Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.
Bado Tupo!
Mchezaji anaweza mzuri kwenye ku- defence, ku-drible, kushambulia lakini akawa anashindwa kwenye final touch kumalizia kufunga Bao.
Huyo Mbowe tayari alikuwa ametepeta, Timu yake ilikuwa ICU. Chenga nyiiingi kwa Lisu Mpaka kamchenga Kipa.
Alafu mwishoni kabisa ati anatoa Pass kwa...
Anachokifanya Lema na wenzake sasa kwa hivi kwa Mbowe ni sawa na kile walichokifanya CHADEMA enzi za Lowassa kumgeuza kuwa mbuzi wa kafara na kumuhusisha na kila ufisadi mkubwa nchini?
Soma
Uzi maalum wenye matukio yote kuhusu sakata la Richmond
Kama kweli Waziri Bashe katoa kibali cha...
Toa vitambulisho kwa Wajumbe , Wajumbe wengi mpaka sasa hawajapata vitambulisho. Hii haikubaliki. - Godblless Lema
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
Heshima kwenu wanajamvi.
Lema kafanya press conference 3 ndani ya week hoja zake ni zile zile hana jipya.
Uhuni wa Lema ni pale alipowaburuza wenyeviti wa mikoa wasiozidi wanne na kuwachanganya na wahuni wa Mbarahati na kudai ni Wenyeviti wa Mikoa 25.
Tunajua Lema amevuta mpunga mrefu...
Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki,
Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha...
“Winga ya kulia Lissu, Winga ya kushoto Heche halafu mimi(Godbless Lema) napita katikati halafu wanasema nilisema tutamleta Dkt. Slaa. Kaka tulimpa Lowassa(Hayati Edward Lowassa) Urais mtu wa CCM(Chama Cha Mapinduzi) itakuwa kumrudisha Slaa(Dkt. Wilbroad Slaa).
Yeyote atajayetaka kurudi kwenye...
Godbless Lema akizungumza na wanahabari leo Januari 19, 2025 amesema kuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa, Tundu Lissu anaungwa mkono na asilimia kubwa ya wenyeviti mkoa
"Mheshimiwa Lissu anaungwa Mkono na Wenyeviti wa Mikoa 25 kati ya 33(iliyopo Tanzania), Wenyeviti 21...
Leo ni pres conference ya 3 ya Godbless Lema akihaha kujieleza na kumuelezea Tundu Lisu kwa umma ambao hauna kura katika mkutano mkuu wa chadema taifa, watakao piga kura Jan.21.2025, kumchagua mwenyekiti wa chadema Taifa. Lema na wanao muunga mkono Lisu hawaminiki na wala hawakubaliki kwa...
Hellow!
Matokeo ya Uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA ndio yataamua ikiwa atagombea au HATOGOMBEA.
NB: Mto wenye kina kirefu mara nyingi maji yake Kwa juu Huwa yametulia, lakini Kwa ndani!
Muda ni mwalimu. Tusubiri.
DP world ilianza kama ubuyu means tetesi na walioongoza huo ubuyu walikuwa wana habari. Walikaa kiti cha uzalendo wakidai wanawatetea wanyonge kumbe wanalo jambo nyuma ya pazia.
Mhe. LEMA yupo too emotional kuliko wakati mwingine wote. Ni kipindi ambacho amezungumza hoja nyingi kuliko...
Wenje na Lema wote walienda Canada kukimbia ugaidi wa wapinzani enzi za Magufuli
Lema alienda tena akiwa na madeni mengi Tanzania aliweza kufanya online trading za forex na coins akapata pesa na maisha yake yakaenda vizuri. Aliendelea na harakati.
Wenje hakufanya lolote yaani alikuwa kama mtu...
Hawa watu wamemdhalilisha Mwenyekiti hadharani. Wafutwe uanachama mapema Sana kabla haijamgharimu Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Wajumbe wenyewe hawasomeki mpaka sasa
Heshima kwenu Wanajamvi,
Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha.
Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama.
Mh Lema alikuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi yake ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini.Mh Lema...
https://youtu.be/zlrjJf07blo?si=CIzhNJ1iOaJWch7D
Sikiliza kwa umakini. Mod unaweza ukaandika maelezo zaidi
Anasema LEMA anaweza kufukuzwa uanachama na tawi lake tu kwa sababu hana cheo chochote
Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi?
Siri zote za chama angalizipost katika social media kuwakomoa wapinzani wake.
Eti Lissu akishinda Lema awe katibu mkuu..mumewaza Nini?
Tundu Lissu anaongea kama mgonjwa wa malaria iliyopanda kichwani,au kuku aliyekatwa shingo nussu na kuachiwa
Mbowe anaongea kama padri kanisani au sheikh msikitini,haeleweki.
Mbowe hawezi kushinda tena.
Na akishindwa asitafute mchawi,bali Lena ndio mchawi wake
Lema kaitisha press moja tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.