Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Kuna kitu kinanipa wasi wasi sana, nina miaka 29 na ni naona dalili za kuja kuwa na uwalaza yaani(kipara au wanga)
Je, kuna njia yoyote ya kusaidia kuotesha nywele au nifanye njia gani kuepuka wanga?
Je, kuna supplement ya kuotesha nywele?
Au ndo unikubali kuwa Nitakuja kuwa na uwalaza kama wa Magufuli?
Naombeni ushauri kwa wanajua namna bora ya kuotesha nywele, au kuepukana na uwalaza!
Yaani nije niwe kama huyu mwamba kweli? 😂
Aisee... Msaada tafadhali wakuu, pesa yenyewe sina, uwalaza wa nini tena kwenye maisha yangu?