Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.
Huwezi sifiwa na CCM kama hawana Masilahi nawewe.
Huwezi kutaka huruma za CCM badala ya Utawala Bora wa Sheria , Ukweli, UWAZI, Uwajibikaji .
LEMA Tumekupuuza !!.
Lipumba kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Maalim Seif Selasini kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Mbatia.
Hivi sasa wote wameivua vyama vyao na wao wamefukuzwa.
Chadema wajitahadhari sana na LEMA.
Wajifunze kupitia NCCR na CUF
Baada ya Godbless Lema kuongea, asilimia 95 ya wanaotoa maoni kuhusu hotuba yake, wanampinga na wanamdhangaa sana
Hii maana yake nini?
Tafsiri yake ni kwamba, umma umeyakaa maelezo yake na zaid umma umeendelea kuwakataa anaowatumikia(waliomtuma)ambao si wengine bali ni watawala
Who do you think might have the boldness to respond to Godbless Lema’s very sharp speech before the Central Committee?
Can real anybody within chadema central committee has the political capacity and ability to deconstruct or destroy that powerful speech, which caused confusions among chadema...
Huyu LEMA alimkimbia Magufuli na kukimbilia Canada na Familia yake kwa msaada wa akina Maria Sarungi .
Alipata Hifadhi Canada, kwa sababu tu ni MWANACHADEMA , Mpinzani na Mkosoaji wa Magufuli ambaye aliamua kwenda Canada kutafuta Hifadhi
Magufuli amekufa, na kwakua Amekufa, LEMA akapigiwa...
Kwa mfano ikitokea LISSU amehukumiwa kifungo cha maisha au kunyongwa, hatutaona kuwa LEMA alikuwa one step ahead na kumuona kuwa wa maana?
Kuna kesi nyengine zinaitaji hekima na busara ya aliyeko madarakani.tunatakiwa kutumia akili na siyo nguvu.
Wakati wa harakati za kudai Uhuru Africa kusini kulikuwa na Kiongozi mmoja mzungu aliyeitwa Joe Slovo. Huyu Bwana alikuwa kiongozi wa chama cha Kikomunisti cha Africa Kusini. Alikuwa ni Mzungu lakini ambaye alikuwa na Ukaribu sana na ANC na aliyekuwa Mpinzani.Yeye na Nelson Mandela walikuwa ni...
Kila binadamu anaweza kuwa na upuuzi wake mwingi kichwani. Unaweza kuwa na upuuzi wa kiwango cha juu umeubeba kichwani ila kwa kuwa haujulikani kwa watu basi unaendelea kuheshimika. Siku ukiamua kuubwaga upuuzi uliobeba kisha watu wakausikia hapo ndipo dharau zitaanza. Hata wewe hutaamini kwamba...
Taifa lipo kwenye kipindi ambacho wananchi wanahitaji ukombozi. Wamechoshwa kuibiwa mali zao za umma na wanaona kabisa CCM inaondolewa madarakani.
Wasaliti kama Mbowe au Zitto Kabwe miaka ile ya nyuma hawana nafasi tena.
Chadema wachukue hatua stahiki mapema dhidi ya huyu mnafiki.
Mfumo wa vyama vingi ulirejeshwa Tanzania mwaka 1992 kwa shinikizo la Mwalimu Julius Nyerere, lakini Katiba haikufanyiwa mabadiliko ya kutosha kuhakikisha ushindani wa kisiasa wenye usawa.
Ibara ya 3 ilitambua mfumo huo, lakini mamlaka makubwa ya Rais, usimamizi wa uchaguzi na mazingira ya...
Lissu yupo gerezani sio kwa sababu hawezi kupiga simu kwa Samia bali kwa sababu anapigania utawala wa sheria, hapiganii uhuru wake peke yake anapigania uhuru na haki ya watu wengine.
Kama angekuwa anajipigania, leo hii angekuwa Ulaya anakula maisha na familia yake.
Lema ni mbinafsi Lema ni...
Kwa mliokuja Inbox kutaka maoni yangu kuhusu press conference ya Lema tafadhali someni huu uzi kwa makini. Nitaandika kwa ufupi sana. Kwa ufupi ni kuwa Lema kakivua nguo chama chake na uongozi uliopo sasa. Haya ni mambo kadhaa niliyoona;
1. CHADEMA inahubiri kutaka haki ila inatenda tofauti...
Habari wadau, baada ya kumsikiliza Lema, Kuna mambo nimeyaona
1.Bado anaishi enzi za mwenyekiti Mbowe za siasa biashara
walikuwa wanakula posho na fursa nyingi pia wakipewa upendeleo fulani na serikali. Magu ndio alietusanua akawatupilia mbali na mfano alimtosa Zito kabwe na ACT yake...
Chadema kuweni makini fuatilieni ushahidi kwenye swala la Lema. Watu wa CCM wanataka kuleta mchafuko kwa kumtumia Lema na kumsingizia.
Habari za sirisiri ambazo wana harakati wanapewa wawe makini na hizo habari inawezekana kabisa wanao wapa habari wanawapandikizia mambo ya uzushi.
Unapoona mwanajeshi Yuko mstari wa mbele anaanza KULETA uoga hadharani na kuanza kutisha wenzake hafai hata kidogo .
Haijalishi ujasiri wa zamani ambao aliwahi kuwa nao lema lakini Kwa sasa hafai Frontline .
Kama mange kimambi ambaye Hana hata kadi ya Cdm anamtoa kwenye mstari je angekuwa...
Hamjambo wote!
Lema anahaki ya kuongea atakachoongea. Kulingana na maoni yake yanayoendeshwa na uelewa wake, maslahi yake na na muono wake. Hiyo ni haki yake.
Lakini Lema atafanya Kosa la kiufundi ikiwa atadhani anaushawishi ndani ya CHADEMA.
Huo ushawishi hana.
LEMA ajue Chadema ndio...
Nina maneno matatu tu kwa Lema, kwa yote yaliyotokea; amekuwa naive, presumptuous na insubordinate
Nimeshindwa kupata maneno ya Kiswahili ya kum-define Lema kwa yale aliyofanya, lakini kwa wale wanaojua lugha ya malkia Lema amekuwa naive, presumptuous na insubordinate.
Labda neno la Kiswahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.