Ni wakati sasa Ufaransa kuachana na wageni hasa wenye asili ya kiarabu na kiafrica

Ni wakati sasa Ufaransa kuachana na wageni hasa wenye asili ya kiarabu na kiafrica

Na ulaya na mfumo wao wa ushoga natamani ishikiliwa na waarabu yote wazaliane na kuijaza ulaya yote😅😅
Yeah kuijaza dunia ni moja ya malengo ya mwanadamu kuumbwa
Sasa jamii imejaa magasho watazaliana vipi sasa?
Waafrica twende tukahamie huko tukatumie nguvu za mababu zetu na rasilimali zetu walizotuibia hawa wazungu
 
Hawawezi, mataifa makubwa ya ulaya na USA yamepaishwa na wahamiaji, mpaka leo wanafaidika na wageni na hasa nchi za kiafrika.
Soma history babu, soma history
 
Hawawezi, mataifa makubwa ya ulaya na USA yamepaishwa na wahamiaji, mpaka leo wanafaidika na wageni na hasa nchi za kiafrika.
Soma history babu, soma history
Raisi wa bank za ulaya Christine lagarde alishazungumzia hili kwa kina sana
 
Lakini hii nchi ina katiba nzuri sana...

Inakuwaje nchi yenye katiba nzuri na demokrasia safi inakumbana na hizo changamoto zote za kijamii?

Tulitegemea tecdema ndyo iwe na malalamiko kama hayo hapa tanzania, kumbe hata kule ambapo tecdema inatumia kama nchi ya mfano wa kuigwa nako kuna matatizo kibao?
Hii dunia ina michezo mingi inapokuja harakati za kujilimbikizia mali. Pole kwa kutojua michezo unaochezwa France
 
Hivi hizi propaganda kuwa ni Waarabu na Waafrika ndio wanaofanya vurugu Ufaransa zimeanzaje anzaje?

Hizi ni vurugu ambazo zilianza na maandamano ya baadhi ya wanafunzi.


Na Ufaransa haya mambo ya maandamano na vurugu si ndio mambo yao!!



Waarabu na Waafrika mnawaonea tu.


By the way mimi siungi mkono kabisa maandamano wala upumbavu wa demokrasia.
 
Back
Top Bottom