namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke anatakiwa aondoke kwa namna yoyote ile

    Tumekuwa na Taifa ambalo lina support matendo ya kishetani kama haya chini ya huyu mwanamke. Kama (mashoga wanafanya annual conference yao) Serikali kupitia Polisi, TISS mambo ya kishetani kama haya hawayahoni ila CHADEMA wakifanya mtukano unazuiwa kwa sababu ya intelijensia yao imewaambia...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba Ya Lema Itafsiriwe kwa Kiingereza Ili Wazungu Wajue wazi kabisa Namna wanaharakati uchwara wamekuwa wakichochea Vurugu na machafuko hapa Nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Lema ameongea ukweli Mchungu sana siku ya leo kwa kuonyesha namna wanaharakati uchwara akina Mange Kimambi na akina Maria Sarungi wamekuwa wakifanya uchochezi kuchochea vurugu na machafuko hapa Nchini huku wao wakijificha huko waliko ambako wanalishwa kama Makinda ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Embu Tizama Rais Wetu Namna Alivyo Imara na Mwenye Nguvu. Hivi Wanaharakati Uchwara Wakiongozwa na Maria Sarungi Wanajisikiaje Huko Waliko?

    Ndugu zangu Watanzania, Napata Raha na Furaha kubwa sana Napomuona Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania katika Hali hii ya Ushupavu ukakamavu uimara Uhodari tabasamu na morali na Ari ya kazi . Mama Yetu Mpendwa yupo Imara kimwili na kiakili . Yupo Tayari kuendelea na...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kwa namna ilivyo sasa, ni wakati muafaka wa serikali yetu sikivu ya CCM kulifungia kanisa Katoliki kwa kukiuka misingi ya kiroho nchini Tanzania

    # Kwa namna ilivyo sasa, ni wakati muafaka wa serikali yetu sikivu ya CCM kulifungia kanisa Katoliki kwa kukiuka misingi ya kiroho nchini Tanzania ## Je, taasisi ya kiroho inapovuka mipaka yake, nani anapaswa kuwajibika? Dini ni nguzo muhimu katika kujenga maadili, kuimarisha amani na...
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Eti wauaji wanajadiliana namna ya kuwakumbuka waliowaua!!

    Siamini katika mambo ya laana. Ila, kama kweli laana ipo, basi hawa wauaji wa CCM watakuwa wamelaanika kutokana na mauaji waliyoyafanya na sasa hata akili ndogo tu hawana kabisa. Eti huko yaliko yanajadiliana namna ya kuwakumbuka watu waliowaua Oktoba 29! The irony!! Soni hayana. Akili...
  6. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuongeza mvuto na kipato kwa kutumia karafuu, mchele na sarafu ya 500

    Huu ni mchanganyiko mwepesi hata wewe unaweza ukafanya na ukaona mabadiriko. Chukua karafuu, mchele kidogo punje kadhaa changanya na sarafu ya 500 ili uweze kuongeza mvuto wa kibiashara, kuongeza thamani yako na kuongeza kioato chako. Njia ya kwanza, chukua karafuu , changanya na mchele...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tambua kama mwanaume kila msimamo utakaochukua lazima ukugharimu na hakuna namna ya kukwepa hili katika kutengeneza familia na ufalme.

    Swali ni unaweza kubeba na kubembeleza consquences za maamuzi yako au utasukumia kwa wengine kinamna.
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Je, Namna Tunavyooga Inaweza Kuongeza Hatari ya Kiharusi? Haya Ndiyo Unayopaswa Kufahamu

    Kuna taarifa inasema kuwa kuanza kuoga kwa kujimwagia maji kichwani kunaweza kuongeza hatari ya kupata kiharusi (stroke). Taarifa hiyo inaeleza kuwa watu wanapaswa kuanza kuoga kwa kulowesha miguu, kisha mwili na kumalizia kichwani. Kwa mujibu wa taarifa: Kiharusi kinaweza kutokea pale damu...
  9. C

    JamiiForums Tanzania je, ufaham namna sahihi ya kuzima gesi inaposhika moto?

    Matumizi ya gesi ya kupikia yameongezeka katika jamii. Hata hivyo, ni muhimu kuwa na uelewa sahihi wa hatua za kuchukua pale moto unapotokea ili kuzuia madhara na kulinda maisha pamoja na mali. Je, unajua namna salama ya kuzima moto unaosababishwa na gesi ya kupikia wakati wa dharura?
  10. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna namna ya kuotesha nywele kwa wenye uwalaza?

    Kuna kitu kinanipa wasi wasi sana, nina miaka 29 na ni naona dalili za kuja kuwa na uwalaza yaani(kipara au wanga) Je, kuna njia yoyote ya kusaidia kuotesha nywele au nifanye njia gani kuepuka wanga? Je, kuna supplement ya kuotesha nywele? Au ndo unikubali kuwa Nitakuja kuwa na uwalaza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ungepokea comments za namna hii, ungejisikiaje?

    Ukipokea comments za namna hii, ungejisikiaje? Watu wengi hutumia komenti kama sehemu ya utani lakini je, ni wakati gani utani hugeuka kuwa ukatili mtandaoni? Ni pale kauli yoyote inapogeuka kuwa ya kuumiza, kutweza hisia au utu wa mtu, kuwa makini unapoweka komenti usije kuwa unafanya...
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumtongoza mrembo wa jf

    Unamtumia ujumbe mzuri wa namna hii, ''Kodi yako ya nyumba inaisha lini?, baadaye baadaye uje uchukue basi hela ya matumizi.'' Hapo baharia utaitwa majina yote, sijui asali, sukari, mume, moyo, dia n.k Akifika tu, anakuachia uwanja ucheze wewe mwenyewe unavyoweza. Kazi kwenu, mabaharia.
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna namna yoyote JPM anaweza kusamehewa na historia kwa kufuta upinzani wa kweli Tanzania?

    Nimepanda SGR kutoka Dar kwenda Morogoro nimefurahia usafiri wa starehe wa bei nafuu ila kila nikikumbuka Jiwe ndiye aliua upinzani bungeni akatuachia matutusa tu bungeni na kuligeuza bunge kuwa jumuiya mojawapo tu ya chama tawala au tawi la serikali kuu nashindwa kumsamehe kabisa. Hivi...
  14. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Video: Ukimsikiliza Lissu alipokuwa bungeni halafu ukisoma nyuzi za machawa humu JF utagundua, Machawa kuna namna fulani wana laana

    https://www.tiktok.com/@emmanoeli3/video/7681738572277288210?_r=1&u_code=e0hkf9aj984902&preview_pb=0&sharer_language=en&_d=dmbi6bhhk236d0&share_item_id=7681738572277288210&source=h5_m&timestamp=1791747785&user_id=7073563122229298182&sec_user_id=MS4wLjABAAAAUJa_GofDENFj0b3t4zylnDgbbtbouvSMjso0y1zh...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kubadili kozi katika Chuo Kikuu cha Dodoma

    Namna ya kubadili kozi kutoka sanaa ya kiswahili kwenda bachelor of arts with education
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ninamchukia Sanaaa Hilda Newton Wa CHADEMA Kwa Namna anavyowachafua na kuwadhalilisha Viongozi Wetu kila Uchao. Kufanyike Mikakati ya Kumkamata.

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Binti ni zahili na wazi kabisa alikosa Malezi ya Wazazi wake,Ni Wazi amezibuka kiakili, ni wazi amejikulia tu bila malezi ya aina yoyote ile, ni wazi ni Mwanamke fulani ambaye kichwani ana matatizo makubwa sana , ni wazi pengine hata wazazi na mama yake mzazi...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Kwa waislam msalaba ni alama ya laana tuangalie namna unavyotugusa

    Ukisimama au kulala chali na kunyosha mikono yako, unatengeneza msalaba. Ndege zinazotumika kwenda hija ni alama ya msalaba Mitaa tunayokazita kadhilika Nyumba tuishimo mapaa yake yamejaa alama hii Makutano yote yana alama hii Ongeza alama yako ya msalaba halafu tuangalie kweli kama imani hii...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuwa mchafu namna hii na kunywesha wenzio uchafu?

    Basi ,Kuna jamaa mmoja alikuwa ameweka banda lake la kuuza Kahawa na Tangawizi nje ya nyumba niliyokiwa nimepamga. Basi nikawa mmoja wa wateja wake maana nilikuwa napenda draft hasa hakukuwa na mambo ya eosho media so alikuwa na tv isiyo na rangi tunacheki habari huku inalia chaa sometimes...
  19. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vyote jirekebisheni kuna namna mmepotoka kidogo.

    I salute you kinsmen. Kuna kasumba imekuwa kubwa taratibu sana, nahisi hali hii TCU ndio wameleta Sikuhizi wanafunzi wamekuwa wengi na ufaulu nao umeongezeka sana Maelfu wanamaliza form six kila mwaka na wote wanataka kwenda chuo. Sasa TCU kama baba wa vyuo vyote na mlezi Anaruhusu vipi...
  20. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuoga kwa kutumia mzizima na chumvi ya mawe kujitakasa, kuondoa uchawi mwilini na husuda.

    Chumvi ya mawe kwa urahisi kabisa inapatikana kwenye maduka ya dawa za asili . Miongoni mwa faida kuu ya chumvi ya mawe ni kukuondolea uchawi uliopo mwilini mwako, husuda na kama kuna milango ya ridhiki ilifungwa basi ukitumia chumvi ya mawe itakusaidia sana kufungua kifungo. Cha kufanya...
Back
Top Bottom