Lema: Ikithibitika mimi ndiye dalali kama inavyodaiwa nitajiuzulu nafasi zangu zote CHADEMA

Lema: Ikithibitika mimi ndiye dalali kama inavyodaiwa nitajiuzulu nafasi zangu zote CHADEMA

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amemtuhumu mwanaharakati Mange Kimambi kuwa anatumika kuleta mgawanyiko ndani ya chama hicho, akipinga madai yanayotolewa dhidi yake kuwa yeye ni mradi wa kukigawa chama.

Lema amesema hayo leo Novemba 1, 2026 akizungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa kama ikithibitika yeye ndiye 'dalali' aliyemkutanisha Marehemu Alute Mughwai Lissu na viongozi wa serikali ili kujadili kuachiwa kwa Lissu basi yupo tayari kujiuzulu.

Amesema Mange Kimambi amekuwa akizusha jambo hilo ambalo yeye anadai sio la kweli na ikithibitika yupo tayari kuwajibika.

 
Mtu ambaye angeweza kusema amekufa alfajiri ya leo. Kwani hizo simu anazopiga kwa OCCID, Makamu wa Rais na Mwanasheria Mkuu zina tofauti gani na tuhuma hizo anazozikana?
 
Back
Top Bottom