Eti wauaji wanajadiliana namna ya kuwakumbuka waliowaua!!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Siamini katika mambo ya laana.

Ila, kama kweli laana ipo, basi hawa wauaji wa CCM watakuwa wamelaanika kutokana na mauaji waliyoyafanya na sasa hata akili ndogo tu hawana kabisa.

Eti huko yaliko yanajadiliana namna ya kuwakumbuka watu waliowaua Oktoba 29!

IMG_0718.jpeg

The irony!!

Soni hayana. Akili hayana.

Yalichonacho ni mabunduki tu.

Y’all ain’t shit.
 
Hawa wanatakiwa kukunwa Kama ambavyo wamewakuna waliowateka.

Siku inakuja tutawafila Hawa mbwa

ISIPOKUWA wao hata watoto wao au wajukuu wao.
 
Serikali imefanya vyema. Vibaka waliotumwa na TEC na CHADEMA ni watanzania wenzetu. Pamoja na kwambaa walipata walichostahili ila tumeumia kuwapoteza kwa sababu ya upuuzi wao wa kuwasikiliza TEC na CHADEMA
 
Hawa majambazi WAHUNI mafisadi watekaji watesaji wachafu wanyanyasaji WAUAJI wana matatizo ya akili kabisa kabisa 🤬🤬🤬🤬🤬
 
Serikali imefanya vyema. Vibaka waliotumwa na TEC na CHADEMA ni watanzania wenzetu. Pamoja na kwambaa walipata walichostahili ila tumeumia kuwapoteza kwa sababu ya upuuzi wao wa kuwasikiliza TEC na CHADEMA
Huu ndio mtaji wa fisiem, Yaani ukishakuwa mpumbavu kwao ni faida
 
Serikali imefanya vyema. Vibaka waliotumwa na TEC na CHADEMA ni watanzania wenzetu. Pamoja na kwambaa walipata walichostahili ila tumeumia kuwapoteza kwa sababu ya upuuzi wao wa kuwasikiliza TEC na CHADEMA
Vibaka ni hao waliokupa pesa uje ubwabwaje,nyie ndo mashoga(mboga mboga) hamjielew...endeleen kula pesa haramu,damu haimwagikag bure
 
Siamini katika mambo ya laana.

Ila, kama kweli laana ipo, basi hawa wauaji wa CCM watakuwa wamelaanika kutokana na mauaji waliyoyafanya na sasa hata akili ndogo tu hawana kabisa.

Eti huko yaliko yanajadiliana namna ya kuwakumbuka watu waliowaua Oktoba 29!

View attachment 3698025

The irony!!

Soni hayana. Akili hayana.

Yalichonacho ni mabunduki tu.

Y’all ain’t shit.
Mbona imechukua zaidi ya mwaka kuwaźa hilo na kufikiri kama ipo haja ya kuwakumbuka manusùra nà familia za waliouwawa!
 
Serikali imefanya vyema. Vibaka waliotumwa na TEC na CHADEMA ni watanzania wenzetu. Pamoja na kwambaa walipata walichostahili ila tumeumia kuwapoteza kwa sababu ya upuuzi wao wa kuwasikiliza TEC na CHADEMA

Wewe ni mpumbavu tu mmoja vipi shekhe sharifu Majini alikua ametumwa na TEC na Master Tidwa wa Clouds alitumia na TeC?
 
Mimi hadi Leo akili haijanikaa sawa tangu watu wangu wengi wa karibu kuuawa 😐😠
 
Back
Top Bottom