Wale wa wenye addiction ya simu za google pixel tukutane hapa, #teampixel

Wale wa wenye addiction ya simu za google pixel tukutane hapa, #teampixel

paqwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,593
Reaction score
3,603
Tuambizane ni kitu gani kilikufanya ukazipenda kindakindaki simu hizi.

Kuna sisi ambao bana hutuambii lolote kuhusu simu za GOOGLE pixel ata ufanyaje. Ata ziwe na changamoto gani.

Mimi binafsi nimetumia iphone tangu 2008, ya mwisho ilikuwa iphone 11 pro ambayo nilitumbukiza chooni😂

Baada ya hapo nikaingia android mara ya kwanza. Ilikuwa ni Nokia.

2021 mwishoni nikaona Google pixel 6 inatangazwa , nikasikinikasema hawa si ndo google wenyewe hawa, acha nijaribu. 2022 nikaipata. Ee bwana nikasema kwanza iphone mpaka ma barmaid mjini wanazo , ilikuwa ni simu unique sana kila mtu ananiuliza, camera mashallah. Features kibao, now playing, live translation , kila update inaleta kitu, ikaja circle to search. Ila sasaa, zilikuwa zinazingua watu huko majuu, bugs kila kukicha, mara kupata moto sana, kuisha charge haraka nk. Japo yangu haikuzipata. Ninayo mpaka saivi. Sasa hivi Kuna Gemini , google weather app ambayo ni reliable sana. Sasa hivi ninatumia pixel 10 pro. Ninaipenda sana japo nimepata tamaa February nikanunua li iphone 16 pro nikajua zinamaajabu. Muda mwingi najikuta nipo na pixel. Iphone naiuza soon maana nilidhani Siri AI itakuwa na maajabu.

#teampixel.
 
Hakuna simu niliwahi kuipenda kama hii
1792709460211.png


1792709387919.png
 

Attachments

  • 1792709350288.png
    1792709350288.png
    503.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom