Naam ni yeye,
Eeeh ni yeye😂😂
Aliwahi kuwa mbunge pale Arusha mjini, ni mmoja wa watu safi anayejua kujenga hoja na kueleza kitu kinagaubaga.
Nipo live nimechukua notice nachukua madini mdogo mdogo ,Leo hii hili jamaa limeamua,halitaki unafiki,linatema cheche.
Yaani anaongea ukweli na uwazi...