Namuona LEMA kuwa mwenye akili kabisa, wakati mwingine plan B ni mhimu sana

Namuona LEMA kuwa mwenye akili kabisa, wakati mwingine plan B ni mhimu sana

badirika

Senior Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
153
Reaction score
162
Kwa mfano ikitokea LISSU amehukumiwa kifungo cha maisha au kunyongwa, hatutaona kuwa LEMA alikuwa one step ahead na kumuona kuwa wa maana?

Kuna kesi nyengine zinaitaji hekima na busara ya aliyeko madarakani.tunatakiwa kutumia akili na siyo nguvu.
 
In a long run,madhara yake ni Nini?Kutakuwa na upinzani kweli?Kama itaonekana kawaida mpinzani kubambikwa kesi kubwa zisizo na dhamana,then suluhu inakuwa mpinzani kumwangukia mtawala,nani atasimama kama mpinzani wa kweli?
Basi tubaki na Chama kimoja,hakuna maana ya vyama vingi tena!
 
Back
Top Bottom