wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mhubiri mtata Nigeria, Yahaya Masussuka, aliyepinga hadithi za Mitume mohamed na kusisitiza kuwa quran tukufu inatosha auawa kwa kupigwa risasi

    Mhubiri mtata nchini Nigeria, Yahaya Ibrahim Masussuka, mwenye miaka 47, amepigwa risasi na kuuawa na watu wenye silaha waliomvamia nje ya nyumba yake katika Jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria. Tukio hilo pia liligharimu maisha ya msaidizi wake. Masussuka alijulikana sana kwa msimamo na...
  2. 100 others

    JamiiForums Tanzania Duniani kote nadhani Israel ndio nchi yenye watu/wananchi wenye uelewa mdogo zaidi

    Wananchi wengi wa Israel hawana tofauti na wafuasi wa yale makanisa ya kiroho. Ambapo mchungaji ananunua kitambaa cha Tsh 500 au maji , au hata tunda, anauza kwa faida ya mara 10 ama 20 kwa kigezo ameombea hio bidhaa.... Wananchi wa Israel wanadanganywa na wanasiasa kama Netanyahu na genge...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Leo kuna nini, Mbona Barabara ya Morogoro Road hasa maeneo ya kimara mpaka ubungo kuna magari makubwa ya Polisi pamoja na polisi wengi wenye silaha?

    Toka majira ya asubuhi ,nimeshuhudia uwepo wa askari polisi wengi wenye silaha kwenye hii barabara! Je kuna shida yoyote?
  4. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wenye ngosi nyeusi wapo obsessed na wanawake wanene. Ni fetish ambayo imerithishwa na kupokelewa vizazi na vizazi

    Yaani ni makebo makubwa juu ya makebo makubwa haijalishi mtu mweusi anaishi wapi
  5. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Naomba watu wenye uelewa wa juu wanijibu haya maswali mawili

    Ukichukua Chupa ya lita 1 au lita 1½ ya Plastiki yenye maji ya moto let say 30/35 au 40 degrees Celsius, ukaiweka kweenye ndoo yenye maji ya lita 20 ya baridi. Utagundua kwamba hii chupa yenye maji ya moto baada ya kuizamisha kwenye ndoo ya lita 20 yenye maji ya baridi kwanza itaenda mpaka...
  6. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake mnawakataa wanaume wenye upwiru,,,?

    Eeeeh aisee nimekumbuka kuna demu kipindi fulani nilimchombeza kuwa namtaka akapiga chenga alafu anauza glocery kwahiyo hiyo siku nilikiwa mimi na washkaji zangu kama wawili hivi. Na hiyo sehemu tulioenda na hao jamaa zangu kama mara nne hivi ila katika hizo mara nne siku moja ndiyo nikapata...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Utawala wa mmoja wa matapeli waovu na wenye kiu ya damu zaidi katika karne ya 21 hatimaye umefika mwisho.Kwa heri Netanyahu

    Wanaukumbi. 🇮🇱 NETANYAHU KUONDOKA TEL AVIV IMEANZA KUSHEREHEKEA Vituo vya kupigia kura vimefungwa. Tel Aviv imelipuka kwa sherehe za upinzani. Kulingana na matokeo ya kura, kambi ya Netanyahu imeshindwa kupata wingi wa kura. Upinzani na vyama vya Waarabu sasa vinaweza kuwa na nguvu ya kuamua...
  8. msukule mzembe

    JamiiForums Tanzania Wans JF wenye mienendo mibaya

    La haula. Ningependa nitoe salamu kwanza mdugu zangu je hamjambo. Kama mjuavyo huu ni mtandao mkubwa sana na unakutanisha watu mbali mbali wanaume kwa wanawake sasa mimi niko na swali kidogo je wana jf kwa wana jf kuna waliowahi kukutana humu wakaanzisha mahusiano na wakafika mbali hadi kwenye...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya ni injini ya siasa za upinzani Tanzania. Walichokosa ni chama chenye mizizi Mbeya na kiongozi CHADEMA, lakini harakati na hamasa, hawana mfano

    Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Dkt Dorothy Gwajima, Unafanya vizuri sana ila katika kulinda Maadili, jenga Mfumo wenye mzizi imara, hata utakapotoka Mfumo uishi!!

    Hivi vyeo vinaondoka. Kuna kuhamishwa Kuna kustaafu/kustaafishwa Tunapoelekea Tanzania ya 2050 suala la Maadili lazima tulitizame kwa picha hiyo !! Leo unapambana sana kudeal na Matukio ya mmojamoja na makundi , ni jambo zuri, ila Mama, fikiria Leo ukitoka utaacha nini kama kielelezo kwenye...
  11. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Wengine waliongea nini na Mungu wakiwa tumboni hadi wakazaliwa familia yenye watu wenye majina makubwa?

    Hivi ulishawahi kujiuliza wengine wanafanyafanyaje wanajikuta wamezaliwa katika familia ya watu wazito na kwanini familia zingine kila mtu ni masikini na familia zingine mtu anazaliwa anakuta ana ndugu matajiri watu wenye vyeo vikubwa? Mimi najiuliza hivi wengine tulimkosea nini Mungu? Sisi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya mtungi: watalii wenye Pixel na iphone original, Camera zao zinatoa picha kali sana kuzidi simu zetu tunazonunua maduka ya refurbished / used,

    Nina rafiki yangu yupo Arusha ni tour guide, Aliniambia kwamba simu nyingi tunazonunua brand kubwa hazifanani na wanazotumia watalii, kwetu zimejaa Used na Refurbished. na hata wale wanaochana mabox wakidhani ni mpya Brand New, huwa ni simu used au refurbished zimewekwa kwenye mabox feki. simu...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wale wa wenye addiction ya simu za google pixel tukutane hapa, #teampixel

    Tuambizane ni kitu gani kilikufanya ukazipenda kindakindaki simu hizi. Kuna sisi ambao bana hutuambii lolote kuhusu simu za GOOGLE pixel ata ufanyaje. Ata ziwe na changamoto gani. Mimi binafsi nimetumia iphone tangu 2008, ya mwisho ilikuwa iphone 11 pro ambayo nilitumbukiza chooni😂 Baada ya...
  14. Ngwathra

    JamiiForums Tanzania Kwa Nurses wenye guts na wanaotamani kwenda Canada, British Columbia inakuita

    Haya malink hayo jilipue ila consistence ya kufuatilia na kufuata maelekezo inahitajika sio narenare ya kusubiri ulishwe kwa kijiko kibongobongo, mambo ya spoon feeding yale yetu. Ukiweza kuruka viunzi vyote wanakupa bursary kabisa ukaanzie maisha...
  15. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Trump ni boya, acha wenye akili tumwambie ukweli

    Niaje waungwana Kabla ya biashara ya utumwa, pamoja na ukoloni kuanza hakuna mwafrika hata moja aliekuwa na ndoto au fikra za kwenda kuishi Ulaya. Ni wazungu ndio walioanza kutufuata sisi kwetu Afrika ili kutuibia, kututesa, kutudhalilisha na hata kutuua. Kama hiyo haitoshi wazungu hao hao...
  16. UTPC

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wenye changamoto ya kusikia wanapitia wakati mgumu katika Vituo vya Afya

    Katika Mkoa wa Mbeya wenye zaidi ya watu 12,000 wenye ulemavu wa kusikia, ni kituo kimoja tu cha kutolea huduma za afya chenye mkalimani wa lugha ya alama. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu Mkoa wa Mbeya (CHAVITA). Hata hivyo, nyuma ya hali hiyo, kuna maumivu makubwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ufaransa na nchi za ulaya zinavuna walichopanda! Hata nchi za kiarabu zilizoendelea ziliwaonya juu ya kuingiza kiholela waislam wenye itikadi kali.

    Jengo la kihistoria la halmashauri ya mji wa Limoges limeporomoka kabisa baada ya waandamanaji wenye msimamo mkali wa kushoto kulichoma moto. Lilijengwa mnamo mwaka 1876. Lilinusurika kwenye Vita Vikuu vya Dunia Si kila watu ni wa kuwaingiza nchi yako haijalishi hata kama watu wa kufanya kazi...
  18. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Ufaransa kuachana na wageni hasa wenye asili ya kiarabu na kiafrica

    Ukifuatilia kwa karibu maandamano yanayofanyika Ufaransa utagundua ni maandamano zaidi ya ishu ya gharama za maisha na ada kupanda. Asilimia kubwa wanaoandamana ni migrants waliopara vibali vya makazi ya kudumu Ufaransa, hii ni jamii ya kiarabu kutoka Algeria , Marocain, Palestine , Somalia...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania jihan karudi nyumbani, sasa wenye chuki na unity wajaze nafasi zilizo wazi

    Hahaha, hii ndiyo Tanzania bana kubabeki, raha tupu! Tumempokea Jihan, tumeshangilia ushindi wake na kusema huyu ni wetu, Tanzania imetisha Wale wasiopenda unity watajaza nafasi zilizo wazi wenyewe sisi tumepitisha, na tunampenda mwenzetu pamoja na nchi yetu. Sisi tunaitangaza Tanzania kwa...
  20. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna namna ya kuotesha nywele kwa wenye uwalaza?

    Kuna kitu kinanipa wasi wasi sana, nina miaka 29 na ni naona dalili za kuja kuwa na uwalaza yaani(kipara au wanga) Je, kuna njia yoyote ya kusaidia kuotesha nywele au nifanye njia gani kuepuka wanga? Je, kuna supplement ya kuotesha nywele? Au ndo unikubali kuwa Nitakuja kuwa na uwalaza...
Back
Top Bottom