wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Jamaa aliyeitwa kukata mti wa malipo ya Sh elfu 1, wamdondokea wakati wa kukata na kufariki Dunia

    Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Kleruu, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 54 amefariki Dunia baada ya kuangukiwa na mti. Tukio hilo limetokea katika Kijiji Cha Mulama katika Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, ambapo mashuhuda wa tukio hilo wanasema kuwa marehemu aliitwa kwenda kuvuta...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Mwendazake Iliwahi mkana Bashite wakati akiendesha Oparesheni ya kuwasweka ndani "Ambao Hawajalinda mgongo"

    Nawakumbusha tuu. Yaelekea Hawa Wasiolinda mgongo wanaogopwa sana ndio maana husikii Kauli thabiti ya serikali kukemea kama walivyofanya Kwa wale Watoto wa shule waliokuwa wanatikisa makalio. https://www.instagram.com/reel/DfHxU2eMOUA/?vrfl=MTY1eGp3a3l5N2poag== My Take Wanaume wakiacha kuwa...
  3. youngkato

    JamiiForums Tanzania Wakati wengine wanaona soda na maandazi kama vitu vidogo vya matumizi ya kila siku, mjasiriamali mwenye mipango anaweza kuona fursa ya kujenga

    " Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi, yenye huduma nzuri na bei inayolingana na uwezo wao. Hapo ndipo biashara ya vinywaji baridi na...
  4. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Sikujua kama God bless Lema ni Mpuuzi wa kupuuzwa kiasi hiki!

    Wakati mwingine ni Busara kunyamaza kuliko kuongea Upuuzi! Nimemsikia akisema ameenda kwa balozi za donars community kuomba waache kufadhaisha nchi yetu na Vikwazo! Anaacha kuwaendea walio chanzo cha hali tuliyomo,walio sababisha tufike hapa,unahangaika na Watu wanaotimiza majukumu...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Nilibahatika kumuona Lema wakati anapambania ubunge...ni mzalendo

    Kupitia press conference yake nimejifunza kitu adhimu. Godbless Lema aliupambania ubunge akitumia Min van aina ya Noa ambayo ilikuwa inamzimikia mara kwa mara. Alijijenga kwa hoja na mara nyingine maneno ya kihuni lakini kadri siku zinavyoenda ameendelea kujipambanua katika siasa za haki. Option...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nilimpinga lema wakati anamuunga mkono lissu mkanibeza

    Wakati wa uchaguzi ndani ya chadema nilimpinga sana Lema, niliona mbali sana. Mnaona sasa? Kikowapi?
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Rwanda wanaanda Formula One, Kenya wanawakaribisha Bayern na Ajax, Tanzania Samia anatosha

    Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imechangamka ile mbaya, mambo yako moto fire, marais wa nchi wanachama wapo busy hapa na pale. Lakini ukweli mchungu ni kuwa kuna marais wa nchi majirani wanaopiga hatua za kiwango cha dunia huku wengine tukibaki kuwa watazamaji wa mechi za wenzetu. Ukiangalia...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanauliza swali kwanini wale wapemba waliouliwa wakati wa uchaguzi Mkuu WA mwaka 2000 Wakatholiki hawa kuwaombea ,Hii inaitwaje

    Yaani katholiki Sasa limekuwa ni dude kubwa kweli kila baya litapakaziwa. Ila niwaambie hamliwezi Just imagine muislamu na machawa wenye chuki na wakatholiki Leo wanahoji Kwa nini hawakuwaombea waliouwawa wakati wa uchaguzi Mkuu WA mwaka 2000 kule pemba. Au mauaji ya mwembe chai. Je waislamu...
  9. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Azam TV Sports 1 na Subtitle zinazoendelea wakati wa mpira ukiwa live.

    Kumekuwa na muendelezo wa subtitle zinazoonekana kama za tamthilia wakati match zikiwa live ambazo hazihusiani na mpira kabisa, Sijajua hasa maana au lengo la subtitle hizo kwa kuwa ni kama zinaleta attention fulani ya kuzisoma na wakati hazina maana yoyote kwenye mechi husika.
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kama Budget ya Range Rover inasumbua, chukua Xpeng GX!

    Mambo yasiwe mengi. Bei: $83,700
  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kugoma kula wakati chakula kinapatikana ni kosa kisheria!

    ⚖️ MWABUKUSI: KUGOMA KULA MAHABUSU NI KOSA KISHERIA “Kugoma kula wakati chakula kinapatikana mahabusu ni kosa kisheria chini ya Kifungu cha 123 cha Makosa ya Uhaini.” — Adv. Mwabukusi, Rais wa TLS. 📌 Kauli hii yazua mjadala kuhusu haki na wajibu wa wafungwa na mahabusu. 🔜Kuuzuia mwili usipate...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kutekwa Kwa Twaha Mwaipaya: Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya polisi Wala Serikali wakati ni mtanzania mwenzetu

    Kuna baadhi ya watu wanaona kama vile CCM au Serikali yao inaonewa Kwa kutumiwa kuhusika na utekaji mfano mzuri suala lile la mabinti waliomaliza form iv walivyorecord na kutoa maneno ambavyo hayana maadili Serikali ilireact haraka kupitia waziri Gwajima na Sio tu hili mambo mengi ambavyo...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu malipo yasiyo na usawa kwa wataalamu wa maabara mkoani Mwanza, wakati wa mitihani ya NECTA

    Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusu malipo ya wataalamu wa maabara (Laboratory Technicians) wanaohusika na maandalizi ya mitihani ya vitendo kwa watahiniwa wa Kidato cha Nne na Sita wakati wa mitihani ya kuhitimu inayoendeshwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA). Changamoto kubwa...
  14. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kwa namna ilivyo sasa, ni wakati muafaka wa serikali yetu sikivu ya CCM kulifungia kanisa Katoliki kwa kukiuka misingi ya kiroho nchini Tanzania

    # Kwa namna ilivyo sasa, ni wakati muafaka wa serikali yetu sikivu ya CCM kulifungia kanisa Katoliki kwa kukiuka misingi ya kiroho nchini Tanzania ## Je, taasisi ya kiroho inapovuka mipaka yake, nani anapaswa kuwajibika? Dini ni nguzo muhimu katika kujenga maadili, kuimarisha amani na...
  15. Gobole Lenye Risasi

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine ni ngumu kutuelewa sisi wanaume

    Unakutana na demu mkali. Unaomba namba ya simu anakupa. Kesho Unakuja kumpigia kumsalimia anaitikia fresh tu na masham sham kama yote. Unamwuliza u wapi anajibu home. Unamwuliza lini tunaweza onana anakuambia hata muda huu mi fresh tu. Unamwuliza nikutumie nauli anasema tuma lakini si kwa...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii nchi imepitia mengi sana, kuna wakati wasabato walivamia airport ili wapande ndege bure ili wakaende kuhubiri kwenye mataifa ya nje

    This was 2008.
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Siasa za kitapeli tuziache, Mnyika nakukubali sana Ila kusema tugome kula wakati tunakula si njia sahihi

    Why doth CHADEMA perpetually resort to jocularity in matters of fundamental import? Ye remain passive, not active! It is meet and proper for Lissu to abstain from nourishment, yet for us without to engage in a hunger strike is devoid of significance. We ought to proceed unto the penitentiary...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa kilimo barani Afrika katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Iowa, jijini Des...
  19. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Ninepikiwa mboga ya majani ya magimbi, Ngara, wanaita IBITEKETEKE, nimewashwa sana hasa wakati wa kupata haja kubwa njia yote inawaka moto

    Ibiteketeke, mboga ya majani ya magimbi yaliyokatwakatwa. Ni matamu lakini yanawasha sana mdomoni. Nilikuka jana usiku. Muda huu natoka chooni, nimepata choo kwa mateso makali sana, njia nzima ya haja kubwa inawasha na kuwaka moto Wahangaza hii kitu msirudie tena kuwapa wageni. Mnawatesa.
  20. Pre International School

    JamiiForums Tanzania Likizo imekaribia usimuache mtoto acheze kila wakati atasahau hadi kuandika jina lake

    Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani kipindi cha masomo au likizo? 🏡✍️ ELITE HOME TUITION SERVICES tunakuunganisha na walimu wenye sifa kwa ajili ya: ✅ Watoto wa Nursery, Primary na Secondary. ✅ Wanafunzi wa International Schools. ✅ Mitaala ya Cambridge, IB, Kenyan, Indian na...
Back
Top Bottom