Basi ,Kuna jamaa mmoja alikuwa ameweka banda lake la kuuza Kahawa na Tangawizi nje ya nyumba niliyokiwa nimepamga.
Basi nikawa mmoja wa wateja wake maana nilikuwa napenda draft hasa hakukuwa na mambo ya eosho media so alikuwa na tv isiyo na rangi tunacheki habari huku inalia chaa sometimes kitivii kidogo. Mara kwa mara nilikuwa naingia, nakaa, na kuagiza kikombe cha tangawizi. Kwa sababu tangawi ilikuwa tamu, na sikuwahi hata kufikiria sana kuhusu namna anavyoitengeneza.
Siku moja nikamwona akiwa anatia maji kwenye kahawa. Alikuwa anatumia kisado fulani flani chekundu kumimina maji. Nikakiangalia kwa mbali kwa ndani kuna sehemu nyingine cheusi kabisa, kama kina kutu na uchafu uliokaa muda mrefu, nilipotezea.
Siku moja nilikiwa nimechili na dada flani jirani nikaona jamaa kaja kichota maji kwenye bomba na kile kisado nikajua anapeleka maji lakini hapa ndipo nilipoona kitu kilichonifanya niache kunywa tangawizi na kahawa za mitaani mpaka kufa .
jamaa alivyomaliza kuchota maji kwenye bomba, akaingia nacho chooni.
Kumbe kile kisado ndicho alichokuwa akitumia kujisafisha chooni!
Akatoka nacho, akachota maji pale bombani tena akarudi nacho alikotokea kwenye kibanda cha kahawa sijui kilichoendelea huko ila ilikuwa mwanzo na mwisho kunywa kwake na kokote nilipoenda
imarisheni usafi upande wa chakula na vinywaji enyi ndugu zangu wa mwananyamala komakoma