Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
Ukifuatilia kwa karibu maandamano yanayofanyika Ufaransa utagundua ni maandamano zaidi ya ishu ya gharama za maisha na ada kupanda.
Asilimia kubwa wanaoandamana ni migrants waliopara vibali vya makazi ya kudumu Ufaransa,
hii ni jamii ya kiarabu kutoka Algeria , Marocain, Palestine , Somalia na baadhi ya nchi za watu weusi.
Ufaransa imekumbatia sana hii jamii ambayo imekuwa raised kwenye violence matokeo Yake imepoteza identity . Kwa sasa Ufaransa hatujui mfaransa halisi ni nani
Ili Ufaransa irudi kwenye asili ni lazima ianze kuacahana na waarabu na watu weusi
Student gani anaharibu vitu vya history na kuiba Mali za umma . Ni wazi waandamanaji ni terrorist ni wazi wana nia ovu na hasa ni hii jamii ya kiarabu. Jamii za kiarabu zina preach sana violence
Nchi kama Canada kuingia likutoke jasho sana , imenichukua struggle ya 7 years kuitwa makazi wa Canada
Ni wakati sasa nchi za ulaya kupiga burn jamii za kiarabu ambazo zina transfer violence kwenye mataifa mengine