Lema: CHADEMA tubadili mbinu, njia ya chuki haitusaidii

Lema: CHADEMA tubadili mbinu, njia ya chuki haitusaidii

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

"Njia ya mbele hii ni ngumu kuliko hii ya sasa ila wananchi wanaweza kuzuia hiyo njia isiwaumize viongozi wao, wananchi wako tayari?

Sasa nikizungumza hivyo kwenye mikutano wanaanza ooh Lema umeanza kuwa muoga, sio kuwa kuoga pengine nimeanza kuwa na hekima, nimegundua kuwa njia ya chuki haitoki" amesema Lema.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amesema hayo leo Novemba 1, 2026 jijini Arusha, katika mkutano wake maalumu na waandishi wa habari.

Lema ameongeza kwamba "Nyie wananchi ambao ndugu zenu wanauawa halafu mnaogopa hata kupiga kelele, tunasema maelfu ya watu wamekufa, wameuawa, juzi kulikuwa na ibada, hayo maelefu yalikuwa wapi?" amehoji Lema.
 
Huyo jamaa anasema aliongea na Mbowe harusini akamwambia ameachana na siasa halafu yeye akaenda kuwaambia viongozi wamuondoe Mbowe kwenye magroup na Kamati Kuu ya chama kwa maongezi waliyofanya harusini.

Wewe unaona kuna kiongozi hapa?
 
Ukweli uauma , kwa chuki mtaendelea kuumia sana.
 
Lema ameshafika bei.....hizo ni Kona kona tu za kumalizia biashara.....lakini huyo mchaga ni muda mrefu tu alishavuta mpunga
Kukimbilia kusema kila mtu amefika bei mnakuwa mnakosea. Wengine walikuwa ni maafisa toka day 1, wanachofanya sasa au pale wanapowageuka ni sehemu ya kazi waliyotumwa na siyo lazima wawe wamehongwa.
 
NI ngumu sana kumuamini mwanasiasa.
Sidhani kama suluhu ya matatizo ya Tanzania italetwa na wanasiasa na hizi sarakasi zake.

ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni
 
Lema anahisi kila mtu ni msenge kama yeye, kwasababu alishawahi kufiRwa 2010 na maSiSiEm wakamrekodi wanazo video zake, kwahio hawajaacha kumtumia tangu kipindi hicho
 
Yes, mimi naona kwenye suala la utayari kuna hoja japo mtoa hoja ana walakini. Tupo watu M60+.
Kweli ndugu.....kwenye wengi pana mengi.....

Wakati mwingine ndugu watu wakishakudhania mabaya basi hata yale mazuri pia yanamezwa na yale yanayodhaniwa juu yako!!

Kwenye ulimwengu wa kisiasa "dhana" hazipuuziwi
 
Kweli ndugu.....kwenye wengi pana mengi.....

Wakati mwingine ndugu watu wakishakudhania mabaya basi yale yanamezwa na yale yanayodhaniwa juu yako!!

Kwenye ulimwengu wa kisiasa "dhana" hazipuuziwi
True
 
Back
Top Bottom