hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania Mama yetu kwa video hii tunaomba turudishie huyu myu mambo ya ndani

    Sitaongea mengi maana video inajieleza https://youtube.com/shorts/hfQqDQmlbPg?is=Ygc4h9-7jNlpQXhc
  2. Dronephonex

    JamiiForums Tanzania Traffic ashindwa kumsaidia bodaboda aliyepata ajali Ilala

    TRAFFIC NA BODA BODA KUNA UGOMVI? Leo, jijini Dar es Salaam, eneo la Ilala, tukio la ajali ya boda boda limeibua maswali baada ya askari wa usalama barabarani (Traffic) kudaiwa kushindwa kutoa msaada kwa dereva wa boda boda aliyepata ajali. Kwa mujibu wa maelezo ya mdau aliyeshuhudia tukio...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hii ni dalili wanajua Hukumu ya Lisu

    ! Kwa kauli hii wanajua hukumu itakuwaje! Time will tell
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tunamlaumu Mama Gwajima kukaa kimya bure na kutochukua hatua kali? Huenda hii vita si rahisi kama tunavyofikiri

    Kuna jambo ambalo nafikiri tunapaswa kulitafakari. NGOs nyingi zinazofanya kazi za usawa wa kijinsia, afya ya uzazi na haki za binadamu zinafanya kazi chini ya usimamizi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu. Baadhi ya mashirika haya hupokea ufadhili mkubwa kutoka...
  5. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ushindi huu wa Simba usheherekewe week hii nzima

    Ushindi huu wa Simba sports club uende na nderemo na vifijo week hii nzima, tubishane sana na watani zetu, tutukanane kama kawaida yetu, kisitokee kitu chochote cha kisiasa kututoa kwenye reli. Yani week hii nzima ni week ya kifootball kama kawaida yetu watanzania tujikite humo, hayo mengine ya...
  6. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii Simba SC hata ukitangulia goal 4 lazima upigwe TU kila GoTi litapigwa 😁

    Simba Bingwa 😀
  7. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania CCM imechoka, upinzani umetepeta! Hii ni turufu kwa chama nitachoasisi ili kushika dola 2035!

    Mwaka mmoja na nusu umepita baada ya kuandika uzi wangu huu-- ' Hekaya za George Soros na Utabiri wa Anguko la CCM,' kwenye jukwaa hili adhimu! Mwenendo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) haujaboreka, bali umeendelea kuzorota na kufifia! Hii inafanya ile 'narrative' ya 'CCM haijabakisha maisha marefu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lema: CHADEMA tubadili mbinu, njia ya chuki haitusaidii

    "Njia ya mbele hii ni ngumu kuliko hii ya sasa ila wananchi wanaweza kuzuia hiyo njia isiwaumize viongozi wao, wananchi wako tayari? Sasa nikizungumza hivyo kwenye mikutano wanaanza ooh Lema umeanza kuwa muoga, sio kuwa kuoga pengine nimeanza kuwa na hekima, nimegundua kuwa njia ya chuki...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii picha sio AI. Kuna video kamili ya tukio hili. Mama na mwanae walirushwa kwenye shimo and shortly after wakauliwa.

    mcTobby mwafrika atafanya haya kwa mwafrika nwenzake alafu kesho atakaa katika vyombo vya habari aseme "wazungu ndio mashetani"
  10. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hii kasumba ya mods kuwa na umiliki wa nyuzi sijawahi kuielewa kabisa.

    Uzi uandike wewe.. Wao wajifanye wanajua kusudi la uzi wako mpaka wabadili title. Wao waone nyuzi yako zinafanana na nyuzi fulani then waunge. Hao hao mods wapite na nyuzi yako bila taarrifa. Hao hao wa edit uzi wako u fit vile wao wanaona ina sound vyema. Sasa, uhuru wa sisi wanajukwaa uko...
  11. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hii vita inayoendelea kati ya Godless Lema na Mange Kimambi ni mkakati wa kuihamishia CHADEMA ukanda wa Singida

    Ni dhahiri kwamba sasa Heche anatafuta njia za kuihamishia chadema ukanda wa kati Singida kupitia Mangekimambi, anataka aondoe dhana iliyojengeka Toka zamani kuwa Chadema ni Chama cha ukanda wa kasikazini kutokana na waasisi wao kutoka ukanda huo. Niseme tu ukisha kuwa chadema tu tayari upo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Hotuba hii ya CJ, wazi kwamba hawa wanaolishwa mafundisho ya Yesu watamuumiza Kichwa Mh. Rais

    Mafundisho ya Yesu ni yenye Nguvu mno tofauti na tunavyofikiri. Vitabu vyote vinamtambua kama Neno la Mungu (John 1:1; Quran 4:171) na Mtume pekee yake ambaye hakuwa na dhambi na maisha yake yote hakufanya dhambi (Luka 1:35; Quran 19:19) Mtume pekee aliyefanya miujiza hata kufufua watu (Quran...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hii ajali ya New Force Dereva kaumbuka Chalinze. Atajiteteaje?

    Wakuu, Dereva ajiteteeje? Napingana na wanaosema alikuwa kalewa
  14. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Harusi imebaki siku 3, send-off ikageuka msiba! hii story ya afrah ina maswali mazito

    Kuna matukio mengine ukisikia unajiuliza, ila unakosa majawabu. Nimekutana na story ya binti anayeitwa Afrah ambaye inadaiwa amefariki dunia zikiwa zimebaki siku tatu tu kabla ya harusi yake. Kwa mujibu wa taarifa , siku ya send-off akiwa ukumbini alianza kucheka cheka bila sababu...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hii kazi ya Customer Care inabidi uwe na Uvumilivu wa hali ya juu

    Nawaonea sana huruma watu wanaofanya kazi kitengo cha customer care. Hawa watu wanabeba lawama za Mataasisi na Maofisi. Mteja anapiga simu anaporomosha matusi, kejeli na lawama kibao. Alafu unakuta huyo mteja ndio mwenye kosa. Mimi nimewai kuona Boyfriend wa mteja alikopa pesa kwenye App...
  16. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ Kama taarifa hii mmeikana, msahau kushinda vita au kuilinda Nchi, Siasa za CCM zimeua Taifa.

    Katika mitandao kuna huu ujumbe unasambaa na Jeshi linasema si taarifa sahihi. Sio kila fake news ni ya kupinga, zingine ziko kimkakati sana, JWTZ kukana hii taarifa kwa kutokukaa kimya ni kuruhusu rasmi vijana wajilinde wenyewe hata kwa kutafuta Silaha. Hii habari jeshi limekanusha kwa nguvu...
  17. papag

    JamiiForums Tanzania Wale wazee wa kuondoa post. Ondoeni na hii

    Au tunaonewa?
  18. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Lawama zote hazimkwepi Mwalimu Nyerere kwa yanayoendelea nchi hii!

    Kataa au ukubali lawama kwa yanayoendelea nchi hii Nyerere hazimkwepi hata kidogo yeye anahusika kwa yanayoendelea wala tusifichane uungu mtu wake na kujifanya Godfather ndiyo imeifanya nchi hii iwe hapa Umasikini,udini,unyonge,ujinga na katiba mbovu yeye ndiyo muhusika kwasababu hakutaka...
  19. Gunner11

    JamiiForums Tanzania System haikutengenezwa kutukomboa, bali kutufanya watumwa

    Since a kid, used to feel like an outsider. Baada ya kujaribu ku fit in, naona imegoma kabisa. Unafanya kazi, mifumo inakufanya soul yako ijihisi kama iko kifungoni. Unajaribu kukaza, una burn out, ila utafanya je sasa, na hauja zaliwa na kuna MO, bakhresa? Kweli, the system wasn't...
  20. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii picha inachekesha sana

    😁
Back
Top Bottom