wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ya ccm oneni aibu wakati mwingine

    Iko hivi,baada ya maporomoko ya Hanang 2023,wadau mbalimbali wakishirikiana na serikali walitoa misaada mbalimbali.Benki ya Dunia kwa maelezo ya baadhi ya viongozi ilitoa takriban sh billion nne kujenga madaraja kwenye mto wa mafuriko na kuupanua mto.Cha ajabu ccm imejenga madaraja manne TU...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi MKALABOKO: Simba Sc ni sawa na Muhasibu wa kikoba ,akifika wakati wa marejesho lazima pesa mumpe yeye.

    Haya ni maneno aliyoyaelezea mchambuzi gwiji wa mpira kwa sasa nchini Tanzania. Amesema hayo hapo jana akihojiwa na Mtangazaji Tunu Hassan Shenkome kuhusiana na mchezo wa ngwe ya kwanza dhidi ya 15 agosto. https://m.youtube.com/watch?v=iJXAH1zXHqg
  3. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania TANZANIA BAADA YA SAMIA: JE, NI WAKATI WA KUJADILI SERIKALI YA MPITO NA UCHAGUZI KABLA YA 2030?

    Katika siasa, hakuna uongozi unaopaswa kuonekana kuwa mkubwa kuliko taifa lenyewe. Viongozi huja na kuondoka, lakini nchi inabaki. Ndiyo maana Watanzania wanapaswa kuanza kufikiria kwa kina kuhusu mustakabali wa taifa, namna ya kujenga taasisi imara na jinsi ya kuhakikisha kwamba mabadiliko...
  4. emmarki

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuvundika matunda yaive kwa wakati mmoja (fruits ripening chamber)

    Kwenu wataalamu, Ukiacha njia ya asili ya kuvundika ndizi kwa kuchanganya na parachichi ili kuachialia gas ya ethylene inayoharakisha mchakato wa ndizi mbichi kuwa ndizi mbivu, nimeona kuna reefer container ambazo ndizi huwekwa na kupuliziwa hiyo gas ya ethylene na kufanya ndizi ziive kwa wakati...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka sasa kwa Serikali kama mlezi, kuchukua hatua za makusudi na kuharakisha mabadiliko ya uongozi TLS.

    Ni wazi, na sote ni mashuhuda wa ombwe la uongozi linaloonekana wazi kabisa kwenye taasisi hiyo ya kitaalamu Tanzania. TLS imeacha misingi na malengo ya kuanzishwa kwake na kutumbukia kwenye mikono ya uongozi wa vibaka wa kisiasa na wanasiasa uchwara, ambao haijulikani wanafanya makusudi au...
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulitegemea tusikie uchaguzi wa Rais mpya wa TLS sasa mbona kimya, sasa tutafanyaje uchunguzi wa tuhuma wakati mhusika bado yupo ofisini?

    Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS. Matukio ya Rais wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uislamu pekee sheria zake hazipitwi na wakati na zinazotenda haki

    Uislamu pekee sheria zake hazipitwi na wakati na zinazotenda haki
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania "Huu Sio Wakati wa Unyonge,ni Wakati wa Kuunguruma Kwa Sauti Kubwa, Kuthibitisha Maana Halisi ya Utawala wa Sheria", - Hatubabaiki- Rais wa TLS

    Wanabodi, Msikilize Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi Atuma Salaam nzito https://youtube.com/shorts/D8VgSlxC6Uw?si=JOjb2R7WjtdwsBbf Ni kama ametangaza vita. Mzee Pasco Rejea za Pasco kumhusu Rais wa TLS...
  9. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Ufaransa kuachana na wageni hasa wenye asili ya kiarabu na kiafrica

    Ukifuatilia kwa karibu maandamano yanayofanyika Ufaransa utagundua ni maandamano zaidi ya ishu ya gharama za maisha na ada kupanda. Asilimia kubwa wanaoandamana ni migrants waliopara vibali vya makazi ya kudumu Ufaransa, hii ni jamii ya kiarabu kutoka Algeria , Marocain, Palestine , Somalia...
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Madungu, Chris Lukosi, anawadanganya wateja wake anatest Aston Martin DB7 V12 wakati ni Aston Martin Vantage V8

    Sijui wivu au uchawi. Ila Kuna video nimeona amepost, anajisifu analeta Aston Martin DB7 V12, chuma ya James Bond, anaitest anaikanyaga mafuta mlio ukiusikia tu unajua hii V8. Pia milango inqonesha kabisa ni gari ya siku hizi, wakati DB7 iliishia 2004. Sijui, atawauzia Bei gani, ila Japan...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tutaukomboa wakati

    Kuvunja Nyakati Zilizotekwa Katika mafundisho ya kiroho wakati au hatima ya mtu (au jamii) huonekana kuwa imekwama au kucheleweshwa na uovu, tabia mbaya, ukatili au mifumo hasi—hivyo inahitaji toba, bidii, na hatua za makusudi ili kurejesha "miaka iliyoliwa na nzige" Kurejesha miaka iliyoliwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Intelijensia ya Polisi inafanya kazi wakati gani? Kwanini magari kama haya yanatembea Dar bila Sheria kuzingatiwa?

    Kimsingi, Tanzania haina namba za usajili zenye herufi O. Ni ajabu kuona gari hili linatembea jijini Dar na hakuna wa kuligusa. Bado mnaamini tunafuata utawala wa sheria? Au the so called “hakuna aliye juu ya sheria”?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbio za Mwenye zimepitwa na wakati

    Mbio za Mwenye zimepitwa na wakati
  14. I

    JamiiForums Tanzania Iran kwazidi kuwaka moto wakati uchumi ukizidi kuporomoka zaidi.

    Migogoro ya ndani ya kisiasa nchini Iran inazidi kushamiri huku matatizo ya kiuchumi yakiongezeka. Wafuasi wa msimamo mkali wanaongeza shinikizo dhidi ya serikali ya Iran na kutaka Waziri wa Mambo ya Nje, Abbas Araghchi, aondolewe madarakani. Waziri wa Mafuta amejiuzulu, lakini hatua hiyo...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwanini TAG makanisa yao mengi ni ya mabati mabati ova wanajitafuta wakati ni moja ya taasisi kongwe?

    Ni kwamba kila kanisa lijijenge kwa mfuko Binafsi au Hakuna mfuko wa pamoja kama taasisi nyingine za kidini? Naomba kuelekezwa taratibu
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Vatican: Kifundo cha pafu la Baba Mtakatifu, Papa Leo XIV kilichoondolewa wakati wa upasuaji kilikuwa na saratani

    Kijiwe (fundo) cha pafu la Baba Mtakatifu Papa Leo XIV kilichoondolewa wakati wa upasuaji kilipatikana kuwa na saratani, imeeleza Vatican. 'Upasuaji huo umekamilika kwa mafanikio, kulingana na ratiba na kama ilivyopangwa, na Baba Mtakatifu amerejea chumbani kwake,' ilieleza taarifa kutoka ofisi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi Wilayani Serengeti (Mara) wapinga makazi yao kubomolewa wakati shauri lipo Mahakamani

    Licha ya kufunguliwa Kesi Mahakama Kuu Kanda ya Musoma Kesi ya Ardhi Namba 00000897 ya Mwaka 2026, Wananchi, dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, lakini oparesheni iliyofanywa katika Kata ya Kisaka vijiji vya Bolenga Wilayani...
  18. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kubadilisha jina la DIT kuwa TIT

    Pendekezo kwa Serikali: Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) iwe Tanzania Institute of Technology (TIT). Hadi sasa DIT ina Campus nne DIT main Campus (imeanzishwa 1957) DIT MWANZA Campus (Imeanzishwa 2010) DIT SONGWE Campus (Imeanzishwa 2014) DIT DODOMA Campus (Imeanzishwa 2024) Na upo...
  19. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Dejavu na afrika inavyowapita kwenye wakati.

    Msemo wa kukumbuka shuka kumekucha ni afrika. Dejavu japo inapingwa ni ile kwamba unaweza kuzani kuwa ulishawahi kuwepo au lolote ila ndio umeshakuwa hapo ulivyo. Afrika ni dejavu ya majuto na ningelijua.
  20. R

    JamiiForums Tanzania MMM: RANGO NA USANII WA KIMASAI WAKATI NDIYE MBAYA WAO

    Nimependa andiko la Martin Maranja Masese: Dear, RANGO. Hadi umemaliza muda wako wote wa kuongoza The Inter-Parliamentary Union (IPU) umeshindwa kabisa kuthubutu kukemea mauaji ya raia yaliyofanywa na Serikali yako katili ya CCM. Wewe ni KATILI Rango, utamaduni wa mtu ndiyo utu wake Vazi la...
Back
Top Bottom