo, Yani ni...
Samahani kama nitawaudhi, lakini kwa uzoefu wangu na Watu mbali mbali ninaokutana nao Kuanzia mitaani, maofsini, ndani ya Nchi na nje ya Nchi. Wale watu ambao ni wanazi na washabiki wa Mpira wa miguu awe Mwanamke au Mwanaume aisee Uwezo wao wa kiakili ni mdogo.
Anaweza kuwa vizuri kwenye mambo...
Nawauliza, wizara ya michezo pa.oja na wadau wa michezo nchini, hivi kweli hii timu tuliyonayo ndio kweli itaenda kutuwakilisha kwenye michuano ya Afcon 2027?
sina mengi ya kusema.
Beki wa Iran, Nader Mohammadi, anayekipiga kwenye Ligi ya Russia na Spartak Kostroma, ameendelea kutengeneza gumzo kwenye soka kutokana na uwezo wake wa kipekee wa kutumia flip throw-in kusaidia timu yake kufunga mabao.
Katika kipindi cha wiki tatu tu, Mohammadi tayari amefanikiwa kutoa assist...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) likishirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeagiza kusitishwa mara moja kwa mchakato wa uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Nigeria (NFF). Uchaguzi huo ulikuwa umepangwa kufanyika Septemba 27, 2026, mjini Lafia, Jimbo la...
Mpira wa Bongo siku hizi unaonyesha wazi: ukijenga brand, fursa na pesa vinafuata.
Fei Toto kwenye dirisha hili la usajili, dau la kuvunja mkataba wake lilifika hadi bilioni 3.5.
Azam wameamua kumuwahi mapema wakijua amebakiza miezi 6 tu kwenye mkataba na timu zinaendelea kumnyemelea. Kuna...
Wachambuzi wetu wanakera sana. Wanahukumu wachezaji, viongozi wa timu, wafadhili, waamuzi, bodi ya ligi, TFF kama vile wanao ushahidi wa kile wanachokihukumu. Wamepata ajira kwenye chombo cha habari cha mtu lakini wanakaa nyuma ya mike ya chombo hicho wakiwa kama wasemaji wa Simba au Yanga...
Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer.
👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
Wakuu nimekuta na hizi allegations huko X na instagram.. n baadhi ya watu wakiweka na ushahidi naiomba mamlaka ichunguze...
Waweza pitia uzi huu
Kuna madai ya Kijana kacheza U17 na U20 vizuri, msimu huu inabidi apewe mkataba wa Senior team, Kocha anamwambia kijana aende akampakue kocha ili a...
South Africa, timu zinazokwenda kwenye CAF confederation ni timu ya tatu na timu ya nane. Kwa Tanzania, tunawakilishwa na timu ya tatu na ya nne. Kuna nnini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.