Azam TV Sports 1 na Subtitle zinazoendelea wakati wa mpira ukiwa live.

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
19,009
Reaction score
22,509
Kumekuwa na muendelezo wa subtitle zinazoonekana kama za tamthilia wakati match zikiwa live ambazo hazihusiani na mpira kabisa, Sijajua hasa maana au lengo la subtitle hizo kwa kuwa ni kama zinaleta attention fulani ya kuzisoma na wakati hazina maana yoyote kwenye mechi husika.​
 
Huna kapicha boss, maana sijaelewa unazungumzia kitu gani
 
Back
Top Bottom